Sura ya 25

1 Festo akafika ndani ya fimbo na kiisha siku akapanda Kaisaria pale Yelusalema. 2 Koani mkuu na wayuda wengi vio ya juu wakamustaki Paulo mbele ya Festo na wakamuwambia kwa kinguvu. 3 Wakamuomba Festo na wanyekevu juu ya Paulo kusudi amuridishe Yelusalema kusudi ba muwe njiani. 4 Lakini Festo akawajibu Paulo yupo Genezani kule kaizaria, wakati nitarudia kule. 5 Akasema wanyi wanaweza kuenda pamoja na sisi. Kukuwa kitu moja ya ubaya juu ya mtu ule wamstaki. 6 Kiisha kukaa kule mdo wa siku Nane ao kumi na zaidi, akarudia kaisaria. Kesho yake akaka ku kitu cha kusambisha na akapana uusha ba mulete Paulo. 7 Wakati Paulo alipofika, wayuda wa Isalade wakakazibia pembeni naye (Paulo), wakasema maneno mingi ya ukweli juu ustakia ayo hawezi kujitosha ema. 8 Paulo akajitetea akasema: sikufanya hata kitu kibaya kwajina la wayuda, wala juu ya Ekalu wala juu Kaisara. 9 Lakini Festo alitoka kuwapendelea wa yaudi, akamwambia Paulo: unataka kwenda Yelusalema mkusambishe juu ya maneno aya? 10 Paulo akajibu mnasema kati kiti cha uamzi ya Sezaa, wapi tena naweza kuenda kusambishua. Sikufanya moavu kwa wayuda, ginsi unaifua vizuri sana. 11 Kama sikufanya kosa na kama nilifanya kosa yenyi mtu anaweza kufa, sikatae fufa, lakini kama mastaki yao ni ya uwongo, hakuna mtu mwenye hanaweza kunipana kwao. Namuomba kwa kaisari. 12 Festo akaongea na wabaraza yake kiisha akajibu: unaomba kusambishiwa kwa kaisari utaenda utaenda kwa Kaisari. 13 Kiisha siku chache mfalme Aripa na Berenise wakafika kaisaria kwa kumtembelia Festo. Kusha kuputisha siku mingi, Festo. 14 Kusha kupitisha situ minge, Festo akaonyesha maneno ya Paulo kwa mfalem. Akasema: Mtu fulani aliacwhua apa na Feliki kama vile mfungwa. 15 Wakati mlikuwa Yelusalema wakoani wa kuu na wazu wa wayauda walistaki mtu uyu kwangu na waliomba afungwe. 16 Nikajibu haiko dsturi wa Roma, kutoa mtu juu ya kufurahisha; mustakuwa anapashua kupata wa kati wa kujitetea mbele ya wenyi walimustari na kuonyesha makingo zabe mbele mastaki. 17 Ndio maana wakati walifika pamoja hapa, sikuongojea, kesho yake mkakaa chumba cha kusambisha, nikapana ruusa ya kumuita mtu ule. 18 Wakati watu wenyi walimustaki walifika kusamba sikuona hata neno juu yake yenyi ilikua sawa. 19 Walikuwa na mabishano kati yoana yey juu ya madini yao yenye kuangalia Yesu mwenyi alikufa na Paulo akiwambia yuko mzima. 20 Akili ikanizunguka namma gani naweza kukata neno hii. Nikamualiza kama anaweza kwenda Yelusalema kusambisha maneno ayo. 21 Lakini Paulo akaomba achungwe kati ya nyumba ya gereza kwa kuongojea mpango mufalme. Nikapana ruusa wamchunge pale mpaka wakati nitamtuma Kaisari. 22 Agrip akasema na Festo: napenda pia kumusikia mtu ule". Fisto akamjibu, kesho utamusikia. 23 Kesho yake, Ahgripa na Berenisa wakasindikizwa kwa ukubwa na wakubua ya wakari na wakubwa wa ngi. Kwa uwezo wa Festo, Paulo bakamtosha inze. 24 Festo akasema Mfalme Agripa na nginyi wote wenyi kuwa apa pamoja na sisi, Munaona mtu uyu; watu wengi wa wayuda walimambia pale Yelusalema na hata apa wanalalamika akufue. 25 Najua kama hakufanya hata neno yenyi anastaili kufa, vile alifanya kumuita Mufalme, nilikasirisha kumtuma. 26 Lakini sina neno la hakika kwa kwandisha kwa mufalme. Ndio maana nilimuleta mbele yenu, mbele ya mufalme Agripa, kusudinijue namma naweza kwandika juu ya neno hii. 27 Kwani inanifania haina ukweli kwangu kumtuma ntu gerezari bila sababu na kujulisha osa lenyi alifanya.