SURA 16

1 Kura ya watoto wa Yusufu ilianziaku mto wa Yordani ku maji ya Yeriko upande wa mashariki. Mpaka ili elekea ku jangwa ma panda ku Betheli kupitia Lilima. 2 Ikaendelea toka luzu kisha mpaka ya waarki kupitia Atarothi. 3 Ika telemka upandi wa mangaribi ku mapka ya wayafleti kuendelea Beth-Horoni ya chini, kufikia Gezeri, na katokea ku bahari kubwa. 4 Watoto wa Yusufu, Manase na Efraimu waka twaa urithi yao. 5 Tazana mpaka wa Efraimu, kwa kuandama jamaa yao. Mpaka ya urithi yao upande wa mashariki ilikwa Atarothi-Adari, kufika Bethi-Horoni ya yulu. 6 Apande wa mangaribi kwenda Mikmerta upande wa kaskazini kuzunguka kwenda mashariki kupitia ku Taanathi-Shilo. Kuendelea ku masharibi kupitia Yanoa. 7 Kutoka Yanoa shuka Atharothi na Naara, ika fikilia Yeliko kuendelea mwisho Yordani. 8 Kutoka Tapua iliendelea upande wa mangaribi ku kijito cha kana, kufikia bahari kubwa. Ndipo urithi ya watoto wa Efraimu kwa kuandama jamaa yao. 9 Watoto wa Efraimu walikuwa tena na miji ya kutegwa mukati ya uriti ya watoto wa Manase,na Vijiji vyake. 10 Hawa kufukuza wakanaani waki kaa Gzeri, wakaketi yao, hata leo, lakini waka kuwa wa tu mishi wa kabila moya.