SURA 15

1 Kura ya kabila ya watoto wa Yuda kwa kuandama jamaa, zao ilikuwa kufika hata mpaka Edomu, kuendelea ku jangwa ya sini upande wa kusini, mwisho wa upande wa kusini. 2 Mpaka yabo wa ilianziwa kumwisho wa Bahari ya chmvi, kipande ya kuelekeya kusini; 3 Nao ikaendelea mupando wa Akrabimu, kupitiya hata sini, kisha ikaenda upande wa kadeshi-Barnea; kupitiya pale pa Hesroni, ikafikilia Adari, na kuzunguka kwendelea Karka; 4 kisha ikapita pa Azmoni, na kwendelea ku kijito cha misri; pa kutokea ku bahari kubwa; ita kuwa mpaka wenu upande wa kusini. 5 Mpaka wa mashariki ilikuwa Bahari ya chumvi hata mwisho wa Yordani. Na mpaka wa upande wa Kaskazini ilikuwa kutoka pale kwenye mwisteo wa mto wa Yordani. 6 Ika panda ku Bethi Hogla, kupitiya upande wa Kaskazini wa Bethi-Araba, kisha ikaendelea pa jiwa la Bahani, mutoto wa Reubeni, 7 kisha ikaendelea upande wa Kaskazini wa kuelekea Gilgali, ile iko mbele ya kipanda Adumimu, ile iko upande wa mto. Ili pita karibu na moji ya Enshemeshi, na matokeo, yake yalikuwa hapo Enrogeli. 8 Kisha ikaendelea karibu na bonde la mutoto wa Hinonru kupita mbavuni mwa Yebusi ndiyo Yerusalemu, kisha ika elekea hadi juu wa mulima ile iko mbele wa bande la Hinonnu upande wa mangariribi, ilio pale mwisha wa bonde la warefaimu upande wa Kskazini. 9 Juu ya mulima, ika nyoloka kufikilia chemchemiya maji wa Neftoa, kwendelea ku miji ya mulimacha Efroni, kisha mpaka kuendelea pa Baala ndio kiriath yearimu. 10 Pa Baala akazunguka kutoka mangaribi hata kilima Seiri, kutambuka mlima wa Jearim upande wa Kaskazini, ndio kesaloni, kisha uka telemkia Bethi-shemeshi kupitiya Timna. 11 Ika endelea kufika upande wa Kaskazini ya Ekroni, ika elekea hata chikrani, kupitia mlima cha Baala, kisha ikatokea hapa Yabneeli, na kujitupa ku bahari kubwa. 12 Mpaka wa mangaribi ili kuwa bahari kubwa. Ndio ma mpaka ya watoto wa Yuda, sawa sawa na jamaa zao. 13 Baka mupa kalebu, mutoto wa Yefune, sehemu katika watoto wa Yuda, kama Mungu wa milele aliletaka oda kwa Yoshua; baka mupa Kiriath-Arba, njo Hebroni: Arba alikuwa baba yake na Anak. 14 Kalebu alifukuza watoto tatu wa Anaki: sheshaai na Ahimani, na Talmai, watoto wa Anaki. 15 Kisha akaendea wanaaji wa Debiri: Debir ilikuwa kwanza Kiriath-Seferi. 16 Kalebu akasema; mwenye ata piga Kiriath seferi na kwipata, nita mupa Aksa binti yangu akuwe muke wake. 17 Othnieli, mutoto wa Kenazi, ndugu yake wa kalebu, wa kaikamata, na kelebu akamupa binti yake Aksa auwe bibi yake. 18 Wakati alungia kwake Othniel, aka taka ku ombe shamba kwa baba yake. Akashuka na punda, na Kalebu akamuuliza: uko na nini? 19 Akajibu: unipe matabishi, kwa kuwa umenipa nchi ya kusini, unipe na chemchemi za maji ya juu, na chemchem za maji ya chini. 20 Ndio withi wa makabila ya watoto wa Yuda sa sawa na jamaa zao. 21 Miyi ya kusini mwisho ya kabila ya watoto wa Yuda, kuelekeya mpoka wa Edomi, kulikuwa: Kabseeli,na Ederi na Yaguri; 22 Kina, Dimona, na Adada, 23 Kedeshi, Hazari na Ithnani, 24 Zifu, Telemu na Bealothi 25 Hazor-Hadata, Kerioth-Hezroni ndio Hazori, 26 Amamu, Shema, Malada. 27 Hasar-Gada. Heshmoni, Beth peteti 28 Hasar Shuali, Beer-Sheba na Biziothia, 29 Baala, Iyimu na Esemu, 30 Eltoladi, Kesili na Horma, 31 Siklagi, Madmana na Sanasana, 32 Lebaothi, Shilhimu, Aini, Rimoni, miji yote ili kuwa makumi mbili na kenda pamoja na vijiji vyake. 33 Mu kiwanza: Eshtaoli, Sora na Ashna, 34 Zanoa, Enganimu, Tapua na EEnamu. 35 Yarmuthi, Adulamu, soko na Azeka. 36 Shaarimu, Adithailu miji kumina ine na Vijiji vyake 37 Senani, Hadasha na Migdal-Gadi, 38 Dilani, Mispe na Yoktheeli, 39 Lakishi, Baskathi, na Egloni, 40 Kaboni, la masi na kitshilishi 41 Gederothi, Bethdagoni, Naama, Makeda, miji kumi na sita na vijiji vyake. 42 Libna, Etheri na Ashani, 43 Yifta, Ashna na Nesibu, 44 Keila, Akizibuya, na Maresha, miji kenda na vijiji vyake 45 Ekroni pamoja na miji yake na vijiji vyake, 46 Tangiya Ekroni mpaka babari yote iliyokuwa upande wa Ashdodi pamoja na vijiji vyake, 47 Ashdodi na miji yake na vijiji vyake, mpaka kijito cha Misri, na babari kubwa mpaka wake. 48 mu mulima: Schamir, Jatthir, Soco, 49 Dana, Kiriath-Sana ambao ni Debiri. 50 Anabu, Eshtemoa na Animu, 51 Gosheni, Holoni na Silo, miji kumi na moja na vijiji vyake. 52 Arabu, Duma na Eshani. 53 Yanumu, Beth-Tapua na Afeka. 54 Humta, Kiriath-Arba, ndio Hebroni na Siori, miji kenda, pamoja na vijiji vyake. 55 Maoni, Karmeli, Zifu na Yuta, 56 Yezreeli, Yakdeamu na zanoa, 57 Kaini, Gibea na Timna, Miji kumi, pamoja na vijiji vyake. 58 Haluli, Bethsurina Gedori, 59 Maarathi, Eltekani, miji sita pamoja na vijiji vyake. 60 Kiriath-Baoli, ndio Kiriath-Yearimu na Raba; miji miwili pamoja na vijiji vyake. 61 Jangwani:Beth Araba, Midini na Sekaka, 62 Nibinani, na Ir-Hammelaki (mji wa chumvi) Engudi miji sita na vijiji vyake. 63 Watoto wa Yuda wali shindwa kufukuza wa Yebusi wakaaji wa Yelusalemi, nao waka kaa pamoja na watoto wa Yuda ku Yelusalemi adi leo.