Sura 6

1 Kwa hiyo, dukalekya fyodulejifunza kwansa ihusu ujumbe wa kristu, alepaswa iva na juhudi iyelekyia kwenye ukomafu dutavyikye na uhayi na imani katika Ruva. 2 Wala misingi ya mafundisho ya ubatiso na ivavikya koko, ufufuo wa wafu na hukumu ya midhedhe. 3 Na dwefanya hivi ikiwa Ruva aneruhusu. 4 Kwa kfa kitewesekana kwa vala velepata nuru awali, ambavo valeenya kipawa cha mbinguni na ifanya kuwa washirika wa roho mtakatifu. 5 Na ambao valeonjo usuri wa tretra la Ruva na kwa ngufu za wakati ujao, 6 na kisha wakauwa - yawezekana ku ivarejesha katika toba hii ni kwa sababu velemsulubisha, mwana wa Ruva mara ya kavili kwa nafsi zao wakifanya chombo cha dhihaka hadharani. 7 Kwa kfa ardhi iliyopokea mvua inyeshayo mara kwa mara juu yakwe, na ifuma masao muhimu yavo velefanya kasi ardhi ipata baraka ifuma kwa Ruva. 8 Dhakini ikiwa huzaa miiba na magugu, hitene se samani na ikere hatari ya laumiwa. mwisho wakwe ni uteketeswa. 9 Ijapokuwa duchecha adi rafiki vapensi dweshawishiwa na mambo mesha yava usu nyonyo na mambo yeusu wokofu. 10 Kwa kfa Ruva si dhalimuku hata etumle kasi yenu na kwa upendo umleuvanesha kwa ajili ya irina lakwe, katika uhali mlevavatumika vaamini na bado na mkalemwa ivatumikia. 11 Na dwetamani sana kwamba kila mmoja wenu awese kuonesha bidii ile mpaka mwisho kwa uhakika wa ujasiri. 12 Dwekundiku muve wafifu lakini muve wafuasi wa vala varisio ahadi kwa sababu ya imani na ufumilifu. 13 Kwa maana Ruva alipompa Abrahamu ahadi, naleapa kwa nafsi yakwe kwa kfa asingeliapa kwa mwingine yoose aliye mduve kuliko ve. 14 Naleamba, ''hakika ngekubariki na ngeuongosa usao wao saidi.'' 15 Kwa shia yayi Abrahamu nalepokya kile nalehaidiwa baada ya isubiri kwa ufumilifu. 16 Maana vanadamu huapa kwa ve alive mkuu kuliko vo na kwavo ukomo wa mashindano yoose ni kiapo kwa iyasibitisha. 17 Wakati Ruva nalepoamua ivaonyesha kwa uasi saidi kwa warithi wa ahadi kusudi lakwe suri litabadilika naleuthibitisha kwa kiapo. 18 Nalefanya ado ili kuwa viti viwili visivyowesekena kubadilika ambafyo katika hifyo Ruva neduma iamba uongo sooso dulioyodishilia hifasi adukolye kutiwa moyo kushikilia kwa ngufu tumaini lililowekwa mbele yedu. 19 Dume ujasiri huu kama nanga imara na ya itegemya roho sedu, ujasiri ambao unaingia sehemu ya mba nyuma ya ipasia. 20 Yesu ndeingia sehemu ila kama mtangulisi wedu akisha kufanya kuhani mduve hata milele baada ya utaratibu wa Melkizedeki.