1 Kwani kila kuhani mduve, shoelechaguliwa ifuma miongoni mwa vandu, alechaguliwa iuka badadha yavo katiaka findo vyehusiana na Ruva, ili adime ifura kwa pamoja savadi na dhabihu kwa ajili ya sambi. 2 Edima ijishughulisha kwa uho na vatondo vabishi kwakfave eveni piya nemzunguke na udhaifu. 3 Kwa sababu ya ili, erewajibu wefuna sadaka kwa ajili ya sambi sakwe sha alivefanya kwa sambi sa vandu. 4 Na kure mndu eraeshima ihai kwa ajili yakweeveniku, Dhakini badadha yakwe, lasima alahave na Ruva, shali avekeri Haruni. 5 Ata kristu alijininga eshima eveniku kwa ijifanya yeeveni iva kuhani mduve. Badadha yakwe, Ruva naleamba kwakwe, ''vaave ni mwanakwa, dhuni ngava ndiafo'' 6 Shali naliamba pia sehemu ingi, ''Vaave ni kuhani milele baada ya mfumo wa Melkizedeki.'' 7 Wakati wa kipindi chakwe katika mwili, aleitereva na iterevya, aleitereva Ruva kwa masaro, kisaave edima imuokoa iuka kwenye kifo. Kwa sababu ya unyenyekefu wakwe kwa Ruva, alemhishwa. 8 Ijapokuwa nalekeri mwana, nalejifunza itii kwa mambo yoyalemtesa. 9 Alokamilishwa na kwa shia hii alefanyika kwa kila mndu emuamini kwa sababu ya wokofu wa milele. 10 Kwa itengwa na Ruva sha kuhani mduve baada samu ya Melkizedeki. 11 Dure mengi yeamba kuhusu yesu, dhakini ni vigumu avaeleza kwa kfa nyohonyo ivalesi veishwa. 12 Ijapokuwa kwa kipindi ki mlepaswa iva vaalimu, bado kure umuhimu wa mndu ivafundisha mafundisho ya kasha ya kanuni sa ichecha la Ruva. Muhitaji maruva na sio kyao khuhumu. 13 Kati ya voose vo vyenywa maruva taba ere usoefu katika ujumbe wa hakiku, kwa kfa bado ni mwana. 14 Kwa upande uingise, kyao kihumu ni cha vandu vazima, valeamba kwa sababu ya usoefu wavo katika itofautisha haki na uviishwa valefundishwa vemanya liisha na ivishwe.