Sura 4

1 Kwa hiyo, duipaswa iva makini ili kwamba kati yenu ataveho hata umu atadholikane idhemeva ishika ahadi andelefu yeingia katika pumzika la Ruva. 2 Kwani dukeri na habari nsha ihusu pumziko la Ruva lolitangaswa kwedu sha Waisraeli vekeri nayo, dhakini ujumbe sho ulevasaidiaku vala ambao valenishwa bidha iunganisha imani kwa alo. 3 Kwa sohoso, ambavo dulemeiamini- sohoso niivo miongoni dusheingia katika pumsiko, shaali eeamba, ''shaali ngaapa kwa asira yaakwa, veingia katika pumsiko lakwaku.'' Adheamba iliali, ingawa kasi soose aletengenesa siveekeri sidhekamilika tangu mwanso wa utuka. 4 Kwani adhemeamba sehemu fudhani ihusu mfori wa saba, ''Ruva alepumsika mfiri wa saba katika yoose yoelefanya.'' 5 Tena ameiamba, ''Veingia kwenye pumsiko laakwaku.'' 6 Kwa sababu yo, tangu pumsiko la Ruva bado ni akiba kwa ajili ya baadhi iingia, na tangu Waisraeli veengi ambao vadheishwa habari nsha ihusu pumsiko lakwe vadheingia kwa sababu ye itotii, 7 Ruva adhevikia se mfiri fudhani, idhaahawayo ''Dhuni.'' Ve adheongera mfiri i aacheche ihidia Daudi, ambaye aleamba kwa muda mwasha baada ya yoyedheambwa kwansa, ''Dhuni kolia mweishwa sauti yaakwe, mtafanye mo yenu iva mhumu.'' 8 Kwani kama Yoshua alevaininga pumsiko, Ruva avesheamba se dooka ya siku ingiku. 9 Kwa hiyo bado kure sabato ya pumsiko iletunswa kwa ajili ya vandu va ruva. 10 Kwani sho eingia katika pumsiko la Ruva veeveni pia apumsika itokana na matendo yakwe shali Ruva nalefanya katika ve. 11 Kwa hiyo duve na shauku yeingya katika pumsikoya, ili kwamba ataveho msaeuwa katika aina yauhasi sho valefanya. 12 Kwa maana ichecha la Ruva lihai na lire nguvu na lire ukali kuliko ibangalase lire makali kuvili. Yeasha igawanya nafsi na mo, na viungo kutika uboho. Na ledimza imanya fikira sa ngooni nia yakwe. 13 Kure kiliundwaku kikrikye katika kyamu wa Ruva. Badadha yakwe kila kndo ni dhahiri sa wasi kwa meso ya umu ambaye ni lasima dufune esabu. 14 Baadaye iva na kuhani mduve naleingia katika mbingu, yesu ni van ava Ruva, kwa uimara durilie imani sedu. 15 Kwa kfa dutere kuhani ambaye edima ihisi huruma kwa ajili ya udhaifu wedu, dhakini ve ambaye kwa shia soose aleva ajaribu sha sooso, isipokuwa vee ambaye eteere sambi. 16 Na dushe kwa ujasiri katika kdengu cha ensi cha neema, ili kwamba duambilye rehema dukolye neema yeduheka wakati wa hitaji.