1 Iteva hadi Melkizedeki, mfalme wa selemu, kuhani wa Ruva aliye dooka nalekutana na Abrahamu naleuya ifuma kuwauwa wafalme na nanele mbariki. 2 Abrahamu nalempa umu ya ikumi ya kila ng'ndo alichokuwa amekiteta jina lakwe ''Melkizedeki'' maana yakwe '' mfalme wa haki'' na pia ''mfalme wa selemu'' ambayo ni ''mfalme wa amani.'' 3 Hatere baba , hatere mama, hatere vasasi, hatere mwanso wa siku wala mwisho wa maisha yakwe. Badadha yakwe, nabakia kuhani milele, kama mwana wa Ruva. 4 Aluva fikiria jinsi mdu shuashu alivyokuwa mkuu. msasi wedu Abrahamu nelenga moja ya ikumi ya upendo visha alivyochukua vitani. 5 Na hakika ukoo wa valawi valiyopokya ofisi sa kikuhani valeva na amri ifuma kwenye shena ikusanya moja ya ikumi ifuma kwa vandu ambavo ni ifuma kwa Waisraeli wensao pamoja na kwamba wao, pia, ni ukoo kutoka kwa Abrahamu. 6 Dhakini Melkizedeki ambaye neleva wa ukoo ifuma kwa walawi nalepokya moja ya ikumi fuma kwa Abrahamu, na imbariki ve nevekuwa na ahadi. 7 Hapo yatakiwa kuli kwamba mdu mnana hubarikiwa na vaduve. 8 Kwa jambo liali mndu nepokeaye umu ya ikumi neefa mfini umu aliye pokya ummu kwa Abrahamu ikaelezwa kama neyaishi. 9 Na kwa namna yesungumsa, lawi aliyepokya ummu ya ikumi kwa Abrahamu. 10 Kwa sababu lawi aliva katika fiuno fya ndiye wakwe Abrahamu wakati Melkizedeki valesumana na Abrahamu. 11 Aluva kolya ukamilifu ulewesekana ritra ukuhani wa lawi, (hadi shini yakwe vandu veambilya sheria), kulikuwa na hitaji gani saidi kwa kuhani mwingine kuinuka baada ya mfumo wa Melkizedeki, na siyo kuitwa baada ya mpangilio wa Haruni?. 12 Aluva ukuhani wabadilika kure budi na sheria ibadilika. 13 Kwa umu ambaye mambo haya naleambwa ihusu kabila lingi ifuma kwakwe kure aliyehudumu madhabahuni. 14 Aluva ni wasi kwamba ndiye wa mwedu nalefuma katika Yuda, ikabila ambao Musa neleesha ihusu makuhani. 15 Na haya duambayo ni wasi hasu ikuwa kuhani ungi nefumya kwa mfano wa Melkizedeki. 16 Kuhani huyu mpya siyo umu ambaye nefumya ava kuhani dooka yavo msingi wa sheria zinazousiana na usao wa mdu, dhakini katika msingi wa ngufu ya maisha yetedima iyaribua. 17 Hado maandiko yereushuhuda kuhusu ve: ''veve ni kuhani milele baada ya mfumo wa Melkizedeki.'' 18 Kwa kfa amri iliyotangulia pembeni kwa sababu ileva dhaifu na itevaa. 19 Hado sheria heteva choose kikamilifu isipokuwa kuleeva na ujasiri mzuri kwa hayo dumsongelea Ruva. 20 Na ujasiri huu mshaa ulefumyakie pasipo isungumsia kiapo, kwa hili makuhani vengine valeiraku kiapo chaaseku. 21 Dhakini Ruva neleira kiapo nelepoamba kuhusu yesu ndiye naleapa na hatabadilisha mawaso yake.' veve ni kuhani milele.'' 22 Kwa hado yesu pia neleesha kuwa dhamana ya agano bora. 23 Kwa hakika, kifo husuia makuhani kudumu milele. Hii ni kwa sababu velevaapo makuhani veengi. 24 Dhakini kwa sababu yesu naishi daima iyomba ukuhani wakwe haubadiliki. 25 Kwa hado ve pia nedima kwa ukamilifu ikamilisha na ivaokoa ve mkaribia Ruva utra kwakwe, ka kfa ve neishi daima kwa itereva kwa ajili yavo. 26 Kwa hiyo kuhani mduve wa namna yayi nestahili kwedu. Etere sambi, hatia, mheewa. naletengwa ifuma kwa wenye sambi nava dooka juu kuliko mbingu. 27 Ve neteleva na uhitaji mfano wa makuhani vaduve ifuma dhehebuni kila mfiri kwansa kwa sambi yakwe eveni na baadaye kwa sambi za vandu. Nelefanya hadi mara umu kwa woose, alipojitoa yeye mwenyewe. 28 Kwa sheria huvateua vandu dhaifu iva makuhavi waduve, dhakini neno la kiapo, lililokuja baada ya sheria, alemteua mwana, nalefanywa iva mkamilfu milele.