1 Kwa koyo ni dhasima duvikiye kipaumbele zaidi kwa ula duleishwa, ili kwamba dutashetengwa kwasha navo. 2 Kwa maana ikava ujumbe ulededwa na madhaika ni adhali, na kidha ikosa na uasi huambilia asabu tiki. 3 dwekoliyaaja ilia kama dutevejali wokovu shu mduve? - wokofu ambasho kwansa uletangazwa na bwana na isibitishwa kwedu na vala veleusika. 4 Ruva pia aleusibitisha kwa ishara, maajabu na kwa matendo maduve kwashakwasha na kwa sadadi mo mtakatifu zoelesiava ilingana na mapensi yakwe emeni. 5 Ruva eleuvikya uruka usha ambasho duchecha habari sakwe, sumbayi ya madhaika. 6 Badadha yakwe mndu fulani eleshuudia handu fulani eamba, mndu ni veivi, hata adime imkubwa? au mwana wa mndu hata umtunze? 7 Ulamfanya mndu iva mnana kuliko madhaika; ulemrara taji ya utukufu na eshima.(Singatia machecha yaaya na umemmbikiya dooka ya kasi ya maoko yafo. Kureku kwenye nakala za kusha. 8 Ulevikya kilando sumbai ya mchende yafo. '' kwa hiyo Ruva umevikya kila ndo sumbayi ya mndu. Elecha ng'ndo cheose ambacho kitefo sumbayi yavo. Dhakini sasa hivi duoni bado kidha nndo kikeri sumbayi yakwe. 9 Hata ado duoni ambaye evekeri alevikwa kwa mda sumbayi kuliko madhaika - yesu ambaye kwa sababu ya mateso yakwe na ifalakwa athedhalwa taji utukuvu na heshima. Ado sasa kwa neema ya Ruva, yesu aleocha ifa lakwe kwa ajili ya kila mndu. 10 Ivekeri sasava kwamba Ruva kwa sababu kila kindo kifo kwa ajili yedu na ajili kila mndu ivepaswa uvaende vana vengi katika utukufu na kwamba alipaswa ivika kiongozi katika wokofu voo kuwa mkamilifu icha mateso yaakwe. 11 kwa maana voofatili ula evikya wakfu na vala ambao fevikwa wakfu, woose wanaotoka kenye asili moja,Ruva kwa sababu hii yule anayaweka wakfu kwa Ruva haoni aibu kuwaita ndugu. 12 Neamba, '' Ngishetangasa rina lafo kwa ndugu sakwa, ngeimba ihusu vaave ifuma kiidi ya kusanyiko.'' 13 Tena aamba, '' Ngiamini katika vee,'' Na tena, ''Imahya hangikeri na vana ambaso Ruva alininga. 14 Kwa hiyo, kwakfa vana vya Ruva voose veshiriki mwili na samu, kadhalika yesu aleshiriki findo vilevile, ilin msamba ihidiya kifo akolye imlofisha ula ambaye ere mamlaka dooka ya mauti, ambaye ni ibilisi. 15 Hyahi irekeri ado ili awavikye huru vala voose ambavo ihidya hofu ya kifo valeishi maisha yavo yoose katika utumwa. 16 Kwa hakika siyo madhaika avasaidia. Badadha yakwe, ivasaidia wazao wa Abrahamu. 17 Kwa hiyo, ivekeri lasima veave ave sha ndugu sakwe katika shoiya soosa, ili adime iva kuhani mduve ere huruma na uaminifu kwa findo fya Ruva, na ili kwamba ave na uweso wefuma msamaha kwa sambi za vandu. 18 Kwa sababu yesu umeni aleteseka, ere uweso wevasaidia vale vejaribiwa.