1 Nyakati sosidhehicha Ruva alechecha na vameku veedu ihidia manabii mara nyingi na kwa shia nyiingi. 2 Dhakini katika siku sidukeri naso, Ruva achecha naaso ihidia Mwana, ambaye alemvikia iva mrisi wa findo fyoose, na ambae ihidia ve pia aleumba ureka. 3 Mwana wakwe ni nuru ya utukufu wakwe, tabia iimeni ya asili yaakwe, na neendelesa findo fyoose kwa checha la ngufu saakwe. Baada yekamilisha utakaso wa sambi, alechaamia sambi upande wa koko cha ensi fo dooka. 4 Adheva bora kuliko madhaika, sha vidherina lolethemrisi shaali likeli bora saidi kuliko rina laavo. 5 Kwa maana ni madhaika vemki adhewahi iamba, ''Vahave ni mwanakwa, dhuni ngaava ndia fo?'' Na tena, ''Ngiiva ndie kwakwe, nave neeva mwana kwakwa?'' 6 Tena wakati Ruva aamhende muoneka wa kwansa urukeni, neamba, ''Madhaika voose va Ruva dhasima vamwabudu'' 7 Kuhusu madhaika eamba, ''ula ambae nefanya madhaika vaakwe iva mo, na vatumishi vaakwe iva udhuni sa macho'' 8 Dhakini ihusu mwana neamba, ''Kdengu chaafo cha ensi, Ruva, ni cha midhedhe na midhedhe. Fimbo ya ufadhume waafo ni fimbo ya haki. 9 Udhechonga haki na isua imisha sheria, kwaacho Ruva, Ruva wafo, akfia mafucha ya furaha kuliko vansako.'' 10 Ho mwanso, Bwana, ulevikia msingi wa uruka. Mbingu ni haki sa maoko yaafo. 11 Secheka, dhakini vahave weendelia. Soose sechakaa sha nguo. 12 Wesikomakoma sha ikoti, naso sebadilika sha nguo. Dhakini vahave ni ulaaula, na miaka yafo haitakoma.'' 13 Dhakini ni kwa madhaika ungau Ruva aleamba wakati woose, ''chaamia koko chaakwa cha klo mpaka ngikiivafanya adui saafo iva kdengu cha machende yaafo''? 14 Je, madhaika voose ni mofo siledumwa ivahudumia na ivatunsa vala vemrisi wokofu?