Sura 15

1 Kerika ngivakumbusha, akina kaka na akina dada, dooka ya injili ngilevahubiria ambayo mlepokea na ihiimuka nayo. 2 Ni katika injili hiyai mleokolewa, shali mkiiliira imara checha ngilevahubiria nanyi isipokuwa mleamini bure. 3 Shali kwanza ngileipokea kwa umuhimu ngileiende kwamonu shaikeri : kwamba kutokana na maandiko, Kristo alefa kwa ajili ya sambi sa modu , 4 hitokana na maandiko alerikwa, na kwamba alefufuka mfiri ya karadu. 5 Na kwamba alemfumia Kefa, kisha kwa fala ikumi na ivili. 6 Kisha alevavumia kwa wakati umu akina kaka na akina dada zaidi ya mia tanu. Vengi va mwao bado vakeri hai, lakini baadhi ya mwao valaa matio. 7 Kisha alemfumia Yakobo, kisha mitume woose. 8 Mwishi wa yose, nalemfumia nhani, shali vile kwa mwana alevonika wakati utakeri sahihi. 9 Kwa kfa nahani ni mnana kati ya mitume. Ngestahili ilawa mitume ku kwa sababu ngiletesa kanisa la Ruva. 10 Lakini kwa neema ya Ruva ngifo shali ngikerifo, na neema yakwe kwakwa ivelikeri bure. Badala yakwe, ngilefanya bidii kuliko woose. Lakini ivelikeri nahani ku, bali neema ya Ruva ivelikeri kiidi yakwa. 11 Kwa ado shali ni nahani au voo, ture hubiri ado na tweamini ado. 12 Luvaha shali Kristo nelehubiriwa shali alefufuka kwa wafu, iveaja baadhi ya monu muambe tikure ufufuo wa wafu? 13 lakini shali tikure ufufuo va wafu, basi hata Kristo pia alefufuka. 14 Na shali Kristo halefufuka, hivyo mahubiri ya modu ni bure, na imani ya modu ni bure. 15 Na tulepatikana ivaa mashahidi va uongo imuhusu Ruva, kwa sababu tulemshuhudia Ruva kinyume, ihamba nelemfufua Kristo, wakati tihalemfufua. 16 Shali ikava wafu tevefufuliwa, Yesu pia tihalefufuliwa. 17 Na shali Kristo tevefufuliwa, imani ya monu ni bure na bado mkeri na sambi sa monu. 18 Ado hata vala valefa katika Kristo pia vameangamia. 19 Ikava kwa maisha yahaya peke yakwe ture ujasiri kwa wakati wesha kiidi ya Kristo, vandu woose, suve ni ngivevahurumia zaidi ya vandu woose. 20 Lakini luvaha Kristo amefufuka ifuma kwa wafu, matunda ha kwanza ya fala valefaa. 21 Kwa kfa kifo kilesha ihidia mwanadamu, pia ihidia mwanadamu ufufuo wa wafu. 22 Kwa kfa shali katika Adamu wose valefa, ado pia katika Kristo woose vefanywa hai. 23 Lakini kila umu katika mpango wakwe: Kristo, matunda ya kwanza, na kisha vala vakeri va Kristo vefanywa hai wakati wa wesha kwakwe. 24 Niilo ukeri mwisho ,hala Kristo enekabidhi ufalme kwa Ruva Papa. Hiyai ni hala endekumesha utawala wose na mamlaka yose na nguvu. 25 Kwa kfa lasima hatavale mpaka ahikie maadui zakwe wose sumbai ya nyao zakwe. 26 Adui wa mwisho neharibiwa ni kifo. 27 Kwa kfa "Amechika kila kindo sumbai ya nyao zakwe." Lakini yeamba "Amehika kila kindo," ni wazi kwamba hiyai yehusisha vala valewekwa sumbai kwakwe mweni. 28 Wakati vindo vyoose vimehikwa sinde yakwe, kisha Mwana mweni alehikia vindo vyoose sinde yakwe. Hiyai yefumia ili kwamba Ruva Papa ave yoose katika vyose. 29 Au pia vefanya aja vala valebatiswa kwa ajili ya wafu? Shali wafu twevefufuliwi kabisa, ni kikise vebatizwa kwa ajili ya mwao? 30 Na niiki tukeri katika hatari kila saa? 31 Kaka na dada zakwa, ihidia ijisifu kwakwa katika nyohonyo, mbayo ngite katika Yesu Kristo Bwana wamodu ngitangaza adi; ngifa kila mfiri. 32 Yeng'saidia kiki, katika mtazamo wa mwanadamu, shali ngilekabana na vanyama vakali foo Efeso, shali wafu tevefufuliwa? "Leka basi dule na inywa, kwa kfa ngama dufaa." 33 Mtalembwe: "Makundi mafishwa neharibu tabia njema. 34 "Muve na kiasi! muishi katika haki! mtaendelee itenda sambi. Kwa kfa baadhi ya monu mkeri na maarifa ku ya Ruva. Ngiamba adi kwa aibu ya monu. 35 Lakini mndu ungi neamba, "Jinsi yonki wafu vefufuliwa? Navo vesha na aina yonki ya mwili?" 36 Vave umtiri sana! Kila uletonga cheidima ianza ing'ana itameva kimefaa. 37 Na kila mletonga sio mwili ambao ukeri bali ni mbeu ilechipua. Yeidima iva ngano au kindo kingi. 38 Lakini Ruva neininga mwili shali akundi na katika kila mbeu mwili wakwe mweni. 39 Miili yose yefananaku. isipokuwa kure mwili umu wa mwanadamu, na mwili ungi wa vanyama, na mwili ungi wa ndege, na mwili ungi kwa ajili ya samaki. 40 Pia kure miili ya mbinguni na miili ya dunieni. Lakini utukufu wa miili mbinguni ni aina imu na utukufu wa dunieni ni ungi. 41 Kure utukufu umu wa mwii, na utukufu ungi wa mweri, na utukufu ungi wa nyota. Kwa kfa nyota imu yetofautiana na nyota ingi katika utukufu. 42 Ado kudo ulivyo pia ufufuo wa wafu. Kindo chetongwa cheharibika na king'ana cheharibika ku. 43 Kimetongwa katika matumizi ya kawaida, kimetongwa katika utukufu. Kimetongwa katika udhaifu, kimetongwa katika nguvu. 44 Kimetongwa katika mwili wa asili kimetongwa katika mwili wa kiroho. Shali kure mwili wa asili, kure mwili wa kiroho pia. 45 Ado pia imeandikwa, "Mndu wa kwanza Adamu alefanyika roho ikaishi." Adamu wa mwisho nalefina roho ikafina uhai. 46 Lakini wa kiroho neleshaku kwanza bali wa asili, na kisha wa kiroho. 47 Mndu wa kwanza ni wa dunia, aletengenezwa kwa mavumbi. Mndu wa kavili nalefuma mbinguni. 48 shali vile ula naletengenezwa kwa mavumbi, ado pia wala valiotengenezwa kwa mavumbi. Shali vila mndu wa mbinguni alivyo, ado pia vala wa mbinguni. 49 Shali ambavyo duleira mfano wa mndu wa mavumbi, dweira pia mfano wa mndu wa mbinguni. 50 Luvaha ngivavia, kaka na dada zakwa, kwamba mwili na samu veidima irisi ku ufalme wa Ruva. Vala veharibika urisi ku veteharibika. 51 Sakwa! Ngivavia nyohonyo siri ya loi: Dwefaa wose ku, bali wose ku dwebadilishwa. 52 Dwebadilishwa katika wakari, katika ifumba na ifumbua kwa meso, katika tarumbeta ya mwisho. Kwa kfa tarumbeta yelia, na wafu vefufuliwa na hali ya iteharibika, na itebadilishwa. 53 Kwani shwahashu wa iharibika lazima urare wa itoharibika, na shu wa ifa lazima urare shuuta mefa. 54 Lakini wakati shuu wa weharibika urare shoo uteharibika, na shuu wa ifa ukarara shoo utamefaa ndipo wesha msemo ambao weandikwa, "Kifo kimemezwa katika ushindi." 55 "Kifo, ushindi wafo ukeriku? Kifo, ukeri ku uchungu wafo?" 56 Ushungu wa kifo ni sambi, na oru ya sambi ni sheria. 57 Lakini shukrani kwa Ruva, aduininge sohoso ushindi ihidia Bwana wedu Yesu Kristo! 58 Kwa ado, wapendwa kaka na dada sakwa, veni imara na mtachng'ine. Daima irundeni kasi ya Bwana, kwa sababu mwishi kuwa kazi ya modu katika Bwana siyo bure ku.