Sura 16

1 Kerika ihusu michango kwa ajili ya vaumini, shali ngileeleza makanisa ya Galatia, ado ado mopaswa irunda. 2 Katika mfiri ya kwanza ya wiki, kila umu wa monu avikye kindo fulani kando na ikikaama, shali moidima. Fanyeni ado ili kwamba kutave na mchango wakati ngesha. 3 Na ngashika, voose ngemchaguwa, ngemduma pamoja na barua ifuma sadaka ya monu foo Yerusalemu. 4 Na shali ni sahihi kwa nahani ienda pia, veenda pamoja nahani. 5 Lakini ngesha kwa monu, wakati ngeingehitia Makedonia. Kwa kfa ngehitia Makedonia. 6 Labda ngeidima ikaa nanyohonyo au hata imaa majira ya baridi, ili kwamba muidime ingisaidia safari yakwa, popote ngeendafo. 7 Kwa kfa ngetarajiaku ivalolia kerika kwa muda mfuhi. Kwani ngitumaini ikaa na nyohonyo kwa muda fulani, Shali Bwana ng'ruhusu. 8 Lakini ngekaa Efeso mpaka Pentekoste, 9 kwa kfa mlango mpana wefunguliwa kwa ajili yakwa, na kure maadui vengi veng'pingao. 10 Luvaha wakati Timotheo neesha, mumlolie kwamba ngikeri na nyohonyo pasipo ihova, nerunda kasi ya Bwana, shali ngefanya. 11 Mndu moose atamdharau. Mumsaidie katika shia yakwe kwa amani, ili kwamba adime isha kwakwa. Kwa kfa ngimtarajie nashe pamoja na ndugu. 12 Luvaha ihusiana na ndugu ya monu Apolo. Ngilemtia moyo sana ivatambukia nyohonyo pamoja na ndugu. Lakini naleamua itaisha kwa luvaha. Hata ado, nesha wakati nere nafasi. 13 Mve meso, muumuke imara, mtende shali vasoro, mve na nguvu. 14 Basi fyoose mofanyayo yafanyike katika upendo. 15 Mweishwa kaya ya Stefana. Mwishi kwamba vevekeri vaamini wa kwanza fo Akaya, na kwamba valejivika ve emoni kwenye huduma ya waumini. Na luvaha ngivasihi, kaka na dada sakwa, 16 veni vanyenyekevu kwa vandu shali havo, na kwa kila mndu anayesaidia katika kazi na watenda kazi pamoja na sohoso. 17 Na ngekunda kwa ujio wa Stefana, Fotunato, na Akiko. Valeumuka handu ambapo nyohonyo mgepaswa mveho. 18 Kwa kfa valekunda roho yakwa na ya mwani. Kwa hiyo luvaha, vatambueni vandu shali vahava. 19 Makanisa ya Asia veduma salamu kwa monu. Akila na Priska vevaidikira katika Bwana, pamoja na kanisa likerifo kaa kwa mwao. 20 kaka na dada sakwa voose vevaidikira. Idikirianeni kwa busu takatifu. 21 Nahani, Paulo, ngiandika adi kwa koko chakwa. 22 Kolya yeyote netre mkundi Bwana, basi laana ive dooka yakwe. Bwana wa modu, shio! 23 Neema ya Bwana Yesu ikeri sohoso. 24 Upendo wakwa uve pamoja nanyohonyo katika Kristo Yesu.