1 Utafuteni upendo na itamani sana karama za rohoni, zaidi sana ipate ifana unabii. 2 Maana ve ni venena kwa lugha neamba na vandu ku bali neeamba na Ruva. Maana kure mndu neelewa kwa sababu enena mambo yalekrika katika Roho. 3 Lakini ve nive alefina unabii, aamba na vandu naivajenga, na ivatia moyo, na ivafariji. 4 Ve nive enena kwa lugha nejenga emoni, lakini ve nive efina unabii nelijenga kanisa. 5 Kerika ngitamani kwamba nyohonyo voose mnene kwa lugha. Lakini zaidi ya yohoyo, ngitamani ya kwamba mfine unabii. Ve nafine unabii ni mduve kuliko vee nenena kwa lugha(Labda akeri wetafsiri), ili kwamba kanisa likole ijengwa. 6 Lakini luvaha, kaka na dada sakwa, ngasha kwa monu ngenena kwa lugha, ngevasaidia koiki ninyi? ngedima ku, isipokuwa ngiamba nave kwa shia ya ufunuo, au kwa shia ya maarifa, au unabii, au kwa shia ya findisho. 7 Ikava vindo vitekeri na uhai sha filimbi au kinubi fitefina sauti siteane na tofauti, yetambulika aja ni chombo choiki chetema? 8 Kwa maana ikava baragumu yefuna sauti itemanikie, ni jinsi yoiki mndu amanya ya kuwa ni muda wa wejiandaa kwa vita? 9 Ado ado na nyohonyo. Mkafina kwa ulimi checha litekeri dhahiri, ni jinsi gani mndu netemanya mndomuamba? Mweva muteta, na kune mndu nevalolia ku. 10 Kure shaka kwamba kure lugha nyingi mbalimbali dunieni, nakure hata imu iteveri na maana. 11 Lakini ikava ngiishi maana ya lugha, ngeva mgeni kwakwe yeye anenaye, nave anenaye neva mgeni kwakwa. 12 Ado ado navo. Kwa kfa motamani sana ilolia idhiirisho wa Roho, kundeni kwamba mzidi sana ijenga kanisa. 13 Ado, vee inena kwa lugha na naitereve anengwe itafsiri. 14 Kwa maana ngeitereva kwa lugha, roho yakwa ngeitereva, lakini akili sakwa sire matunda. 15 Ngefanya iki? Ngitereva kwa roho yakwa, lakini pia ngeitereva kwa akili sakwa. Ngeimba kwa roho yakwa, na ngeimba kwa akili sakwa pia. 16 Vinginevyo, ukimsifu Ruva kw aroho, vee nekeri mgeni neitikia aja "Amina" fina shukrani, uteimanya uamba? 17 Maana ni loi vave weshukuru vema, lakini ula ungi ejengwa ku. 18 Ngimshukuru Ruva kwa kfa nginena kwa lugha zaidi ya monu soose. 19 Lakini katika kanisa ni heri nginena machecha hatano kwa ufahamu wakwa ili ngipate ivafundisha vengi, Zaidi ya inena machecha ikumi elfu kwa lugha. 20 Kaka na dada sakwa, mtave vana katika ifikiri kwa monu ku. Badala yakwe, ihusiana na uovu, iveni katika vana vachanga. Lakini katika ifikiri kwa monu ku mndave vandu vasima. 21 Ileandikwa katika sheria, "Kwa vandu wa lugha ingi na kwa momu ya wageni ngeamba na vandu hava. Wala hata ado hatanisikia," aamba Bwana. 22 Ado, ndimi ni ishara, sio kwa vateleamini, bali kwa wasioamini. Lakini ifina unabii ni ishara, sio kwa vesa veteamini, bali kwa ajili ya vaamonio. 23 Yahaya, ikiwa kanisa loose likakusanyika pamoja na voose vanene kwa lugha, na vageni na vetaamini wameingia, je wetedima iamba kwamba mre wazimu? 24 Lakini ikawa voose mofina unabii na sho eteamini au mgeni kaingia, neevashawishi na yoose eishwa. Nehukumiwa na yoose eamba. 25 Siri za moyo wakwe sivefunuliwa. Matokeo yakwe, nevewa kifudifudi na imwabudu Ruva. Nevekiri ya kwamba Ruva nekeri kati ya monu. 26 Ni choiki kifuatacho basi, kaka na dada sakwa? Mkaloliana pamoja, kila umu netuote Zaburi, mafundisho, mafunuo, lugha au tafsiri. Ifanyeni kila kindo ili kwamba mlijenge kanisa. 27 Kolia voose vanena kwa lugha, vave fo vavili au varadu, na kila umu katika zamu. Na mndu lazima atafasisi cho kileambwa. 28 Lakini kolia kutere mndu wa netafsiri, basi kila umu wavo akae kimya kiidi ya kanisa. Basi kila umu natete emoni na kwa Ruva. 29 Na manabii vavili au varadu vatete, na vengi vautanie kwa kupambanua kileambwa. 30 Lakini aletraamia akafunuliwa jambo katika huduma, ula ambaye nevenena na nasie sii. 31 Kwa kfa kila umu wenu nedima ifuma unabii umu baada ya ungi ili kwamba kila umu amanye ijifunza na woose waweze kutiwa moyo. 32 Kwa kfa roho za manabii sikeri sumbai ya uangalizi wa manabii. 33 Kwa kfa Ruva si Ruva wa machafuko, bali wa amani. Shali ikeri katika makanisa yoose ya vaumini. 34 Yvapasa vafele vakae kimya katika kanisa. Kwa kfa veruhusiwa iteta choosa. Badala yakwe, vepaswa iva katika unyenyekevu, shali pia sheria yemba. 35 Kolia kure choose vetamani ijifunza, basi vavavese vammi savo mmbafo. kwa mwao. Kwa kfa ni aibu kwa mfele iteta katika kanisa. 36 Je checha la Ruva lilefumia are ku kwa monu? Je lilevashikya nyohonyo tiki? 37 Kolia mndu nejiona ni nabii au wa rohoni, le impasa amanye mambo ngivaandikia ya kwamba ni maagizo ya Bwana, 38 Lakini etevetambua yahaya, mteni netambuliwe. 39 Ado basi, kaka na dada sakwa, takeni sana ifina unabii, na mtamshingie mndu moose inenaku kwa lugha. 40 Lakini mambo yoose natendeke kwa usha na kwa utaratibu.