1 Ngiiduviseni nahani, shakundu na nahani ngilemfuata Kristo. 2 Luvaha ngevasifu kwa sababu ya shakundu mlengiikumbuka katika mambo yose. Ngiwasifu kwa sababu mmeyashika mapokeo shali nilivyoyaleta kwa monu. 3 Basi ngikundi mmanye ya kuwa Kristo ni mduwe cha kila msoro, nave msoro ni kichwa cha mfele, na kwakfa Ruva ni kichwa cha Kristo. 4 Kila msoro atevevaye au nedua unabii akeri amefunika mduwe nekiaibishwa mduwe chwakwe. 5 Lakini kila mfele atereveaye au idua unabii hali mduwe wakwe ukeri wasi nekiaibisha mduwe wakwe. Kwa maana ni sava sava na shali amenyolewa. 6 Ikava shali mfele neefunika mduwe wakwe, na adumbwe nywele zakwe zive ngivui. Maana ikava ni aibu mfele idumbwa nywele sakwe au indesema, basi afunike mduwe wakwe. 7 Kwani yempasa msoro ifunika mduwe wakwe, kwa sababu veave ni mfano nanutukufu wa Ruva. Lakini mfele ni utukufu wa msoro. 8 Maana mwanamsoro alefuna na mfele kuu. Bali mfele alefuma na msoro. 9 Wala msoro aleumbwa kwa ajili ya mfele. Bali mfelekuu aleumbwa kwa ajili ya msoro. 10 Hii ndio sababu mfele nepaswa ivaa na ishara ya mamlaka dooka ya mduwe chakwe, kwa sababu ya malaika. 11 Hata ado, katika Bwana, mfele alifo peke yakwe pasipo msoro, au msoro pasipo mfele. 12 Maana shali vile mfele alefuma kwa msoro, vilevile msoro alefuma kwa mfele. Na vindo vyoose ifuma kwa Ruva. 13 Hukumuni veni: Je! ni sahihi mfele amtereve Ruva hali mduwe wakwe ukeri wasi? 14 Je hata asili pekee yakwe teyefundisha kwamba msoro ave na nywele ngiasha kuu ni aibu kwakwe? 15 Je asili teyefundisha ya kwamba mfele kava na nywele ngiasha ni utukufu kwakwe? Maana aleiningwa sila nywele sha vazi lakwe. 16 Lakini ikava mndu yoosa nekundi ibishana dooka ya hili, suve ture namna ingi, wala makanisa ya Ruva. 17 Katika maagizo efuatayo, nahani ngivasifu kuu. Maana mkakusanyika ni kwa faida kuu bali ni kwan hasara. 18 Maana kwanza, ngiishule ya iva mkakolanapo kanisani, kure mgawanyiko kati ya mwenu, na kwa sehemu ngileamini. 19 Kwa maana ni lasima ivepo misuguano kati ya monu, ili kwamba vala valekubaliwa vajulikane kwa monu. 20 Kwa maana mkakomana, mkala ni kyao cha Bwana. 21 Mkala, kila umu nela kyao chakwe mweni kabla ya vengi vatala. Hata shwahashu nekeri shaa, na shwahashu amenangwa. 22 Je tukure mmba za yela na inywa? Je mwelidharau kanisa la Ruva na ivafedhehesha vatakeri na kindo? Ngaamba njoiki kwa monu? Ngavasifu? Ngavasifu katika lihali! 23 Maana ngilepokea ifuma kwa Bwana kila ambacho ngilevaininga nanyi ya kuwa Bwana Yesu, kio kila alesalitiwa, aleiria mkate. 24 Baada ya yeshukuru, aleuminja na akaamba, "Shu ndio mwili wakwa, ukeri kwa ajili ya mwenu. Fanyeni hado kwa ingikumbuka nahani." 25 Na vivi hivi naleiria kikombe baada ya yela, na akaamba, "Kikombe hiki ni agano jipya katika samu yakwa. Fanyeni hadi mara nyiingi kila mkanwa, kwa ingikumbuka nahani." 26 Kwa kila muda mkala mkate shuu na kukinywea kikombe, mweitangaza mauti ya Bwana mpaka eshaa. 27 Kwa hiyo, kila elae mkate au kukinywea kikombe hicho cha Bwana shaitakeristahili neva ajipatia hatia ya mwili na samu ya Bwana. 28 Mndu alejihoji mweni kwanza, na ado ale mkate, na ikinywea kikombe. 29 Maana alaye na inywa bila kuupambanua mwili, ila na inywa hukumu yakwe mweni. 30 Hii ndio sababu vandu vengi kati ya mweni ni vagonjwa na vadhaifu, na baadhi ya mwenu vamefa. 31 Lakini tukajichunguza veni dulehukumiwa ku. 32 Ila dukahukumiwa na Bwana, dweuriwa, ili tukashehukumiwa pamoja na dunia. 33 Kwa hiyo, kaka na dada zakwa, mkakomana mpate ila, vetaneni. 34 Mndu akava na nshaa, na ale mmba kwakwe, ili kwamba mkakomana pamoja atavee na hukumu. Na ihusu mambo hengi ngilevaandikia, ngenevaeleza ngauya.