Sura 12

1 Ihusu karama za rohoni, kaka na dada zakwa ngikundiku mkose imanya. 2 Mwishi ya kuwa mvelikeri wapagani mleongozwa ifwata sanamu siteteta kwa shia sose mleongozwa naso. 3 Kwa hiyo, ngikundi mmanye kwamba kure mosa anenaye kwa Roho wa Ruva akaamba, "Yesu amelaaniwa." Kure mosa neambaku, "Yesu ni Bwana," isipokuwa katika Roho Mtakatifu. 4 Basi kure karama tofauti tofauti, bali Roho ni yeye ula. 5 Na kure huduma tofauti tofauti, bali Bwana ni veave ula. 6 Na kure aina mbalimbali za kazi, lakini Ruva ni nive huya etenda kasi soose katika woose. 7 Basi kila umu hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wose. 8 Maana mndu umu ameiningwa na Roho checha la hekima, na ungi checha la maarifa kwa Roho ula ula. 9 Kwa ungi nemninga imani kwa Roho nefe huya, na kwa ungi karama ya uponyaji kwa Roho umu. 10 Kwa ungi matendo ya nguvu, na ungi unabii. Na kwa ungi uwezo wepambanua roho, ungi aina mbalimbali za lugha, na kwa ungi tafsiri za lugha. 11 Lakini Roho nuive huya netenda kazi hizi sose, imninga kila mndu karama kwa kadiri ya uchaguzi wakwe mweni. 12 Kwa maana shali vile mwili ni umu, navo wete viungo vingi, na viungo vyoose ni vya mwili huya huya, vivyo hivyo na Kristo. 13 Kwa maana katika Roho umu suve sose dulebatiswa kwa mwili umu, kwamba tiki Vayahudi au Vayunani, kwamwa tiki vatumwa au huru, na wose dulenyeshwa Roho umu. 14 Kwa maana mwili si kiungo kimu, bali ni vingi. 16 Ikava matende neamba, "Kwakfa nahani si koko, nahani si sehemy ya mwili," kiyo yefanya iva sehemu ya mwili ku. 15 Na ikava madu neamba, "Kwa kfa nahani si riso, nahani si sehemu ya mwili," kiyo hailifanyi kutokuwa sehemu ya mwili. 17 Shali mwili wose uvelikeri riso, kuvelivaa wapi ihishwa? Shali mwili wose ukava madu kuvelivaa kwii na inusa? 18 Lakini Ruva naleika kila kiungo cha mwili handu hakwe shakundu alepanga mweni. 19 Na shakundu vyose vifeli kiungo kimu mwili uvelikeri kuu? 20 Hado kerika viungo ni vingi, lakini mwili ni umu. 21 Riso leidima kuumbia koko, "ngite haja na vave." Wala mduve weidima ivia matende, ngite haja na nanyiku." 22 Lakini viungo vya mwili velilikana kuwa na heshima kinana vyehitajika zaidi. 23 Na viungo vya mwili twedhani vyete heshima kinana, tweviininga heshima zaidi, na viungo vya modu vitekeri na mvuto vyete uzuri zaidi. 24 Na kerika viungo vyedu vikeri na mvuto vire haja yeiningwa heshima kuu, kwa kfa tayari vikeri na heshima. Lakini Ruva ameviunganisha viungo vyose pamoja, na ameviininga heshima zaidi vila vitakeri na heshima. 25 Alefanya ado ili kulavee na mgawanyiko katika mwili, bali viungo vyoose vitunzane kwa upendowa umu. 26 Na wakati kiungo kimu kikakuvavia, viungo vyoose vyeumia kwa pamoja. Au wakati kiungo kiumu kakaheshimiwa, viungo vyoose vyekunda kwa pamoja. 27 Kerika nanyi ni mwili wa Kristo, na viungo kila kimu peke yakwe. 28 Na Ruva aleikia katika kanisa kwanza mitume, pili manabii, tatu vaalimu, kisha vala wose vetenda nmatendo makuu, kisha karama za uponyaji, vala vasaidiao, vala verunda kazi ya yeongoza, na woose vakeri va aina mbalimbali za lugha. 29 Je suve soose ni mitume? Suve wose ni manabii? Suve wose ni vaalimu? Je suve wose dwerunda matendo ha muujiza? 30 Je suve wose tukeri karama ya uponyaji? Suve wose tweteta kwa lugha? Suve wose twetafsiri lugha? 31 Tafuteni sana karama sikeri kuu. Nami ngevarora njia ikeri bara zaidi.