Sura 10

1 Ngikundi nanyi mmanye kaka na dadasakwa, ya kuwa baba zamodu wavelikeri sumbai ya wingu na wose valeuta katika bahafri. 2 Wose valebatizwa vave wa Musa kiidi ya wingu na kiidi ya bahari, 3 na wose valela kyao kila kila cha roho. 4 Wose valenwa kinywaji kila kila cha roho. Maana valenwa ifuma katika mwamba wa roho ulevaiduvisa na mwamba uveli ni Kristo. 5 Lakini Ruva alependezwa sana na vengi va mwao kuu na mauti za mwao zilesambaswa jangwani. 6 Basi mambo yahaya yose yavelikeri mfano kwa modu, ili seve tuve vandu vetamani maviishwa shakundu vovalevanya. 7 Mtave vaabudu sanamu, shakundu vengi va mwao vavelikeri. Hii ni shali ileandikwa, "Vandu valekaa sumbai na inywa, na valeinuka kucheza kwa tamaa za mapenzi." 8 Tutafanye uasherati shakundu vengi vamwao valefanya. Vakafa mfiri imu vandu ishirini na tatu elifu kwa sababu hiyo. 9 Wala tutamjaribu Kristo shakundu vengi va mwao valefanya vakaharibiwa na njoka. 10 Na pia mtanung'unike, shakundu vengi vamwao valenung'unika na iharibiwa na malaika wa mauti. 11 Basi mambo yahaya yelerundika shakundu mifamo kwa modu. Yakaandikwa ili ituonya suve tukeshikiwa na miisho ya zamani. 12 Kwa hiyo kila ejiembulia eimuka ave makini atashe indewa. 13 Kure jaribu lilevapata nanyi litalikeri la kawaida ya mwanadamu ila Ruva ni mwaminifu nevateleakuu mjaribiwe ihiita uwezo wamoni. Pamoja na jaribu vee nevaininga mlango wefumia, ili muidime istahimili. 14 Kwa hiyo, vapendwa wakwa, idisheni ibada ya sanamu. 15 Ngiamba nanyi shakundu vandu vete akili, ili muamue dooka ya ngiliamba. 16 Kikombe cha baraka tulekibariki, si ushirika wa samu ya Kristo? Mkate ula dweumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo? 17 Kwa kfa mkate ni umu. Suve wose dwepokea mkate umu, suve tukeri vengi tiki mwili umu. kwa pamoja. 18 Vaambulieni vandu wa Israeli: Je! Vala wose vela dhahabu si vashiriki katika madhabahu? 19 Ngeamba choiki basi? Ya kua sanamu ni kindo? Au ya kuwa kyao kiledulliwa sadaka kwa sanamu ni kindo? 20 Lakini ngiamba dooka ya vindo vila vedua sadaka vandu vapagani va Mataifa, ya kuwa vedua vindo fiafi kwa mapepo na si kwa Ruva. Nami tinkundi nyueni mshirikiane na mapepo! 21 temweidima inywea kikombe cha Bwana na kikombe cha mapepo. Temwedima iva na ushirika katika meza ya Bwana na katika meza ya mapepo. 22 Au twemwishua Bwana wivu? Dure nguvu zaidi yakwe? 23 "Findo vyose ni halali," Lakini si vyose veevaa. "Vindo vyose ni halali," Lakini si vyose vetujenga vandu. 24 Kure hata umu atafuta mazuri yakwe tiki. Badala yakwe, kila umu netafuta mazuri ya mwenzake. 25 Mweidima ila kila kindo chekubwa sokoni bila ivesa - vesa kwa ajili ya dhamiri. 26 Maana "dunia ni mali ya Bwana, na vyose vishule." 27 Na mndu atameamini akavaalika ila, na mkundi ienda, kuleni chose nevaininge pasipo ivesa maswali ya dhamiri. 28 Lakini mndu akavavesa, "Kyao kii cha dukana na sadaka ya vapagani," mtale. Hii ni kwa ajili yakwe alevavia ni kwa ajili ya dhamira. 29 Nami ngemaanisha dhamira samonu, bali dhamiri ya ula ungi. Maana niikili uhuru wakwa uhukumiwe na dhamiri ya mndu ungi? 30 Ikava nahani ngetumia kyao kwa shukrani, niiki ngilailiwe kwa kindo ambacho ngimeshukuru nacho. 31 Kwa hiyo, choose mwela au inywa, au choose mwerundacho, vanyeni vyose kwa ajili ya utukufu wa Ruva. 32 Mtavakoseshe Vayahudi au Vayunani, au kanisa la Ruva. 33 Jaribuni shakundu nahani ngilejaribu ivapendeza vandu vose kwa mambo yoose. Ngetafuta faida yakwa mwenikuu, bali ya vengi. Nahani ngefanya adi ili vapate iokolewa.