Sura 9

1 Nahani si huru? Nahani si mtume?Nahani ngilemlolia Yesu Bwana wa modu? Nyohonyo si matunda ya kasi yakwa katika Bwana? 2 Ikiva nihani si mtume kwa veengi, angalau ni mtume kwamonu nyohonyo. Kwa maana nyohonyo ni uthibitisho wa mtume wakwa katika Bwana. 3 Shu ndio utetezi wakwa kwa vala vengichunguza nahani. 4 je kure haki ya ila na inywa? 5 Kure haki ihiria mfele ambaye eamini shakundu vefanya mtume weengi, na ndugu wa Bwana, na Kefa? 6 Au ni nihani mweni yakwa na Barnaba ambao dwepaswa irunda kasi? 7 Ni veifi nerunda kasi shali askari kwa gharama sakwe umoni? Ni veivi nepandaye msabibu na ataye matunda akwe? Au ni veivi eringa kundi na atanywe maruva akwe? 8 Je ngiamba yahaya kwa mamlaka ya kibinadamu? Sheria nayo yeamba yahaya?. 9 Kwa kfa ileandikwa katika sheria ya Musa, "Utamfunge umbe kinywa kaya masao." Ni loi kwamba hadii Ruva nejali umbe? 10 Au Je neamba yahaya kwa ajili ya modu? Ileandikwa kwa ajili ya modu, kwa sababu veave netema masao yempasa ifuma kwa matumaini, nave efuma yempasa afune kwa matarajia eshiriki katika mafuno. 11 Ikava duleyaa vindo vya rohoni miongoni mwamodu, je! ni checha iduve kwa modu tukavuna findo vya mwilini ifuma kwamonu?. 12 Ikava vengi valepata haki hii ifuma kwamonu, Je! suve shi saidi? Hata ado duledai haki hii. Badala yakwe, dulevumilia mambo yoose badala ya yeva kikwazo cha injili ya Kristo. 13 Dumuishi ya kuwa wose verunda kasi hekaluni vepata kyao chwa mwao ifuma hekaluni? Dumuishi ya kuwa woose verunda kasi madhabahuni vepata sehemu ya kila chaduliwa madhabahuni. 14 Kwa jinsi yohoyo, Bwana aleagiza ya kuwa wose veitangasa injili sharti vapate iishi ifumana na hiyo injili. 15 Lakini ngimevadai ku haki sose hisi. Na ngeandika kuu yahaya ili jambo lose lifanyike kwa ajili yakwa. Ni heri nahani ngife kuliko mndu wose kubatilisha huku kujisifu kwakwa. 16 Maana ikava ngehubiri injili, ngete sababu yejisifu, kwa sababu ni lazima ngivanye ado. Na ole wakwa ngitameihubiri injili! 17 Kwa maana ngefanya adi kwa hiari yakwa, ngete thawabu. Lakini ikava si kwa hiari, bado ngete jukumu ngileiningwa iva wakili. 18 Basi thawabu yakwa ni niiki? Ya kuwa ngevina injili bila gharama na bila ifina kwa utimilifu wa haki yakwa ngikeri nayo katika injili 19 Maana japo ngikeri huru kwa voose, ngilefanyika mtumwa wa voose, ili kwamba ngiidime ivaininga vengi zaidi. 20 Kwa Vayahudi ngivelu sha Myahudi, ili ngivapate Vayahudi. Kwa vaya valio sumbai ya sheria, ngiveli sha umu wamwao alivapata vala valio sumbai ya sheria. Ngilefanya ado ingawa nahani binafsi ngivelikeri sumbai ya sheria. 21 Kwa vala vakeri shaa ya sheria, ngivelikeri kama umu wa wamwao shaa ya sheria, ingawa nahani binafsi ngivelikeri nshaa ya sheria ya Ruva, bali sinde ya sheria ya Kristu. Ngilefanya ado ili vapate vala vakeri nshaa ya sheria. 22 Kwa vakeri vanyonge, ili ngivelikeri mnyonge ili ngivapate vali vanyonge. Ngivelikeri hali soose kwa vandu wose, ili kwa shia soose ngepate ivaokoa baadhi. 23 Nahani ngefanya mambo yoose kwa sababu ya injili ili ngipate ishiriki katika baraka. 24 Dimuishi ya kuwa katika mbio sose veshindanao vekaba mbio, lakini apokea tuzo ni umu? Ado kabeni mbio ili mpate tuzo. 25 Mwana michezo nejizuia katika hose akeri katika mafunzo. Voo vefanya ado ili vapokee taji leharibika, lakini suve dwetisha ili dupate taji liteharibika. 26 Kwa ado nahani ngedisha bila sababu au ngekabana ngume shali ngekaba hewa. 27 Lakini ngeutesa mwili wakwa na iifanya shali mtumwa, ili kwamba ngamaa iwahubiri vengi, nahani mweni ngitave wekataliwa.