1 Baada ya miharu eye nakayohini lilowe andalya mlio nkoronga wa kundi likoronga la waundu kumbinguni ni lilongera,''Haleluya.Wokovu utukufu na likakala ni lya Chapanga witu. 2 Hukumu yaki ni kweli na ya haki,kwakuwa auhu kumwili kahaba nkoronga gwaharabiki unena kwa uzinzi waki.atendaditi kisasi kwa myahi ya watumishi waki,ambaye akayitili ywani mweni.'' 3 Kwa mara ya pili wakarongili ,''Haleluya lyohi kuhumwa kwa yweni milele na milele.'' 4 Wara wazee ishirini na nahehe na viumbe hai ncheche wakasujudu na kudumwabudu Sapanga ywi tama pakiti cha enzi wakakiri virongera .''Amiwa .Haleluya!'' 5 Ndipo lilowe lipiti pa kiti cha enzi lilongili,''Msifuni Sapanga witu,enye watumishi waki mawoko,ninyi mwimcha yweni mwawoha mwanga na umuhimu na wenye likakala.'' 6 Ndipo wakayohini lilowi anda lilowi lya kundi hikoronga lya wandu anda lilowi lya ngurumo ya masigha maheri,na anda ngurumo ya radi yakarongiri,''Haleluya!Bambu ni Chapanga witu,ntawala kunani ya wohahutawata. 7 Na tushangilie na kufurahi wa kumpera utukufu kwa sababu harusi naa sherehe ya mwana limberere iwuyiti na bibi harusi avitayari.'' 8 Akaruhusiwi kuvalishwa kitani safi na yenye kung'aa(kitani safi ni matendo ya haki ya waumini). 9 Malaika akarongile nanenga,''Mughayandiki agha wamebarikiwa walioalikwa kwenye sherehe ya harusi ya mwana limberere.''Vilevile anamongali.''Ehe ni mihavu ya kweli ya Sapanga.'' 10 Nakasijudi kuurongoro mumakongano ghaki na kamwabudu lakini akanongoli,''Ukotokitenda naha nenga na mtumisi nnyako na wa warongo vaku wenye kuua kamura udhuhuda wa Yesu mwabudu Sapanga kwa kuwa ushuhuda wa Yesu ni roho ya unabii.'' 11 Kisha nakaiwani mbingu idindwiki,na rola kuka bi nafarasi nkele!Nayula ywakavi au kwelili anaitwa mwaminifu na kwea .Hukumu kwa haki na kutenda vita. 12 Mihughaki ni kama mwali wa moto,na kunani pa mutu waki avina taji yamaheriAvina lihina lyawaya udiki kunani yaki angakulimanya mundu ywoha yura isipokuwa yweni mweni. 13 Dhwaliti vazi lyawaswikiti munyali,na lihina lyaki wakamkema ugaru wa Sapanga. 14 Majeshi ya kumbinguni yakavivimfuata kunani kwa farasi wahuhu wawahwalili kilani chamaha kihuhu na safi. 15 Kinywani mwake wipita upanga ukali ambao wangamiza mataifa naye atawatawala kwafimbo ya chuma.Naye irevetera vyombo vya mviyo kwa wasira kali ya Sapanga,hutawala kunani ya woha. 16 Naye wannyandiki kunani ya vazi lyaki na latika liwondo lyake lihima.MFALME WA WAFALME NA BAMBU NA WABAMBU. 17 Nakaweni malaika wayemili pa lyeva.Akavakemiti kwa hilowe lihoronga lyuni lyoha viwimburuka kunani,''Mmuyi mkusanyiki pamonga kwenye ughali kimu cha Sapanga. 18 Mmuyi mlyeghe nyama ya wafalme,nyama ya Majeme dari nyama ya wandu wakoronga,nyama yafarasi na wiwikwera farasi,na nyama ya wandu woha wawa wi huru na watumwa wanga na umuhimu na wenye likakala.'' 19 Nakamwene mnyama na wafalme wa nnema pamonga ua majeshi ghavi,''Wakavi wajipangiti kwa ajili ya kutenda vita na yumonga ywa kweriti farasi na jeshi lake. 20 Mnyama akakamuliwi wa nabii wake wa ukowoli aliyezifanya ishara katika uwepo wake.Kwa ishara elie akawakomoli wara wawaipokiri chapa ya mnyama au wasioisujudia sanamu yake woha wawili wakawata ghiti wamela hai katika ziwa la mwoto liliyaka kwa kibiriti. 21 Wale wawahighiri wakawakomiti kwa upanga wuhumiti munnomo wa yumonga ywake kuveriti kunani kwa farasa.Lyuni hyoha wakalili mizogo ya mmeli ghwavi.