Kihongi 18

1 Baada ya nene ehe wakamweni malaika yungi ihuruka pahi kuhuma kumbinguni.Yweri akavili na mamlaka makuu na unena ili angazwe kwa utukufu waki. 2 AKaleliti kwa lilovi vikoronga,akarongiri,''Ugwiri ugwiri ghora musi ukoronga Babeli!Uvi sehemu yakaapo mapepo,na sehemu ikaapo kilaroho chafu,na sehemu akaapo kila mchafu na kuyuni achukizaye. 3 Kwakuwa mataifa yole ghanywili mvinyo wa tamaa ya uasherati wake ambayo winnetera ghadhabu wa mfalme wa nchi wamezuii naye wafanyabiashara wa unena wavi matajili kwa likakala lya maisha yaki ya anasa.'' 4 Kisha nakayohili lilovi lengi kuhuma kumbinguni ikarangi,''Mmoki kwanyweni vandu vangu ili msipe mkashiriki kalika dhambi zaki na ili msije mkapokea mapigo yake yoyote. 5 Dhambi zake irundikini kunani anda mbinguni,na Sapanga agha kombwiki matendo ghaki maovu. 6 Munnepi anda niwalepiti vangi na mukannepe mara mbili kwa jinsi akatenditi kikombe kyaka hangalini,Muhangamiri mara mbili kwa ajili yake. 7 Kana alivyojifunza yweni mwani na alihishi kwa anasa,mumpere mateso ghamaheri na huzuni.Kwa kuwa irongera mumwoyo waki,'Ndamiti anda malkia; wala sio mjane ,na nirondeka maombolezo.'

8 Kira hiyo nkati ya usiku limonga mapogo ghaki yatamlemea:kifo,maombolezo,na njara.Atateketeza kwa moto kwa kuwa bambu sapanga ni mkora likakala na ni mhukumu waki.'' 9 Wafalme wa nnema waliozini na kuchanganyikiwa pamonga na yweni andawalela na kumwombolezea pivipara kuliwona lyohi na kutimika kwaki. 10 Andawayema kutali na ywani kwa hofu ya maumivu yaki virongera,''Ole,ole kwa muji nkoronga.Babeli,muji uuviwa likakala!kwalisaa limonga hukumu yako iwutiti.'' 11 Wafanyabiashara wa nne mleli wa kuomboleza kwa ajili yaki,kwa kuwa livindeka hata yumonga ywi ihemera bidhaa hyake karere. 12 Bidhaa za dhahabu mbiya,maganga ya thamani,lulu,kitani cha maha.Zambarau hariri ikere aina hyoa ya mikongo ya harufu ya maha,kila chombo cha manyeru gha undembu,kila chombo cha watendekili kwa mikongo ya thamani,shaba,chuma,liganga, 13 Mdalasini,viungo.Uvumba,manemane,ubani ,mvinyo,mahuta,uhembe,wamaha,ngano,ng'ombe na mamberere farasi na mutuka na watumwa na roho za wandu. 14 Matunda ukaghaghawiti kwa likakala lyaku ghawokiti kuhuma kwa wenga.Anasa zako zote na mapambo ghowokiti ghi patikana waleka. 15 Wafanyabiashara wa ireve ehe wakapatiti utajili kwa Mapenzi ghaki andawayema kutali kuhuma kwayweni kwa sababu ya hofu ya maumivu ghaki vilela na lilove lya maombolezo. 16 Wakarongiri,''Ole.Ole usighora mkoranga uli orikwa kitani cha maha,zambarau,na ikere,na kupamkwa kwa dhahabu,na vito vya thamani nalulu!'' 17 Nkati ya lisaa limonga utajiri woha ogho ukawokiti.Kila nahodha wa meli,kila bahari,na woha wanamasi,na woha vivifanyakasi mubahari,wakayemili kutali. 18 Wakaletili pawa kaliweni lyohi lya kutimika kwaki wakarongiri,''Ni musi guani uhwamini na msi ogho nkoronga?'' 19 Wakataghiti lihu kunani mu mitu hyavi na wakaleliti,wakitokwa maholi na kuomboleza,''Ole ole musiukoronga mahali woha.Wakavi na meli hyavi baharini wakari matajiri kutokana na mali zao nkali ya lisaa limonga umeanga.'' 20 ''Furahini kunani yahi,mbinguni,mwenga mwawaumini,mitume na manabii,kwa maana Sapanga aletiti hukumu kunani yaki!'' 21 Malaika wawaviwa likakala wakayinwiti liganga anda liganga likuu lya kuhyaghila na akalitaghi mubahari,akarongi,''Kwandera eye,Babeli,ghora musi mkoronga,andatukutagha pahi kwa ukatili wa wiwonekane ndeka kavele. 22 Lilole lya vinanda,wanamuziki,wachezaji filimbi na tarumbeta anda wayuhamika ndeka kwa mwenga wala fundi wa aina yeyote anda wonekana ndeka kwinu.Wala lilowe lya litole andaiyohanikandeka kwinu. 23 Mwanga wataa andakangazandeka ukati mwakulilewe lya bambu harusi na kiki harusi andaliyo hanikandeka kavile nkati yao.Maana wafanyakia shara wako wakavi wakoronga wa nuema na wa mataifa wamedanganywa kwa uhavi. 24 Nkati yaki myahi ya manabii na waamini ika wonakini na myahi wona waliokawa kunani ya mema. Nkati yaki myahi ya manabii na waamini ika wowakini na myahi woha waliouawa kunani ya nchi.''