Kihongi 20

1 Kisha ni kaweni malaika ihuru na uhuma kumbinguni akavi na ufunguo wa liwomba lyangu na mwisii na mnyororo nkoronga mmawoko ghaki. 2 Anakamwili yora joka,liyoka wa zamani,ambaye ni ibilisi au ihetamina kuntawa miaka elfu. 3 Akataghiti muliwomba na mwisu,akalitaviti na kulitia mhuri kunani yaki.Hii yakari naha ili kwamba akotokuwakoroha mataifa tena mpaka miaka elfu piipara kuyomoka.Baada ya hapo aundanueka huru kwa muda mchache. 4 Kisha ni kaweni viti vya enzi.Hyavakavili vitamila wara ambao wapatiti mamlaka ya kuhukumu.Vilevile nikaweni wafasiza wara ambao wakavi wadumwitu kwa ajili ya Ushuhuda kuhusu Yesu na kwa uharu wa Sapanga.Wakavi wana mwakudundeka muyama au sanamu yake,na wakakamiti kupokera alama kunani pa kiwonge cha nyuso zao au liwoko.Wakawoyiti uzimani mpaka nuaka elfu. 5 Wafu wawahihighiri wakawuyili ndeka uzimani mpaka miaka elfu payakayomwiki.Huu ndio ufufuo wa kwanza. 6 Mbarikiwe na utukufu ni mundu ywohayora ambaye itora nafasi katika ufufuo wa kwanza!Mauti ya pili.haina likakala kunani ya wandu anda awa anda pavya na makuhani wa Sapanga na wa kristo na anda watawala na yweni kwa miaka elfu. 7 Wakati miaka elfu piipara kulika mwisu,shtani atafunguliwa kuhuma gerezani mwaki. 8 Andayarayi panya kuwakoroha mataifa katika kona une za dhuma -Gogu na magogu-kuwaleta pamonga kwa ajili ya vita andawavya wanaheri anda ncki wa kubahari. 9 Wakayawili kunani kwenye tambarare ya nchi na wakatindiri kambi ya waumini,mji Upendwao.Lakini mwoho ukawunjili kuhuma kumbinguni na kuwa angamiza. 10 Shetani ambaye akawa korwihi,akamtaguiti nkati ya ziwa liwakalo kiberiti,ambamo munyama na nabii wa kongo wakavili wawataghiti andawale swa pamuli na uhiku milele na milele. 11 Kisha nikiweni kiti cha enzi kikoronga kihuhu na yula ywa katamiti kunani yaki Dunia na Mbingu yakatirirti kutali kuhuma katika uwepo waki,lakini yakaviendeka nafasi ya veni kuyara. 12 Nakauwaweni wawahwiri-hodari wa wasio wa muhimu wayemiti katika kiti cha enzi na vitabu vili funuliwa,Kisha kitabu kingine kilifungira -kitabu cha uzima.Wafu walihukumiwa kwa kela kikiyandikwi nkati ya vitabu,matokeo ya kile walichokifanya. 13 Bahari ikawamuhiti wafu ambao akavinkati yake kifowa kuzimu ikawawohili wafu ambao wakavi nkati yake wafu wakahukumiwi kulingana na kyawakatenditi. 14 Kifo na kuzimu wakataghili nkati ya ziwa la mwoto.Hii ni mauti yapili-ziwa la mwolo. 15 Anda lilina la ywohayora lipatikini undeka liyandikwi nkati mu kitabu cha uzima,waka ntaghiti nkati ya ziwa la mwoto.*