Kihongi 11

1 Apekile mwehe wa kutumila kiboko ya ambimile nikunongolile.Vukuye na akapimaye hekalu la Chapanga na madhawabu na vala wanaubulu nkate gwake. 2 Lakini usipeme lieneo la ua wa ndila ya hekalu kwa kulye wakampelile vandu wa mataifa wakunitile miji mtakatifu mmehe arobaini na mavina. 3 Nitawapelaye mashaidi vangu vavina mmalaka ya kutabili kwa muda wa mmuhe ya kutabili lichingu 1,260,,wakigha wakawalite magunila.'' 4 Vala mashaidi ni ngongo mighena ya mizeituni na vinara ambavyo vikazimite kulongolo ya bwana kudunia. 5 Kama mundo yoyola anda amwie kuwabudu moto kughuka kinywani mwao nakuwazulu andui zao yoyote ghwapaile kuwazulu lazima gha nkomaye kwandelahee. 6 Hao mashaidi ghavile na uwezo kudinda angaili kwamba hula ikoto kutonya wakati wanatabili. Wana makakaya kubadili mase kuwa miyaena kutogha inchi kwa aina piko wakati wowote wapaile. 7 Wakati watakavyo a wagha mwile ughuhu dawao mnyama ghwa ighoka kwe lighomba lisilo na mwisho atafanya vitazidi yao anchindwite na kughakama. 8 Miili yao inaghalike katika mtaawa mji mkuu (ambao kimfano ankemite sodoma na misiri) ambapo bwana wao walisulubiwa. 9 Kwa siku tatu na nusu baadhi kuhuma katika jaa ya ghando.Kabila lugha na kila taifa wakalolite miili yao na kughoha kibali kuweka katika kaburi. 10 Wale luanaoishi katika nchi watafulahi kwa ajiri yao na kuchangilia hata kutumia na zawadi kwa sababu hao manabii ghavina sabab bugao ghaka wate site ghole wali ishishi katika inchi. 11 Lakini baada ya linchi tatu na nusu pumzi ya uhai kutoka kwamungu. 12 Kisha wakuyuhine lisauti ngulunga kuhuma mbinguni ankwalongela vinye kuni.''Nao wakayavule kunani ya mbinguni katika wingu wakati adui zao wakitizemine. 13 Katika lisaa lino kutakuvigha na tetemeko na kulanga hai drhi na umonga kumi ya muyi ikaghile vandu elfu saba akantovite talumbeta kuhumila wataogobesha nkupela utukufu Chapanga wa kumbinguni. 14 Ole ya pili rikapitite kulolokeaya tatu ikavunyite upesi. 15 Kisha malaika nwa saba akatovite talumbeta ghaka na sauti ngulunga zilinena kulongela.''Ufalme wa dunia wamisha ufalme wa bwana Chapanga mtawala,kunani ya vyote. 16 Kisha waghogholo ishilini na wanne waliokuwa wameketi kwenye viti vya enzi mbele Chapanga wa kugunile. 17 Wakalongile.Twatoa shukurani na wanne zetu kwao.Bwana Chapanga mtawala juu ya vyote, ambaye upo na ambaye ulikuwepo, kwa sababu umetwaa nguvu yako kuu na kuanza kutawala. 18 Mataifa wakaghwamite.Lakini gadhabu yako ikavunyite wakuti wakahumite kwa wafu kuhukumiwa na wenga kuwazawadia watumishi wako wanabii waamini vala na hofu na kilivi na wamwene nguvu wakati wako wacuhumite wa hofu.'' 19 Kisha hekali la Chapanga mbinguni lolifunili wa na sunduko la mango likavonile nkate ya hekali liake.Kulikuwa na miali ya malanga mangute ngulumo radi tetemeko la ardi na liganga hula.