1 Kisha ninkanole yuunge akahuluke pahe kuhuma mbinguni.Alikuwa amefungwa katikakati wingi.Kulikuwa upinde wa hula kunani ya mundo wake.Miho ghake alikuwa kama lwiva na maghulu ghake.Ilikuwa kumanguzo za moto. 2 Alakumulile gombo sukombe katika mavoko ghake lilikuvegha wakuyuunile kudhoto kunane pae akivikite mughulu ghake wa kushoto kunani pahe kavu. 3 Kisha akipaza sauti ya kunane kama lihimba akungulumwe,na wakiti alipopaaza sauti radi saba ikuungulwumwe. 4 Wakati ladi saba ziliungulumwa,nikavile nikalibia kuyandika, lakini akalongile.''Ukatokuyandika.'' 5 Kisha malaika ankamwene akaingimite kunane ya bahali na ichi kuvu,ankankomite mavoko ghake kunani kumbinguni 6 nkungupa kwa yula milele na milele--aliyeumba mbingu na vyote vilivyomo, dunia na vyote vilivyomo, na bahari na vyote vilivyomo: "Hakutakuwepo kuchelewa tena. 7 Lakini katika linchiko lila,wakati maika wa saba atakapakulibia kutova mangulo talumbeta ghake,ndipo sili Chapanga itakuwa imetimizwa kuma akatangishe.'' 8 Sauti nikayuhine kuhuma kumbungu ankanongolile kuvina:''kuyenda kutoka gombo mchukombe likifuniliwa ambalo kiko lilu mchungu.Lakini katika mavoilo wa malaika akiyimite kunani.'' 9 Kisha nikuyavuile kwa malaika na nkunongolela upele gombo,'' Chokombe ankanongolile .Kutola gombo yula litahifanzi lumbo lwake litweghe.'' 10 Nikivile gambo lisokombe kuhuma kumavoilo mwa malaika kulila.Lilikuwa litamu kuma asali kutika nomo ghake laleni. 11 Kisha baadhi ya sauti zikanongolile anapwaswa kutabili, ''Tena kuvegha vandu wamaheli, maataifa ,lugha ,na wafalme.''