1 Kisha malaika wa tano wakantovite talumbeta ghake ni kamwene nyota kuhu kuhuma kumbinguni ikavile igagwile kwenye dunia nyota ilipewa ifunguo wa shimo linaloelekea kwenye shimo lisilo na mwisho. 2 Wakaandite dhimo lisilo na kikomo namosi akapandite kunani kwa anga vabadilike vikiwa gizo kwa sababu ya moshi akavukite. 3 Nkate ya moshi nzige wakutumite kuvuya kunani ya dunia nao wakapitite nguvu kama ile ya nge kanani ya dunia. 4 Wanlinongolile koto kudhulu mahamba katika nchi au namea wowote wa kijani au unilonga usipokuwa tu mundu ambao hawakuwa hao vandu ambao hawakuwa na muhuli wa Chapanga katika paji za nyuso zao 5 Ankapelite ndeka luhusa ya kuwankoma ruhusa ya kuwankoma nao vandu,Bali kuwatesa tu kwa miezi mitano uchungu wao wakavile kamagha kivina nge amamwamapo mundu. 6 Katika linjiko hizo vandu wakapelihe kulwegha,lakini wakapatite ndenka lakni kifo wakavutieke. 7 Malaika wa kwanza akantavite talumbeta ghake na kukuchumite hula ya maganga na mwana ukanganike na miahe,Ujataghe chini katika chi ili kwamba theluthi ghake aungue. 8 Walikuwa nina ankantovite talumbeta ghake na kilivi kama kitumbi mkulanga akavile alangua kwa moto akutopwa bahalini akimulika kama Theluthi ya bahali akavile akavile moahe. 9 Walikuwa na vifua kama vifua vya chuma na sauti ya mabawa yao ilikuwa kama sauti ya magari mengi ya vita na farasi wakimbiao kwenda vitani. 10 Walikuwa na mikia inayouma kama nge; katika mikia yao walikuwa na nguvu ya kudhuru watu kwa miezi mitano. 11 Lihina la nyofa pankanga ukavile machungu gwa malaika wa shimo lisilokuwa na mwisho. Jina lake katika Kiebrania ni Abadoni, na katika Kiyunani ana jina Apolioni. 12 Ole ya kwanza imepita. Angalia! Baada ya hili kuna maafa mawili yaja. 13 Malaika nitatazime na nikuyuhine tai aliye akakiluvike katika anga akakemite kwa sauti,njuu,''Ole ole.Ole kwa nkuu.''Ole kwa vala katika nchi kwa sababu ya milipoko wa talumbeta. 14 Sauti iliwambia malaika wa sita wakavile talumbeta wanenhe malaika chiche ambao wefungitwe katika muto mkulunga Edrata.'' 15 Malaika ghale unchiche wakavile wameandaliwa iwe saa yino mwalimu,lichiku hiyo huo wankanekite theluthe ya mwanadamu 16 Idadi maskali wakavile kunani falasi alavile 200,000,000.Nikayuhine idadi ghao. 17 Hivi ndiyo nikalolite nafasi katika nafasi ghangu cucle walio pande kuneni akehumite:Vifua vyao vilikuwa vyekundu kama moto, bluu iliyoiva na njano isiyoiva. Vichwa vya farasi vilifanana na vichwa vya simba, na midomoni mwao ulitoka moto, moshi na salfa. 18 Theluthi ya wanadamu wankankomite na ghala mapigo matatu:moto,moshi,na salfa alhahumite katikanomo ghao. 19 Kwa kuvegha nguvu falisi kavile katika mikia-kwa kuwa mikia ghao kavile ambayo wankantamile usuwa wajelaha. 20 Watu waliobaki, wale ambao walikuwa hawajauawa na mapigo haya, hawakutubia matendo yao waliyokuwa wamefanya, wala hawakuacha kuabudu mapepo na miungu ya dhahabu, fedha, shaba, mawe na miti—vitu ambavyo haviwezi kuona, kusikia au kutembea. 21 Wala hawakutubia uuaji wao, uchawi wao, uasherati wao au njia zao za wizi.