1 Ishara kubula yakavoniki yakavoniki ubinguni:nala yavafunike na lyuva,na akiwa mwezi chini ya maghulu ghake;na taji ya nyota kumi na mbili ya kavile kunane ya muto ghwake. 2 Akavile mimba na akavile ilela kwa ajili ya maumivu gha kupapa-katika uchungu wa kujifungua. 3 Na ishara yengine yakavonike mbinguni:Naraye kukavile na liyoka lyekundu linkurunga ambaye akavile na mimuto saba na pembe kumi na kukavile na taji saba kwenye mimuto hyake. 4 Mkia wake wakakakwite theluthi imonga ya nyota mbinguni na kutagha pahe paduniani.Liyoka akayemile kurongoro ya nala yakavile ikalibia kupapa,ili kwamba wakati ipapa,apate kummila mwana ghake. 5 Akampapite mwana,mtoto wakiume,ambaye naghatawala mataifa ghote kwa kiboka chachuma.Mwana ghake vakahyungite kunane kwa chapanga na pa kiti chake cha chuva, 6 na nala akavutukile nyikani mahali ambapo Chapanga akavile aaandiye lieneo kwa ajili yake ili aweze kuhudumia kwa siku 1,260. 7 Henaha kukavile na vita mbinguni.Mikaeli na malaika ghake vakatovine na lia liyoka:naye liyoka linkurunga na malaika waka vakatovine nako. 8 Hena liyoka akaviya na likakala la kutosha kushinda kwa hiyo yakaviye kavina nafasi mbinguni.Kwa ajili yake na malaika ghake. 9 Liyoka linkurunga-lia liyoka la zamani valikema ibilisi au shetani ambaye hudanganya dunia nzima vakataghite pahe katika dunia,na maheka yake vakataghite pahe pamonga nako. 10 Halafu nakayohine sautinkurunga kuhuma mbinguni henaha wokovu uhite,nguvu-na ufalme na mungu thwito na mamlaka gja kristo wake.Kwa kuwa mshitaki wa varongo vito vatanghite pahe -ambaye akavatakile kurogola ya Chapanga ghwito mchana na usikwa. 11 Vakashindite kwa damu ya mwanakondoo na neno la ushuhuda wave,kwa maana vakapahiye sana maisha ghave,hata kuhwegha. 12 Kwahiyo shangiliaye mwenga mbingu,na mavoha mimitama nkati yake.Lakini ole wa nchi na bahari kwa sababu mwoni ahulwike kwino.Avina muda mchache tu 13 Wakali liyoko pakatambwi kuwa vataghite pahe pa nchi,akafatite nala ambaye akavi apapite mwana wa kigose. 14 Lakini nala akapatile mabawa mavina gha tai nkurunga,ili kwamba aweze kuruka hadi kueneo lavaliandihe kwa ajili thake kula kujangwani,eneo ambalo ngawezite kutuzwa,kwa wakati,nyakati na nusu wakati-mahali pangaweza kuhika thweni liyoko. 15 Liyoka lakathitite mase kuhuma mnomo ghwake anda lukemba ili ahenge gharika ya kumgharikisha. 16 Halafu aridhi yakasaidile nara yakafuniliye kinywa chake na kuumila lukemba aliotema kuhuma kinywani mwake. 17 Harafu liyoka akauhyomile nala natwene akavokite na kufanya vita uzao ghwote-vala vivi tii amri ya Chapanga na kukamulila ushuhuda kuhusu Yesu. 18 Halafu liyoka lakamite kunane ya ncheke ufukwe wa bahari.