1 Ukatisanbalati, Tobia,Geshemu Mwarabu na wabaya wetu watuhu wekusikiaho inga nkizenga uhya ukanto na inga nkakuna hantu hohose hekubadwaho mwazi, inga nkazati kuka miango mwa malango, 2 Sanbalati na Geshemu katuma ntume akagombeka "Sooni", tikintane hamwe hantu fulani mwe tambalale ya Ono." Akini wakunda kunizulu. 3 Nkiwatuma ntume kwao nikagombeka, Nagosoa ndima nkuu na nkidaha kuseya. Kwa jiiani ndima igooke ukati nonda henikahauke kweza kwako. 4 Watuma uosi uo uo maa kane, na mi nkiwajibu via via kiya ukati. 5 Sanbalati katuma mtumishi wakwe kwangu kwa sia ile ile maa shano, na baua ye mwazi mwe mikono yakwe. 6 Iyaandikwa, "Yaaviwalaalifa gati ya mataifa, na Geshemu, neye agombeka, Inga wee na wayahudi mna mpango wa kuasi, kwa ajii iyo nee mwazenga ukanto. Kuawa na mbui izi, uhehi kuwa mfaume wao. 7 Nawe kusagua manabii kubiikia mbui zako uwanga ya Yelusalemi, wakamba, Kuna mfaume uko Yuda! "Wadaha kuwa ukwei mfaume ondandaasikie mbui izi. Basi heebu soo tigombeke. 8 Kisha ne namtuma mbui nikagombeka, "Mbui kana izi nkazizzati kugsoka kana wambavyo, kana izi nkazizati kugosoka kana wambavyo, inga mwe moto wako kuyabuni." 9 Kwa ajii wose wonda kutitisa, wakifikii, "Wonda waeke mikono yao kugosoa ndima iyo. na nkaina igosoke." Akini sasa, Muungu, naomba igee nguvu mikono yangu. 10 Nkiita nyumbani kwa shemaya mwana wa Delaya, mwana wa Mehetabeli, mwekufungwa mwe nyumba yakwe. Akagombeka, "Hebu tikintane na tivugae miyango ya hekalu, kwa ajii weza kukukoma. Nakiyo wonda weze kukukoma." 11 Nkijibu, "Je mntu inga mie nadaha kuguuka? Na mntu inga mie nadaha kwengia hekaluni ili mpate kwekaa? Nkinanengie." 12 Nkimmanya inga mkiye Muungu mwekumtuma akini nee kagosoa unabii zidi yangu. Tobia na Sanbalati wamwajii. 13 Wamwenka ndima kunigosoeya niwe na wasiwasi ili nigosoe kiya agombekacho na kugosoa zambi, ivyo ne wadaha kunenka zina baya ili nipate soni. 14 Muungu wangu wakumbuke Tobia na Sanbalati, na yose wayagosoayo. Pia mkumbuke nabii Naadia na manabii watuhu ambao wajaibu kunigosoa niogohe. 15 kwa iyo ukanto ubindiizwa siku ya ishiini na shano ya mwezi wa Eluli, baada ya siku hamsini na mbii. 16 Wankondo wetu wose yekutizangukayo. Waogoha na kukakata tamaa sana hemeso yao wenye, kwa ajii wamanya ndima iyo igosoka kwa msaaada wa Muungu wetu. 17 Ukati unu wakuu wa Yuda watuma bauwa nyingi kwa Tobia na baua za Tobia zikaetwa. 18 Kwa ajii wawa wengi uko Yuda wafungwa kwa kwe isa kwakwe kwaajii kawa mkwewe Shekania, mwana wa Ala. Mwanawe Yehohanani kawa mkaziwe Meshulamu mwana wa Berekia. 19 Pia watamwiya nami kuhusu mbui zakwe matana na kuwamba mbui zangu. Baua zietwa kwangu kuawa kwa Tobia kunitisa.