Sura 7

1 Ulati ukanto ukabindikia miango nayo nee nkiigoosa kae, na walinzi wa malango na waimbi Walawi, 2 N'kamwenka mundugu ywangu Hanania awe na amli mwe Yelusalemu, hamwe na Hanania mwekua mgookezi ya kijiji kwa ajii nee ni mwaminifu naho amuogoha Muungu sana kuliko wangi. 3 Nani nee nawamba msekukugua malango ya Yelusalemu mpaka zua dikatenda kai. Ukati walinzi wa mauango wainda wadaha kuvugaa miango na kuikaza. Sagua walizi kuawa mwe wada wekaao Yelusalemu watuhu hantu hao he ulinzi, na watuhu mbele ya nyumba wenye, 4 Isasa mzi utenda mpana na mkuu, iya nee kuwa na wantu wacheche wekuwao umo na nkakuna nyumba zekuzengwazo vituhu. 5 Zumbe Muungu ywangu kaika mwe moyo wangu, kuwagonda hamwe wakuu, mahafisa na wantu kuwagonda mwe familia zao. Mkipata kitabu cha uvyazi wa wada wekuwao wauya bosi nee naona igondwa umo. 6 Awa ee wantu wa jimbo wekuao waita kuawa kwe uhamisho wa wada wekusamizwao wekudoigwao mateka ni mfaume Nebukadineza wa Babeli wakagotoka Yelusalemu na Yuda kia moneka kaita kwe mzi. 7 Weza na Zelubabeli Yoshua, Selaya, Leelaya Nhamani, Moldekai, BiIshani, Mispali Bigwai, Ehumu na Baana . Hisabu ya wana wa Usilaeli nee iwa. 8 Wanangwa wa Paloshi, 2172. 9 Wanangwa wa Shefatia, 372. 10 Wanangwa Ala, 652. 11 Wanangwa wa Pohasi Moabu. 12 Mwe wana wa Yeshua na Yoabu, 2,818. 13 Wanangwa wa Elamu, 1,254. Wanangwa wa Zantu, 845. 14 Wanangwa wa Zekai 760. 15 Wanangwa wa Binnui, 648. 16 Wanangwa wa bebai, 628. 17 Wanangwa wa Azgadi, 2,322. 18 Wanangwa wa Adonikamu, 667. 19 Wanangwa wa Bigwai, 2067. 20 Wanangwa wa adini, 655. 21 Wanangwa wa Ateli, wa hezekia, 98. 22 Wanangwa wa Hashumu, 328. 23 Wanangwa wa Besai 324. 24 Wanangwa wa Halifu, 112. 25 Wanangwa wa Gibeoni, 95. 26 Wantu kuawa Beselehemu na Netofa, 118. 27 Wantu kuawa Anasosi 128. 28 Wantu wa Beth Az mawesi, 42, 29 Wantu wa Kiliasi Yealimu, Kefila na Beelosi 743. 30 Wantu wa Lama na Beba, 621. 31 Wantu wa Mikmasi, 1,22. 32 Wantu wa Beseli na Ai 1,23. 33 Wantu wa Nebo, 52. 34 Wantu wa Elamu yakaidi, 1,254 35 wantu wa Halimu, 320. 36 Wantu wa yeliko, e45. 37 Wantu wa Lodi, Hadidi na Ono, 721. 38 Wantu wa Senaa, 3,930. 39 Makuhani wanangwa wa Yedaya (mwe nyumba ya Yeshua), 973. 40 Wanangwa wa Imeli, 1,052. 41 Wanangwa wa Pashuri, 1,247. 42 Wanangwa wa Halimu, 1,017. 43 Walawi, wanangwa wa Yeshua, wa Kadmieli wa Binui wa Hodalia, 74. 44 Waimbi wanangwa Asafu, 148. 45 Wekuvuguao muango wanangwa wa Shalumu, Wanagwa waAtel, wanangwa wa Talmoli, wanangwa wa Akubu, wanangwa wa Hatita wanangwa shobai, 138. 46 Wandima wa hekalu wanangwa wa Siha wanangwa wa Hasufa, wanangwa wa Tabaoi. 47 Wanangwa wa Kelosi, wanangwa wa Siaha, wanangwa wa Padoni. 48 Wanangwa wa Lebana, wanangwa wa Hagaba wanangwa wa Salimai. 49 Wanangwa wa Hanani, wanangwa wa Gideli wanangwa wa Gahali. 50 Wanangwa wa Leaya, wanangwa Lesini, wanangwa wa Nekoda. 51 Wanangwa wa Gezamu, wanangwa wa uza, wanangwa wa Pasea. 52 Wanangwa wa Besai, wanangwa wa Meunimu wanagwa wa Nefusimu. 53 Wanangwa wa Bakibuki, wanangwa wa Hakufa. 54 Wanangwa wa Halihuli, Wanangwa wa Baslisi, wanangwa wa Mehida, wanangwa wa Halsha. 55 Wanangwa wa Balkosi, wanangwa wa Sisela, wanangwa wa Lema. 56 Wanangwa wa Nesia, wanangwa wa Haifa. 57 Wanangwa wa Seemani, wanangwa wa sotia, wanangwa wa Sofeelesi, wanangwa wa Peluda, 58 Wanangwa wa Yaala, wanangwa wa Daikoni, wanangwa wa Gideli. 59 Wanangwa wa Shefatia, wanangwa wa Haliti wanangwa wa Pokelesi Sebaimu, wanangwa wa Amoni. 60 Wandima wose wa hekalu, na wanangwa wa wandima wa Seemani nee wawa 392. 61 Awa nee wantu wekuitao kuawa Telmela, Telhalsha, keleb, Addon na Imeli. Mia nkeudaha kusibitisha ati wowo au jamaa za tati zao nee ni wanangwa wa Isilaeli. 62 Wanangwa wa Delaya, wanangwa wa Tobia na wanangwa wa Nekoda, 642. 63 Na kuawa kwa makuhani wanangwa wa Habaya Hakosi na Balizilai (akamdoa mkaziwe kuawa kwa wandee wa Baliziki ywa Gileadi na aketangwa kwa zina dao). 64 Awa woondeza likodi zao mwe wada wekwe- ungwao na kivyazi chao nia nkawo kudaha kupatikana kwa iyo wausigwa nwe ukuhani inga wenao najisi. 65 Nae mkuu ywa Gavana akawamba wesekwenkigwa uhusi wa kuda nkande ya makuahani kuawa kwe zabibu mpaka aho ndiho enuke kuhani mwenye miaka na Sumimu. 66 Bonga dose diwa 42,360. 67 Isipokuwa wandima wao wakiogosi na wandima wa kivyee wekuwao 7,337, nee wawa na wagosi na wavyee waimbi 245. 68 Felazi zao nee ni 7,36 kwa hisabu, nyumba zao nee ni, 2,45. 69 Ngamia zao nee ni, 4,35 na nponda zao nee ni 6,720. 70 Wakuu kumwe wa mwaango wa tati zao waavya geeko kwa ajii ya ndima. Gavana kaavya kafaa ya dakoni elufu ya zahabu, mabakui 50 na na nguo za kwa 530 ya makuhani. 71 Wakuu wekumwe wa mwango wa tati zao wawenka mwe bene kwa ndima dalkoni elufu ishiini za zahabu na mane 2,2oo za feza. 72 Wantu watuhu wawenka dalkoni za zahabu ishiini elfu nz zahabu elufu mbii za feza na mavazi sitini na saba kwa makuhani. 73 Basi makuhani, Walawi, walinzi wa miango, waimbi, wantu watuhu, wandima wa hekalu na Isilaeli wose wekaa mwe mizi yao. Tata mwea wa saba wantu wa Isilaeli nee wakekaa mwe mizi yao."