Sura 5

1 Ikabinda wada wagpsi na wavyee wao wakaia kwa nguvu zidi ya Wayahudi wezwaao. 2 Kwakuwa nee kuna wantu wekumwe ambao wamba, "swiswi na mntu wekumwe wentu na wanwetu wa kivyee tiwa nyi. Basi hebu tipate nafaka tidahe kuda na kwekaa. 3 Pia nee kuwa na watu watuhu ambao wamba, "Taika lahani minda yetu, mizabibu yetu na nyumba zetu na nyumba zetu ili ti[ate nkande ukati wa saa. 4 Wekumwe pia wamba, "Tikopesha pesa kiha kodi ya mfaume kwe minda yetu na minda yetu ya mizabibu. 5 Hata ivyo sasa mii yetu na npome yetu n' sawa na ndugu zetu na wanawetu ni sawa na wana weo Talazimishwa na nguvu za kuwambiza kwakuwa watuhu wana minda minda yetu na mizabibu yetu. 6 Nkikimwa sana nekusikiaho ndio yao na mbuzi izi. 7 Ikabiinnda nikaafya juu ya idi na kueta mashtaka zidi ya wakuu na viongozi. Nikawamba, "nywinywi mwaondez liba kia yumwe bunga kuu juu yao. Nakuwamba, "Swiswi kwa kadii tekudahavyo tiwakomboa kuawa mwe mwe utumwa ndugu zetu wa Kiyahudi ambao, 8 nee watagwa kwe mataifa, akini hata mwawatanga ndugu na waumbu zenu ili watagwe vituhu kwetu nee wanayamaa na nkawekupata mbui ya kugombeka. 9 Pia nikamba, "mgosoavyo nkiovitana, je, nkamkunda kuita mwe hofu ya Muungu ywetu ili kukindia malalamiko ya mataifa ambayo ni wankuu wetu? 10 Mimi na ndugu zangu na wandima wangu tamyenka hea na nafaka. Akini lazima tieke kutoza tiba juu ya mikopo. 11 Wavuzieni ivyeeo ivi minda yao, mizabibu yao, mindayao ya mizaituni na nyumba zao na asilimio ya hea, diveii npyahamu na mavuta mwekuwatozayo. 12 Wavuzieni ivyeeo ivi minda yao, mizabibu yao, minda yao ya mizaituni na nyumba zao na asilimio ya hea, nafaka divei npyahamu na mavuta mwekuwatozayo. Wakamba, "Tenda livuze kia tekudoacho kuawa kwao wa nkati tikunde kintu kuawa kwao. Tenda tigosoe kana ugombekavyo, "Nee nawetannga makuhani na kuwaapisha kuwatenda kana wekuikavyo kiaga. 13 Nikakung'uta vazi dangu nikamba, "Basi Muungu ause nyumba na mai ya kia muntu mwekwesekutimiza kiaga chakwe. Kaiyo akung'utwe na kuwa nkana kintu. Bunga dose dikamba" Amina," na wakamtogoa Zumbe. Na wantu wakagosoa kana wekudahavyo. 14 Kwaiyo taukia ukati nikwiikwao kuwa mkuu ywao mwesi ya Yuda taukia mwaka wa ishiini mpaka mwaka wa wa saasini na mbii na mfaume Arshasla miaka kuni na miidi mimi na ndugu zangu nkate kuda nkande yekuavigwayo kwa gavana. 15 Akini wakuu wa kae wekuwao kabla yangu nee wa waiko wantu mizigo izamayo na wakadoa kwao shekeli alubaini za feza kwaajii ya nkande na divai yao ya kia siku. Hata wandima wao wawazuumu wantu. akini nchee kugosoa ivyo kwaajii ya wengee wa Mungu. 16 Nkisongwa ni kugosoa ndima kwa ukanto na nkate kugu alizi. Na wandima wangu wose wadagana uko kwa ajii ya ndima iyo. 17 Mwe meza yangu mwa Wayahudi maafisa, watu 150 iya wada wekwezao kwetu kulawa kwa mataifa wekuwao wakatizunguuka. 18 Kia kintu chekandaiwacho kia siku ne ni ng'ombe yu mwe, ngoto mtandatu wekusagulwao na wadege kia siku kumi mbai zose za divai nyingi. Na hata kwa aya yose nchee kukunda mahitaji ya nkande ya gavana, kwakuwa madai neni mazito sana juu ya wantu. 19 Nikumbuka, Ee Muungu ywangu kwa wedi kwa ajii ya yose nekugosoayo kwa wantu awa.