Sula 9

1 Akawetanga wada kumi na waida hamwe akawenka uwezo na mamlaka uanga ya npepo zose na kuhonya matamu. 2 Akawaagia waite wakabiikie uzumbe wa Muungu na kuhonya watamu. 3 Akawamba, ''Mwesekudoa chochose kwaajii ya ntambo yenu wala ngoda, wala bene, mkate, wala hea, mwesekundoa nkazu mbii. 4 Nyumba yoyose mwendayo mwengie ekaani umu kiamuo mwendaho mhauke hantu aho. 5 Nakwawada wesaokuwahokea mkeza kuhaukaa mwemzi uwo, ekungunteni vumbi mwe miundi yenu kwa ushuhuda uanga yao.'' 6 Wakahauka na kuita kwembokea mwe vijiji wakabiikia mbuii ntana na kuhonya wantu kia hantu. 7 Sasa Helode, mtawala, akasikia yose yekuayo yakaawia akakantuka sana kwaajii isendekana ni wekumwe kwamba Yohana mbatizaji kufufuka kulawa kwe wafu, 8 na wekumwe kwamba Elia kabinda kuwalawi na kwakuwatuma kwamba yumwe ywa manabii ywa kae kafufuka mwe wafu vituhu. 9 Helode akamba, ''Nkimchinja Yohana, akini uyu nndai nsikiae mbui zakwe? Na Helode neakaonda sia ya kumkoma Yesu. 10 Ukati wekuuyaho wada wekuuyao wada wekugosoa wakamwamba kia kintu wekutumwao. Akawadoa hamwe nao akaita ikedu mwemzi wetangwao Betisaida. 11 Akini madugano wakasikia idi wakamtongea na akawakaibisha na kutamuia nao kuhusu uzumbe wa Muungu, na akawahonya wada wekuao wakakunda kuhonywa. 12 Siku ikavoka kusia na wada kumi na waidi wakaita kwakwe na kumwamba, ''Wambie madugano kua waite mwevijiji vya hehi na vijiji hakuhumuiza na nkande kwakua tieneo da nyikani.'' 13 Akini akawamba, ''Nywie wenkeni vintu vya kuda wakamba nkatima zidi ya ntii shano za mikate na ssamaki waidi iya neetikaita na kugua nkande kwa ajii ya bunga idi da wantu.'' 14 Nee kuwa na wagosi wabuao elfu shano hada. Akawambia wekazeni sii mwemakundi ya wantu wabuao hamsini kwa kia kundi. 15 Kwa hiyo wakagosoa ivyo wakekaa sii akada. 16 Akado mikate kumi na shano akakawa mbinguni akavibaliki na kuvimega mwe ntiintii akawenga wanafunzi wakwe ili waviike mbele ya madugano. 17 Wose wakada wakeguta, na vintii vya nkande vikadodolwa na kumema ngahu kumi nambii. 18 Nayo ikatenda kwamba, ekuaho akaomba ikedu wanafunzi wakwe nee wahamwe nae na akawauza akamba wantu wamba mimi nndai?'' 19 Wakatambaisa wakamba, ''Yohana mbatizaji, akini watuhu wamba Elia, na watuhu wamba manabii wa nyakati za kae kafufuka vituhu.'' 20 Akawamba, ''Akini nywie wamba nndai akatambaisa akamba Petro akamba, ''Kwistu kulawa kwa Muungu.'' 21 Akini kwa kuwakanya, Yesu akawaavikiza kwese kumwambia yoyose juu ya idi, 22 akagombeka kwamba mwana ywa Adamu lazima apate suuba kwambui nyingi na kuemewa ni wazee na makuu nee wagonda na watauwa na siku ya ntatu endafufuke. 23 Akawamba wose, ''Kana muntu yoyose akakunda kuntongea lazima eemee mwenye adoe msaaba wakwe kia siku na antongee. 24 Yoyose mgeeza kuyahonya maisha yakwe endaayaze akini yoyose mwaza maisha yakwe kwa faida yangu endaavya honye. 25 Je chenda kimfaidie mbwai mwanadamu kana akaupata ulimwengu wose akini akaza au akapata hasaa ya nafsi yakwe? 26 Yoyose mwenda anionee soni mimi na maneno yangu kwakwe yeye mwana ywa Adamu enda amuonee soni ekeza kuwa mwe utukufu wakwe na utukufu wa tate na malaika watakatifu. 27 Akini namyambia ukwei kuna watuhu gati yenu wagookao aha nkawana waonje kifo kiamuo wauone uzumbe wa Muungu.'' 28 Ikaawia yapata siku nane tangia Yesu kugombeka mbui izi ya kwamba akawandoa hamwe na yeye Petro, Yohana, na Yakobo, wakwakea kwe mwiima kuomba. 29 Na ekuaho mwe kuomba mwonekano wa cheni chakwe ukabadilikwa na nguo zakwe zikatenda nyeupe na kung'aa. 30 Na kaua na hana wagosi waidi wakatamwia naye! Nee ni Musa na Elia, 31 waonekana mwe utukufu. Watamwiia kuhusu kuhauka kwakwe mbui ambayone uhehi kuitimiza Yelusalemu. 32 Sasa Petuo na wada ekuwao nao hamwe nee wamweusiziza mzito. Akini wekwenukaho wauona utukufu wakwe na wagosi waida wekuwao wagooka hamwe nae. 33 Ikaawia kwamba wakuwaho wakahauka kwa Yesu, Petuo akamwambia, ''Bwana ni vitana kwetu kwekaa aha na yatipasa kugosoa makazi ya wantu wattu tigosoa dimwe kwa ajii yako dimwe kwa ajii ya Musa na dimwe kwa ajii ya Elia.'' Nkee kweewa akuwaho akatamiwa. 34 Ekuwaho akatamwiia aya, dikeza zunde na dikawagubika wakaogoha wekuonacho wazunguukwani zende. 35 Sauti ikalawa kwe zunde, ''Huyu ni mwanangu nesoguaye mtegeezeni yeye.'' 36 Sauti yekunyamaaho Yesu nee yuikedu akekaa kamyamaa myee, na mwesiku izo nkee kumwaambia yoyose dodose mwe yada ekuonayo. 37 Siku yekutongeayo baada ya kulawa kwe mwiima dugano kuu da wantu didugana naye. 38 Kaua mgosi kulawa mwe dugano kaiya kwa sauti akamba, ''Mwaimu nakuomba ukaueza mwanangu kwakua yu ikedu. 39 Waona loho nchama ya mtoza na mala atoa vuzo na pia yamtenda ahanganyikiwa na kulawa fuo kanwai na amwaawii kwa shida, ikabinda atenda na maimevu makai. 40 Nkawaombeza wanafunzi wako kuigezea ilawe akini nkaweku daha.'' 41 Yesu akatambaisa akamba, ''Nywie uvyazi wesao kuamini na chekwagacho nenda nekaze na nywinywi kiamuo ini? Mweta mwanao aha.'' 42 mbwanga ekuwacho akeza loho nchama ikam gwisa sii na kumsingisa kwa fujo.yesu akaiege zea ida loho chama akamhonya mbwanga na akamkabi kwa tatiakwe, 43 wose wakehewa ni ukuu wa mungu,akini weku waho wakasitaajabu wose kwa mbui zase zekur wazo zikagosoka akamba kwa wanafunziwakwe 44 mbui ziwekae mwe magutwi yenu,kwa mwana wa mwana wa adamu endaaavigwe mwemikono mwa wanadamu''. 45 Akini nkewekweewa maana yambui iyo na nee yafiswa mwe meso yao ili wasekweza wakaetewa waogoha kumuuza mbui iyo. 46 Ikatenda ngavungavu ikavoka gati yao juu ya nndai enda atende mkuu. 47 Akini Yesu ekumanyaho wekumanyaho wakauzana mwe nyoo yao akaondoa mwana mdodo na kumwiika upande wakwe, 48 na kamba, ''Kana muntu yoyose akamhokea mwana mdodo kana uyu kwa zina dangu anihokea mimi pia na yoyose akanihokea mimi amhokea pia mwkunituma kwa kuwa ambaye ni mdodo gati yenu wose nee mkuu'' 49 Yohana akatambaisa akamba, ''Bwana, timuona muntu akaguusa npepo kwa zina doko na tikamweemeza kwa kuwa nkatongeana na swiswi.'' 50 Akini Yesu akamwamba, ''Msekumweemeza, kwakua mwesekuwa kinyume na nywinywi ni wa kwenu'' 51 Ikaawia kwamba, kuigana na siku zekuaho hehi zia siku zakwe za kuita mbinguni, kwa uimala akaelekeza cheni chakwe Yelusalemu. 52 Akatuma ugosi mbele yakwe, nao wakaita na kwengia mwe kijiji cha wasamalia ili wamgoswee hantu. 53 Akini wantu uko nkewekumhokea kwakuwa akaelekeza cheni chakwe Yelusalemu. 54 Wanafunzi wakwe Yakobo na Yohana wekuonaho idi wakamba, ''Bwana wakunda kuamulu moto usee si kukuwa mbinguni uwoke?'' 55 Akini akawahitukia akawageeza. 56 Ikabinda wakaita kijiji kituhu. 57 Wakuaho wakaita mwe sia yao, muntu yumwe akamwamba, ''Hita nikutongee hohose uitaho.'' 58 Yesu akamwamba, ''Mbweha wana npanga waaege wa uwanga wana masasa akini mwana ywa Adamu nkana hakuikia muntwi wake.'' 59 Nee ekumwambiaho muntu mtuhum, ''Ntongea.''Akini yeye akamba, ''Bwana, nenka uhusa kwanza nikamzike tate yane,'' 60 Akini yeye akamwamba, ''Waeke watakatifu wawazike watakufa wao, akini we hita ukaubiikie uzumbe wa Mungu kia hantu.'' 61 Pia muntu mtuhu akamba, ''Hita nikatongea, Bwana, akini niluhusu kwanza nikawa age we nyuma yangu.'' 62 Akini Yesu akawamba nkakuna muntu mgea mkono wakwe kuima na kukaua wa nyuma mwenda afye kwa uzumbe wa Muungu.''