1 Badii ya mbuiza izo, Zumbe aakasagua sabini watuhu, na kuwatuma waidi waidi wamwengwee mwe kia mzi na eneo ekutaa jiada kuita. 2 Akawamba, ''Uezo ni mwingi, iya wagosozi wa ndima ni wacheche, ivyo basi muombezani Zumbe wa uozo ili kwamba atume kinyanyi wagosozi wa ndima mwe uozo wakwe. 3 Hitani mwe mizi. kauwani namituma kama ngoto gatigati ya makui ya mzituni 4 msekwenua mfukowalahea wala mikoba ya ntambo, wala viatu, wala msekugusana na yoyose mwe sia. 5 Mwe nyumba yoyose mwendavyo mwengie, vokani kugembeka npeho iwe mwe nyumba inu.' 6 Ati mntu ya npeho aho yuano, npeho yenu yendaisigae mwakooe akini kama nkivyo, yenda imiuwiie wenye. 7 Sigaani mwe nyumba iya mde na mnywe kilavigwacho kwa mana mgosoa ndima astahili mshaa wakwe. Msekusama kulawa nyumba inu kuita ntuhu. 8 Mzi wowose muwengiao, wakawahokea, daani chochose kiiwacho mbele yenu, 9 na hanyai watamu weumo umo, gombekani muwaambe ufaume wa Muungu weza hehi nanywinywi' 10 Akini mwe mzi wowosi mwendao muwengi, na wakesekuwahokea hitani chongoi mwe babaa gombekani, 11 ''Hata vumbi mwe mzi wenu dekutezado mwe miundi yetu tadikungunta zidi yenu! Akini mmanye idi ufaume wa Muungu uhehi.' 12 Nawamba makati siku ya kuahwa yendaiwe uzizimizi zaidi ya Sodoma kuliko mzi uwo. 13 Mmbuizako zako Kolazini, mmbuizako Bethsaida! Kama ndima nkuu zekugosokazo mwaka nee zigosoka Tiro na Sidoni, nee wasesea kae, wakekaa mwe nguo za gunia na mazeu. 14 Akini yenda iwe uzizimizi zaidi siku ya kuahwa kwa Tiro na Sidoni zaidi yenu. 15 Wee Kapernaumu, wafiki wenda wenulwe mpaka mbinguni? Bue, wenda useezweesi mpaka kuzimu 16 Mwenda amitegeeze nywinywi anitegeeza mimi, na yoyose mwenda awaemee aniemea mimi, na yoyose aniemeae mimi amwemea mwekunituma'' 17 Wada sabini wakagoteka kwa kinyemi, wakagombeka, ''Zumbe, hata npepo zatitegeeza mwe zina dake.'' 18 Yesu akawamba, ''Nkimuona Shetani akagwa kulawa mbinguni inga umtauwa. 19 Kauwa, nkiwenka mamlaka ya kujata nyeka na visuse na nguvu za adui, na nkahana chochose kwa sia yoyose chendacho kiwazuu. 20 Hata ivya msekutamiwadu mwe idi, kwamba loho za wantu akini tamiwani zaidi kwamba mazina yenu yagondwe mbinguni.'' 21 Mwe ukati udauda akatamiwa mno mwe Loho Mtakatifu, na kugombeka, nakutogea wee, Tate, Zumbe wa mbinguni na dunia, kwa sibabu kuyafisa mambo aya kulawa kwa wenao kiugo na akii, na kuyagubua kwa wesao kuhinywa, inga wana wadodo. Ehee, Tate, kwa kuwa avikutamia mwe meso yako.'' 22 ''Kia kintu kikabiziwe kwangu ni tate na nkakuna mmanya mwana ni ndai ila tate, na nkakuna mmanya tate ni ndai ila mwana na yoyose ambae mwana kwegubua kuake.'' 23 Akawahitukia wahinywa, akagombeka hesii, ''Wabalikiwa waonao aya ambayo nywinywi mwayaona. 24 Namnyamba nywie, kwamba manabii wangi na wafaume watamani waone mbui mzionazo, na nkawekuona, na nkawekuona, na kusikia msikiaye na nkawekusikia.'' 25 Kauwani, mwaimu nganya ya sheia ya kiyahudi akageeka na kumgeeza, akagombeka, ''Mwaimu nigosoeni nipae ugima wa milele?'' 26 Yesu akamwamba, ''Kugondwa mbwai mwe sheia? Waisoma vivihi?'' 27 Akatambaisa akagombeka, ''Wenda umkande Zumbe Muungu yako kwa meyo wako wose, kwa loho yake yose, kwa nguvu zako zose, na kwa akii zako zose, na jilani yako inga nafsi yako mwenye.'' 28 Yesu akagombeka, ''Kutambaisa sawasawa, gosea ivyo na wendauishi.''' 29 Akini mwaimu, akatamani kwehesabia haki mwenye, Akamwamba Yesu, ''Na jilani yangu ni ndai?'' 30 Yesu akatambaisa akagombeka, ''Mntu ng'anya kawa akaseea kulawa Yelusalemukuita Yeliko. Akagwiia mwe wabavi, wekumhokao, mai zakwe, na kumtoa na kumbanda heni nusu ya ufe.. 31 Kwa bahati kuhani fulani kawa akaseea sia iyoiyo, ekumuoneho akemboka upande mtuhu. 32 Ivyo ivyo Mlawi nae ekubuaho hantu hada na kumuona akemboka. 33 Akini Msamalia yumwa ekuwaho akatamba, akembokea hada ekuwaho mntu uyo. Ekumuonaho akamfiia mbazi. 34 Akamwezea heni na kumfunga vionda vyakwe akamgea mavuta na divai uanga yakwe. Akamkweza uanga ya mnyama yakwe, na kumwega mwe nyumba ya wageni na kumhudumia. 35 Siku iliyofuata alichukua dinari mbili, na akampatia mmiliki wa nyumba ya wageni na kumwambia, 'Mhudumie na chochote cha ziada utakacho tumia, nitakulipa nitakaporudi.' 36 Ni yupi kati ya hawa watatu, unafikiri alikuwa jirani kwakwe yeye aliyeangukia kati ya wanyang'anyi?'' 37 Mwalimu alisema, ''Ni yule aliyemonesha huruma kwake.'' Yesu akamwambia, ''Nenda na ukafanye ivyo hivyo'' 38 Wekuwako wakatamba wakemgia mwe kijiji fulani na mvyee yumwe zina dakwe Matha akamkaibisha nyumbani mwakwe. 39 Kawa na dadie mwetangwa Maliamu, mwekwekaa mwe miundi ya Zumbe na kutegeeza neno dakwe. 40 Akini Matha akatenda shuhuli zigenyeazo kuandaa nkande. Akambasa Yesu, na kugombeaka, ''Zumbe, nkujali kwamba dada yangu kunibada nihiizike ikedu? Ivyo basi mwambe anambize.'' 41 Akini Zumbe akamtambaisa, na kumwamba, ''Matha, Matha mbona wepisha mwe mbui nyingi, 42 akini ni kintu kimwe tu cha muhimu, Maliamu kasagua kintu chadi, ambacho nkakinakiusihwa kulawa mwake.''