1 Iawiya ukati Zumbe Yesu ekuombe zaho hantu fulani, yumwe kati ya mhina wakwe akamwambia, ''Bwana, hasi tihinye kuomba kama Yohana ekutihinyavyo hahinywa wakwe.' 2 Zumbe Yesu akawamba, Msaliho, mwombe, ivi, 'Tate zina dako ditukuzwe. Ufaume wako weze. 3 Utenke mkate wetu wa kia siku. 4 Utifiiye mbazi makosa yetu kama swiswi tekuwafiavyo mbazi ne kutikoseawo. Usekutigea mwe maza.'' 5 Zumbe Yesu akawamba, 'Nndai mwenye mbuyaye kwao adaha kumbasa nakio, na kumwamba, mbuyangu niazima mikate mitatu. 6 Kwa ajii mbuyangu kanezea ivi sasa kuawa mtambo nami nkina eha kumwenka. ' 7 Na yuda mwenda ndami akamjibu, usekuntaabisha mie, mwaango urugalwa kae, na wanangu na mimi tigona kae. Nkidaha kwenuka na kukwenka wewe mkate. 8 Nawaambia japo mkenuka na kumwenka mikate kama mbuyae, kwa ajii ya kuendelea kumtuntia bila ya soni, andae nuke na kumwenka nipande vingi vya mikate inga via akundavyo. 9 Nami pia nawamba ivi, Ombe zani nanyi mndamwe nkigwe, ondani mndampate, toani hodi mwonda mvuguiwe. 10 Kwa kuwa kia muombeza anda ahokee, na kia muonda andaa pate, na kia mtoa hodi andaovuguine. 11 Ni tate yuhi gati yenu, mwanawe akamuombeza samaki, amwenka nyoka badii yakwe.? 12 Au akaombeza tagi amwenka uge badii yakwe?. 13 Kwe iyo nywinywi wabaya tu, mwawenka wana wenu zawadi ntana, je nkizaidi ya Tati yenu wa mbinguni, kwa kuwa andaawenke Loho Mtakatifu wamuombezao?'' 14 Baadaye, Zumbe Yesu akawa akemea nphepo, na mntu mwenye nphepo ni bubu. Nphepo ye kulambo, mntu uyo akadaha kutamuia, utifii uda ukastaajabu sana. 15 Akini watuhu wakasema, uyu ausa nphepo kwa Beelzebul, mkuu ya mapepo 16 Watuhu wakamgeeza na kuonda waonyeshwe ishara kuawa mbinguni. 17 Akini Zumbe Yesu kayamanya kae mawazo yao akawambia, ''Kia ufaume ndio wepange ni ukina, na kia nyumba ndiyo yepange mndaigwe. 18 Kama Shetani kepanga, ufaume wakwe unda ugooke vivihi, kwa sibabu nyie mwamba maavya nphepo, kwa Beelzebuli. 19 Kana mie manya nphepo kwa Beelzebul, je nezwaangu mwausa nphepo kwa sia yani? Kwa ajii inu, wao wanda wahee nywinywi. 20 Akini, kama naavya nphepo kwa cha cha Muungu, basi ufaume wa Muungu umyezea. 21 Mntu mwenye nguvu, mwenye silaha akalinda nyumba yakwe, mntu vyakwe vyonda vyekae vyedi. 22 Akini akavamiwa na mwenye nguvu zaidi, Yuda mwenye nguvu andaamboke silaha zose, na kudoa mai zakwe zose. 23 Yeye mwese nami, ya kinyume na mimi, na yeye mwese kukusanya na mimi ni mbanasi. 24 Nphepo mchafu awaho kwa muntu zita na aonda hesaho nazi ahumuizd, ndiho akose, andaambe nagatoka nekuawako. 25 Akauya abui nyumba ihagilwa na ivitana... 26 Endakuonda mapepo saba wakai kuliko yeye mwenye na kuwaeta wekae hada, na hali ya muntu uyo yatenda mbaya kuliko bosi.'' 27 Ikaawia kwamba ekuaho akasema maneno aya, mvyee fulani akakema kwa sauti zaidi ya wose kwe uda nkuntano akasema, ''Dibarikiwe ifu idi da mvyazi na matombo ekankayo'' 28 Akini yeye akasema wabarikiwe wada wasikiao mbuii za Muungu na kuzitunza. 29 wakati utifii ukusanyika na kuongezeka, Zumbe Yesu akavoka kusema, ''Iki ni vyazi kiovu. Cheondeacho ishara na nkakuna wendiyowe nkegwe zaidi ya udangio wa Yona. 30 Maana kana Yona ekuavya udangio kwa wantu wa Ninawi, ne ndivyo Mwana wa Adamu awe udangio na uvyazi unu 31 Malkia wa Kusini andaagooke na uvya unu siku ya hukumu, kwani yeye kaawa mwisho wa sii ili eze odegeeze hekima ya Solomoni, na aha nkahana mkuu zaidi ya Solomoni. 32 Wantu wa Ninawi wendawago homwe na uvyazi unu siku ya hukumu wakahukumiwa kwani wo ne ndiyo wasosoe., kwa mabiikiyo ya Yona, na kauwa aha yuaho mkuu komboka Yona 33 Nkakuna mntu yoyose muwasha taa akaiika mtendeo ya isekuonekana bali yawashwa yaikwa uwanga ili kia mntu mwengia apate kuona uvyazi. 34 Ziso dako nitaa ya mwii, ziso dakodikawa, tana basi mwii wako wose uheungazu, akini dikawa baya basi mwii wako wose uhe kiza. 35 Ivyo muwe mose ili uigazi uwe ndani yawe wese kwengiwa nikiza. 36 Ivyo basi kana mwii wako wose umwe ungazi, nkakuna hata sehemu ihe kiza basi mwii wako unda uwe sawa na taa yakayo na kuavya ung'azu kwenu.'' 37 Ekubi ndaho kutamui, Falisayo akanikaibisha kwakwe akade nkande, na Zumbe Yesu akengia wakatanda wa hamwe. 38 Na Mafalisayowakadunduwa kwa jinsi ambavyo nkekwahaka mazi ya mikono bosi kabla ya nkande ya guoni. 39 Miya Bwana akawamba, ''Nywinywi Mafalisayo mwasunta chongoi ya viko mbena mabakui, miya ndani yenu mwema tamaa na ubinafsi. 40 Nywinywi wantu mwesao na umanyi, je muufi ya chongoi, nkekuumba na ndani pia? 41 Wenkeni wakiwa yendani na mbuii zose nda ziwe ntana kwenu . 42 Miya ole wenu Mafarisayo, kwani mwaavya zaka ya mnana na bwache na kiya mbeui ya mboga ya bustani. Akini mwaeka mbui ya haki na kumkunda Muungu bila ya kueka kugosoa naayo matuhu pia. 43 Ole wenu Mafalisayo, kwa kuwa mwakunda sana kwekoa viti vya mlele mwe masinagogi na kuuguswa kwa sanaamu za hishima guiyo. 44 Ole wenu kwani mwafanana na mabui yosayona utagio endayo wantu wenda uwanga bila ya kumanya.'' 45 Mhinya yumwe ya sheia za Kiyahudi akamwandua na kumwamba, ''Mhinya ugombekacho chatikima pia swiswi.'' 46 Zumbe Yesu akamba, ''Ole wenu wahinya wa sheia kwani mwawenka npumundu nkuu wesazo kuzibuza, miya nywinywi nkamuidonta npumundu iyo hata kwa mwenga ya vyaa vyenu. 47 Ole wenu kwa sibabu mwazenga na kuika kumbukumbu kwe makabui ambao wakomwa ni baba zenu. 48 Ivi nywinywi mwashuhudia na kwevana na izi ndiana za baba zenu, kwa sibabu wakamwa manabii ambao hakika mwazenga uwanga ya makabui yao. 49 Kwa ajii iyo pia, kiugo cha Muungu chagombeka, nndamiagiye manabii na mitume nndawawasuubu na kuwakoma wekumwe. 50 Uvyavi unu undauwajibike kwa nphone ya manabii wekukomwao tangu vokeo da dunia. 51 Tangia nphone ya Abeli hadi ya Zakalia mwekukomwa gotigoti ya he mviko ndakatifu na ne vyeeka na wambaa uvyazi unu undauwajibike. 52 Ole wenu wahinya wa sheia za Kiyahudi kwa sibabu ndoa funguo za umanyi na nywie wenye nkamwengia na wada wakundao kwengia mwawakindia.'' 53 Zumbe Yesu ekubindaho muhauka hada, wagondi na Mafalisayo wamwemeeya na kuahana naye juu ya mbui nyingi. 54 Wakageeza kumtega, ili wamtoze kwa mbui zakwe mwenye.