Mwango 8

1 Msi ula hakavuka mrieriesho m'bha he kanisa yeho Yerusalemu vose kushigha ntume vakazarikarika he masanga a Yudea na Samaria. 2 Vantu vemfoleka Mrungu vakamjika stefano na kumwira mno. 3 Sauli akakonda kanisa ekiingia he kila nyumba, na kukorota vome na vache , kuvaingija he nyumba ya varechungwa. 4 Mira vezarike vakatonga uleo na uko rekebirikira kiteto ngwa. 5 Filipo akasea akaingia he muzi wa Samaria akawabirikira Kristo. 6 Na mavungano vakasikija kwa ngoro mwe vile nyetetiwe ni Filipo; aho vekinasikie na kuvona ala maluvengo ekironga. 7 Ambu vajinki vegurirwe ni mpeho mbivi jikavatuma , jekiiagha na izi ibaha , na vantu vajinki veholoje na vesiidime tonga , vakabanjwa. 8 Hakaketa kuizihirwa kubaha he ula muzi. 9 Hekina mntu eitangwa Simoni, aho kuvoka ekironga kughanga he ula muzi , akagera vantu va Samaria kumagarara kwa kughanga vwakwe , ekikutia iti ye ni mntu m'baha. 10 Vose vakamsikija ,kuvokia mdori hata m'baha ,vekiti uu mntu niye nzinya ya Mrungu ,ila yeitngwa m'baha. 11 Cheshigha vekimsikija ni hala ikaenda ieza evamagarije kwa vughanga vwakwe. 12 Mira vekinamwitikije Filipo ,aho ekibirikira mburi yedi ya kutumwa vwa Mrungu , na izina lakwe Yesu Kristo vakabatizwa va kiume na va kiche. 13 Hata Simoni mwenye akaitikija , akabatizwa akaikajanya ne Filipo; akamagarara ekivona ala maluvengo na vila virumo vibaha vyekilika. 14 Ntume veho uko Yerusalemu , vekirika iti Samaria yaghuhia kiteto cha Mrungu , Vakavatuma Petro ne Yohane noko havo. 15 Vo vekinase vakavuombia iti vainkwe mpeho wedi. 16 Ambu tekinavareia neri mmwe wavo ,esire kubatizwa du he izina la Mfuma Yesu. 17 Niho vakavavikia Mikono , Vakainkwa mpeho wedi. 18 Niho Simoni ekivona iti he kuvikiwa mikono ni ntume,veinkwa mpeho wedi, akaenda kuvainka fedha, 19 Ekiti, "Ninkani nami iyo nzinya ,nesa uo nenemvikia miono ainkwe mpeho wedi." 20 Mira petro akamti; fedha yako naiteke tosho hamwe nawe kila, wedunganya iti mbonea ya Mrungu ivoneka kwa mari. 21 Tuna ifungu neri lughavi he icho kintu ambu ngoro yako tairo ngekie he Mrungu. 22 Heicho chwa mti he icho kivivi chako , umwombe Mfumwa iti kana kive ushighiwe ao madunganyo a ngoro yako. 23 Ambu nakuvona iti uho he kuwava sa nyongo , kangi u nkore ya kuvivi." 24 Simoni akagharusha akati, "Niambiani engaunywi he Mfumwa nesa ivyo mwateta visinifikire neri taimwe. 25 Vekinakenje kuteta vuonwa na kubirikira kiteto cha Mfumwa vakahunduka noko Yerusalemu ,vekibirikira mburi yedi he mabumba mangi a Vasamaria. 26 Malaika wa Mfumwa akateta ne Filipo akamti, "Vuka utonge mondo wa ishi , he nzia ila yefuma yerusalemu yesea noko Gaza." nayo ni nyika. 27 Naye akavuka akatonga. Akatonga. Akavona mntu wa Etiopia msondwa ,ena kubaha kijusi yakwe kandake Mfumwa wa kiche wa Etiopia , evikiwe kurereha ndugu yakwe yose; naye ekitongie uko Yerusalemu kuratasa. 28 naye ekighotoka ,eikae sihe igari lakwe ekisoma kitabu cha mroti Yesaya. 29 Mpeho akamti na Filipo, "Fika hatuhi na lila igari, utonjanye nalo. 30 "Filipo akasara, akamsikia ekisoma kitabu cha mroti Yesaya akati, Icho wasoma cha kujuvukia?" 31 Naye akati, "Niidimaze kujuvukiwa mntu ekisanivonyesha ?" Akasemba Filipo akwe aikanjanye naye. 32 Na ifungu la maandiko ekilisoma ni ili ekitiwe kurakomwa sa kagonji na sa vuntu kekuhujira he ula mrakachwa mavoa, Nire huvo, naye tevushije momo wakwe. 33 He vuntu vwa kuuduisha kwakwe? ambu moo wakwe wivushijwe he si ii." 34 Ula mshondwa akamgharusha Filipo , Nikuomba, uo mroti eteta mburi yakweni he ivyo viteto? Ni mburi jakwe mwenye kana ni ja mntu ungi?. 35 Filipo akavusha momo ekivokia he ilo Isungu ,akambirikira mburi yedi yakwe Yesu. 36 Vekiratonga vakafika hantu hena mpombe', ula mshondwa akati Rereha mpombe mii, chenikinda kubatizwa ni kiini?, 37 Filipo akati wekiitikija na ngoro yose, kive akagharusha akati, Naitikija iti Yesu kristo ni mwana wa Mrungu. 38 Akaazera iti lila igari liimuke: Vakasea vose veri he mpombe , Filipo na ula mshondwa , naye akam'batiza. 39 Vekirakwea kufuma he mpombe, mpeho wa Mfumwa akampekute ula mshondwa asimvone wa , akatonga na kuizihirwa. 40 Mira Filipo akavonwa uleo Azoto, aho ekivecha akabirikira mburi yedi he mini yose mhaka akatika uko kaisaria.