Sura 26

1 Pautabwa utawala wako Yehoyakimu mwana wa Yosia neno lanihichili kwa Yeremia litibayaa, 2 "Yahwe andabaya nyaa: yema katika lubanjo wa nyumbo yangu na baya kuhusu minema yoti ya Yuda ambao yandaicha abudu katika nyumba yangu. Tangazo makowe yoti yanikuamulu kuyabaya kwabe. kunaupongwe likowe loloti! 3 Labda bapekanya, kwamba kila mundu apozileka ndela zake mbaya, ili nigharambuke majengo niyakusudiye kuyaleta kunani yabe kwa sababu ya ulahuu wa matendo yabe. 4 Kwa hiyo lazima hubaye kwabe, yahwe andabaya nyaa: kabe muniwalihi ili mtyange katika sheria yangu ambayo nitihibeka nnonge yinu. 5 Kama mupekanyalihi makowe ya watumishi bangu manabii ambao nandayendelea kuwatuma kwinu lakini mupekanyalihi! 6 Kabe napanga nyumba haye baha katika shilo; naipanga nyumba huyehe baha laana katika minyo ya mataifa yoti kunani ya dunia. 7 Makuhani, manabii na bandu boti bamyowi Yeremia baya makowe hagha katika nyumba ya yahwe. 8 Kwa hiyo yapita kwamba Yeremia payomwile baya yabile yahwe atimwamuru kuyabaya kwa bandu boti, makuhani, manabii, na bandu boti batikwmnyameka na baya, "Hakika wa wahaa! 9 Kwanamani utibatili katika lina la yahwe na baya kwamba nyumba hayehe yabaha kati shilo na mnema hawolo wabaha ukeba, pangali tamilwa? kwamaa bandu boti bahundite likundi dhidi ya nyumba ya Yeremia. 10 Kabe wakoloho wa Yuda batiyowaha makowe na kupanda boka nyumba ya mfalme yenda nyumba ya yahwe. Watitamaa katika ndela ya lango la Yuda katika mnyongo wayambe la nyumba ya yahwe. 11 Makuhani na manabii batibaya kwa wakolo Yuda na kwa bandu boti, "Wabaite, "Ni haki kwa mundu huyu wahaa, kwa maana atitabiri kunani ya mnema hawoho, kama chamuyowine kwa mahikilo yinu! 12 Kwa hiyo Yeremia atibaya kwa akolo boti na bandu boti, "Yeremia atinituma tabiri kunani nyumba hayehe na mnema wake, bayo makowe yoti ambayo mutiyowaha. 13 Kwa hiyo nambeyambe, marisheni ndela zinu na makowe yinu, na mupekaniye lilobe la yahwe Nnungu winu kwamba apaghairi kuhusu lijanga ambalo atitangaza dhidi yinu. 14 Nenga namwene munilinge! nibile mmoko yinu. Munimbangi yaghabile yakweli nasahihi katika minyo yinu. 15 Lakini kwa hakika lazima mutenge kwamba kama mwanibulaga nenga, bahi mwandahibeka damu yangalihi na hatia kunani yinu mwabene na kunani ya mnema hawolo ma babatama kwake, kwa maana yahwe atinituma kweli kwinu ili nitangaze maneno yoti kwa ajili ya mahikilo yinu" 16 Kabe wapendo na bandu boti batibaya kwa makuhani na manabii, "Vemalihi kwa mundu huyu waha kwa maana alitangaza makowe hagha kwinu katika lina la yahwe Nnungu witu. 17 Babe bandu apendo wa kilambo batiyema na baya kwa likusanyiko loti la bandu. 18 Watibaya, "Mikaya Mmorashi habile andatabiri katika lichobe la Hezekia mfalme wa Yuda Atilongela kwa bandu boti wa Yuda na baya, Yahwe wa majeshi andabaya nyaa: Sayuni upala lemelwa kati mng'unda Yerusalemu wabahga ndihi la bahi na kitombo cha hekalu chapanga kitombe cha kibalike maakapi. Hezekia mfalme wa Yuda na Yuda yoti wambulagile? 19 Hamnyogopadhi yahwe na kuutaka radhi minyo yahwe ili kwamba yahwe angekana husu janga ambalo aliitangaza kwabe? Kwa hiyo twapanga malahuu makolohoha muno kunani ya maisha yitu twenge wabene? 20 Wati wowono pabile na mundu yuwenge amabye atabiri katika lina la yahwe uria mwana wa shemaya na kilambo chee, akiyeketya na maneno yoti Yeremia. 21 Lakini mfalme Yehoyakimu na wanajeshi wake woti na apangakachi wake woti pabayowine makowe yake, kabe mfalme atipaya kummulaga lakkini uria atiyowaa na yogope, kwa hiyo alibutuka na atiyenda Misri. 22 Kabe mfalme Yehoyakimu amtumite mundu yenda Misri Elnathani mwana wa Ashbori na yenda Misri kumkengama uria. 23 Bambonji uria panja boka Misri na kumleta kwa mfalme Yehoyakimu. Kabe Yehoyakimu ambulagile kwa upanga na kumpelekaa panja kwenye makuburi ya bandu ba kawaida. 24 Lakini luboko lwa Ahikamu mwana wa shapni abile pamope na Yeremia, nyoo ajehilihi mmaboko mwa bandu ili awile.