Sura 27

1 Pautumbwa utawala wa Sedekia mwana wa Yosia, mfalme wa Yudaa, neno hale limuhichili Yeremia boka kwa yahwe. (Ingawa nakala yanambone ya kiebiania zandabaya "Yehoyakimu, mapiyo yandambone ya kisasa yanda lalipite katika kipindi cha utawala wake) 2 Hache ngaa yahwe atibaya kitumbu, "Tengecha viungo na nira kwaajili yako mwene. Uzibeke muhingo mwako. 3 Kabe atiwatuma yenda kwa mfalme wa Edomu, mfalme wa Moabu, mfalme wa bandu wa amoni mfalme wa Tiro na kwa mfalme wa Sidoni uwabakiye kwa luboko wa wajumbe abo wa wafalme ambao watihicha Yeresalemu kwa Sedekia mfalme wa Yuda. 4 Boya amri kwabe kwaajili ya mabwana zabe na baya, yahwe wa majeshi, Nnungu wa Israeli, abaya nyaa Ngaa nyaa chaapalabaya kwa mabwana zinu, 5 Nenga namwene nitiumba dunia kwa ngupu zangu kuu na luboko lwangu wautondobilwe. Kaye nitiwahumba bandu na inyama kunani ya dunia, na nitiwaboya kwa yoyoti yuwabilesahihi katika minyo yangu. 6 Kwa hiyo nambeyambe nenga namwene nizibeka kilambo hii zoti luboko wa Nebukadreza mfalme wa Baheri, mpangakashi wa Nnungu. Kaye nandawipiya kwakehe viumbe hai vyoti katika ming'unda ili vimpangiye kachi. 7 Kwa maana mataifa yoti wapalakumtumikya yuwembe, banabake ma wachukulu zake hadi muda wa kilambo chake ika. Kabe mataifa yanambona na afalme wanambone watamtiisha. 8 Kwa hiyo taifa na ufalme ambahoo umtumikialihi Nebukadreza, mfalme wa Babeli, na wala wangalibeka hingo yake paye ya nira ya Nebukadreza mfalme wa Babeli nipalakuliadhibu taifa lyoho kwa upanga,njalaa, na kobwolewa hale nga litangazo la yahwe hadi panipala bahaa niwateketezile kwa luboko lwake. 9 Kwa hiyo kanamuwapekanyehe manabii winu wabashiri winu, bababona kwinu, lota kwinu, watembuli winu, ambao wabile watibaya kwinu ili kuwapeleka kuhutalu na kilambo mfalme wa Babeli. 10 Kwamaana wanatabi wanatabiri ubocho kwinu ili kuwapeleka kuhutalu na kilabo chinu, kwa maana nipalakuwapeleka kuhutalu na mwawaha. 11 Lakini taifa ambalo wababeka ingo zabe paye ya nira ya mfalme wa Babeli na kumtumikia, mmbala kuwaluhusu pamolya katika kilambo chaba-hale nga tangazo la yahwe-na wabailema na panga nyumba za humo" 12 Kwaiyo nitibaya kwa Sedekia mfalme wa Yuda na kumpeya ujumbe hawoho, "Muzibeke ingo yinu paye ya nira ya mfalme wa Babeli na umtumikye, yuwebe na bandu bake, na mpalalama. 13 Kwa namani mwawee wenga na bandu boko kwa upanga njalaa, na puba kati nyaa cha nitangaza husu taifa ambalo wabapuuza leumyumikya mfalme wa Babeli? 14 Kanampekanyelihi makowehe ya manabii babalongehi kwinu na baya, kanaumlumkye mfalme wa Babeli, kwa maana bandatabiri ubocho kwinu. 15 Kwamaana nenga niwatumitelihi-hale nga tangazo la yahwe-kwa manabii maana bandatabiri ubocho katika lina lyangu ili kwamba niwabenge panja na muhobe, mwenga nyoti na manabii babatabiri kwinu". 16 Mititangaza, hili kwa makuhani na bandu boti na baya, "Yahwe abaya nyaa: kanamuyapekanye makowe ya manabii babatabiri kwinu na baya, mulinge! vyombo vya nyumba ya yahwe vyandabuyangana boka Babeli nambeyambe nyaa! Bandatabiri ubocho kwinu. 17 Kanamuwapekani mtamktumikia mfalme wa Babeli na mwalama. Kwanamani mnema hawo ubulagwe? 18 Kati ni manabii na kati likowe la Nnungu litihichaa kwabe kweli, bahi mumlobe yahwe wa majeshi kanahavipeleke Babeli vyombo vyavisalie katika nyumba ya mfalme wa Yuda na Yerusalemu. 19 Yahwe wa majeshi andabaya nyaa kuhusu zelongubo, bahari na matako, na yombo yoti yoti vya vihigalile katika mnema hawo. 20 Vyombo ambavyo Nebukadreza mfalme wa Babeli atwetilihi wakati pamtweti Yekonia mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda katika utumwa boka Yerusalemu yenda Babeli pamope na Akolo woti wa Yuda na Yerusalemu. 21 Yahwe wa majeshi, Nnungu wa Issraeli, anabaya nyaa husu vyombo vyavihigalile katika nyumba ya yahwe, nyumba ya mfalme wa Yuda na Yerusalemu, 22 Bapalaleta Babeli, na vipalahigala hakwo hadi machoba nilivyovipangiye timia-hale ngaa tangazo la yahwe- kabe navileta na kuvibuyanganiya katika sehemu hayehe".