1 Hale nga nena ambalo litimjia Yeremia kunani ya bandu boti wa Yuda. Hawa ngaa mwaka kwanza Nebukadreza, mfalme wa Babeli. 2 Yeremia nabii aliwahubiria bandu boti wa Yuda wenyeji boti ba Yerusalemu. 3 Atibaya, "kwa kuwa ishirini na mitatu, tangu mwaka wa kumi na tatu wa Yosia mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda mpaka leno, maneno ya Ngwana yatihicha kwangu. Nitiwahubili nenga. Nibile na nia ya kutangaza, lakini munipekaniyalihi. 4 Ngwana atiwapeleka wapangakachi wake wa manabii kwako. Wabile na nia ya yenda, lakini pekanilihi wala kutega mahikilo. 5 Manabii haba watibaya, kila mundu auleke ulahuu wake na udhalimu wa matendo yake na kubuyangana kwenye kilambo ambacho yahwe apihite wakati wa zamanai kwa ajili ya tate bitu mwenga, kati zawadi ya dumu. 6 Kwa hiyo kunamuhikengame miungu yenge ili abudu au atiletaha paye, na kanaumkasilishe kwa kazi ya maboko yinu ili kwamba awalummiye. 7 Lakini munipekaniyalihi hale ngaa tamko la Ngwana-kwa hiyo ytinikasilishe kwa kachi ya maboho yako ili kujidhuru nafsi zinu. 8 Bahi, Ngwana wa majeshi abaya nyaa, kwa kuwaa hupekaniyalihi maneno yangu. 9 Linga, nipalagya amri ya egelya bandu boti wa kaskazini abaya ngwana na Nebukadreza, mpangachi bangu, mfalme wa Babeli na kuwaletea kunani ya mataifa yoti yagabile papipi nabe. Kwa maana nipakuwa bulaga. Napalakuwagalambya panga na hofu, baha kilebe cha Zomewa na ubile daima. 10 Lilobe la furaha na shereho-lilobe ya Ngwana arusi bili arusi, lilobe la maliwe ya sagya na bweya wa taa-napanga makowe yoti hagha kunaubeke boka kwa mataifa hagha. 11 Ngaa kilambo chee choti chabaa ukabaha na hofu, na mataifa hagha wabumtumikiya mfalme wa Babeli kwa miaka sabanii. 12 Kabe miaka sabini bahipalakamilika, Nipalakumuhadhibu mfalme wa Babeli na taifa halyo, kilambo cha Wakaldayo hale ngaa tamko la Ngwana-kwa ulahuu wabe na kuipanga baa ukeba milele. 13 Nane nipalaleta kunani ya kilambo hagha maneno yoti yaniyabaya, na kiila kilebe chaki andikilwe katika kitabu hache ambacho Yeremia atitabiri kunani ya mataifa yoti. 14 Kwa maana pia mataifa yanambone na wafalme wakoloho bapato kutumwe boka mataifa hagha. Nipalakuwalepa kwa matendo yabe na kazi ya maboka yabe" 15 Kwa kuwa Ngwana, Nnungu Israeli abaya nyaa, "utole kikombe hache cha divai ya ghadhabu boka mmaboko yangu, uwanywile mataifa yoti yanikutumite. 16 Kwa maana wabanywaa na kabe wabalewa na panga wazimu nnonge ya upanga ambao naupelekao kati yabe". 17 Bahi, nitikitola kikombe mmaboko mwa Ngwan, nitiwanyweshaa mataifa yoti ambayo Ngwana atinikema. 18 Yerusalemu,minema ya Yuda na wafalme wake, na hakolo wake, na kuwapanga bahaa ukiba na kilebe cha tisha, na bahaa kilebe cha kuzomewa na laana, kati chailivyo hata leno. 19 Mataifa yenge kaye wapalikwe nywaa: Farao mfalme wa Misri na wapangakachi wake; maafisa wake na bandu bake boti. 20 Bandu boti wa uurithi wa yangabana na wafalme woti wa kilambo cha wafilisti na Ashkelom, na Gaza, na Ekroni, na yaghaogalile ya Ashdodi; 21 Edomu na Moabu na bana ba Amoni. 22 Wafalme wa Tiro na Sidoni, Wafalme wa pwani ng'ambo ya pili ya bahari, 23 Dedani, Tema na Busi na balo babachekwa nywili zabe upande wa pili wa mikano yabe , kaye asili wapalikwe nywaa. 24 Bandu haba kaye bapalikwe nywaa; wafalme woti wa uarabuni na afalme woti wa bandu wa asilli yangabanike babaisha nyikani; 25 Afalme boti wa Zimri afallme boti ba wa Elamu na 26 afalme woti wa kaskazini balo wa papipi na balo wa kuhutalu kila yumoo na anuna zake na falme zoti za ulimwengu ambazo zabile paye ya minyo ya dunia. Hatimaye mfalme wa Babeli apalanywaa baada yagho yoti. 27 Ngwana anibakiye, "Bahi, uwabakiye, Ngwana wa majeshi, Nnungu wa Israeli abaya nyaa nywaa na kulewa, kabe taapika, utomboke, wala kana uyeme nnonge ya upanga wanipakuhutuma kati yinu. 28 Kabe yatokea kwamba manahite bakana tola kikombe mmaboko mwako ili mywoo, upalawa bakiya, Ngwana wa majeshi abaya hayehe lazimaa nywaa. 29 Kwa maana, linga, nipalaleta jifanga kunani ya mnema waukemilwe kwa lina lyangu, buli mwenga mwalekelwa kanamuhanzibiwe? wabaha Huru, kwa maana nakema lipanga kunani ya nenyeji boti wa kilambo! ngaa tamko la Ngwana wa majeshi. 30 Bahi wenga mwenyeji, Yeremia, tabiri kwabe makowe hagha yoti: Uwabakiye, Ngwana atanguruma boka kunani, nayuwe hapalatondobeya lilobe lake boka makao yake matakatifu, na radi boka mahali pake patakatifu, nayumbe akobwandotihii lati balo babalebata zabibu dhidi ya boti babaishi duniani. 31 Ndotii yandaicha mpaka mwisho wa kilambo, kwasababu yamana boka kwa Ngwana upalaleta mashtaka dhidi ya mataifa upaleta haki kwa boti bene hiyega yuwembe apawakema walahuu katika upanga hale ngaa tamko la Ngwana. 32 Ngwana wa majeshi abaya nyaa, Mulinge, taabu yatokea boka kwa taifa hadi taifao, na dhoruba ngoroho yatokeya boka pande za mwisho za dunia. 33 Kabe balo babawile na Ngwana bahicho boka pande umo wa dunia hadi wenge: babekelyalihi pamope au chikwa bababa kati samadi paye. 34 Kobweni yowe, wachungaji, na mukobwe ndotihii ya loba msaada! Galabuka galabuka katika bwiwehe, enyi mwamubile hodari katika likundi. Kwa kuwa lichoba lyako la wabaa na talangana itihichaa watomboka kati ngondorohoo babachaguliwe. 35 Wachungaji wabaalihi mtopoho paha butukya ndopoho yatoroka kwa mundu bababile hodari katika kundi. 36 Kubile na mlelo wa wasiwasi wa wachangaji na milelo ya lalama kwa bandu wababile hodari katika likundi, kwa kuwa yahweh andaalabiya malisho yabe. 37 Kwa hiyo, malisho ya amani yandaalabiwaa kwa sababu ya hasira ya Ngwana. 38 Kati himba, alileka liebwa lyake kwakuwa bwehee yabe yabaha kilebe cha changalaha kwa sababu ya nyongoo ya mbonelaji, kwasababu ya ghadhabu yake kale"