1 Ngwana ationesha kilebe. Linga, vitunduvibelevya tini vitibekwa nnonge ya hekalu la Ngwana (Maono hagha yatiboka baada ya Nebukadreza mfalme wa Babeli, kumtora mateka Yekonia mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, mapundi na apuwa vyuma boka Yerusalem na kuwaindikiya Babeli) 2 Vitundu chimo cha tini kibile nzuri muno, kati tini za kwanza zazibile mbaya muno zisizoweza liwa. 3 Ngwana anibakiye, "Ubona namani Yeremia nitibaya, tini. Tini ambazo ni mzuri muno na tinizo ni mbaya muno ziwecheekanikalihi lyaha" 4 Ngaa neno la Ngwana lanihichili, baya, 5 Ngwana Nnungu wa Israeli, abaya nyaa: Mawabulaga mateka wa Yuda kwa manufaa yabe kati nyaa tini haze mnzuri, patiwatoli mateka boka pano mpaka kilambo wakaldayo. 6 Mabeka minyo yangu kwabe wapate memana kuwabuyanganiya kilambo chachee. Mipalakuwa chengya, wala niwabulagaliihi. 7 Mipalakuwapanda, wala niwang'oalihi. Ngaa nipalakuwapeya moyo wa kunitanga nenga: kwa kuwa na nenga nipabaa Nnungu winu, monyoo wanibuyanganiya kwa moyo woti. 8 Lakini kati vyolo tini ambazo ni zifahikalihi lyahaa- abaya Ngwano-napanga nyaa kwa Sedekia, mfalme wa Yuda, pamope na viongozi wake na pamope na benge wa Yerusalemu ambao batibaki katika kilambo chee au yendo tama katika kilambo cha Misri. 9 Mawapanga kuwa kilebe cha tisha, wapate maafa, Nnonge ya falme zoti duniani, honi na soma kwa mithali, matusi, na laana mahali poti panipala kuwa benga. 10 Nipolatuma upanga, njalaa, na tauni dhidi yabe bapotelea kuhutalu boka kwenye kilambo chaniwapehi wao na tetebao"