1 Ole wabe wachungaji ambao hubulage na kuwa tawanya ngondoroho wa malisho yangu haye ngaa ahaeli ya Ngwana" 2 Kwa hiyo, Ngwana, Nnungu wa Israeli, abaya nyaa kunani ya wachungaji ambao wanawachunga bandu bake, "Mwenga mnawatawanya likundi langu na kuwafukuza. Muwahalilihi hata pachumu. Mutenga hale! Nenga vipalawalipiza wahuu winu-hale ngaa litamko la Ngwana. 3 Nenga namwene nipalakusanya mabaki ya ngondoroho wangu boka kilambo choti chaniwafukuza, nane niparakuwabuyanganiya kwenye lieneo la malisho, ambako bapapa na yongekeya. 4 Ngaa nipalakuwatondobeya wachungaji kunani yabe ambao bawachunga nyao bayogopa kaye au hobeya ndopoho hata yumo yuwapala hale ngaa tamkola Ngwana. 5 Lola, machoba yandaichaa-hale ngao tamko la Ngwana panipalakumtondobeya Daudi tawi la haki. Atatawala kati mfalme; apalangaga kwa busara na kusababisha hukumu na haki katika kilambo. 6 Katika machoba yake Yuda apaokolewe, na Israeli wataishi kwa usalama. Na lina lake apalahitwa Ngwana ni haki yitu. 7 Kwa hiyo, linga, machoba yandahicha hale ngaa litamko la Ngwano wabayalihi kaye, kati Ngwana chaahishi, yuwawatohi bana ba Israeli boka kilambo cha Misri. 8 Badala yake babaya, kati Ngwana chaaishi, ambaye yuwa waleti na ambaye atiwaongoza bana wa nyumba ya Israeli boka kilambo cha kaskazini na kilambo chabe bene" 9 Kuhusu manabii, moyo wangu utitekwanika ngati yangu, na mihupa yangu yoti itilendemao. Nibile kati mnyaha wembe, kati mundu ambaye atishindwa na divai, kwasababu ya Ngwana na maneno yake matakatifu. 10 Kwa maana kilambo ititweleya wazinzi. Kwa sababu ya hayo kilambo imeuka. Vitombe katika jangwa itiyomeleyaa ndela haze za manabii ni mbaya, ngupuhu zabe zipangi kwa namna sahihi. 11 Kwa maana manabii na makuhani boti watikufuru. Nitibona ulahuu wabe ngati ya nyumba yangu! haye ngaa tamko la Ngwana; 12 Kwa hiyo ndala yabe yabaha kati mahali pa pomolya katika lubendo. Watasukumwa baye. Wabe wabatomboko ngati yake. Kwa maana nipalakuwatuma mabaya kunani yabe katika mwaka wa adhabu yabe! hale ngaa tamko la Ngwana. 13 Kwa maana nilibona uchungu kati ya manabii hakwo samaria. Batitabili kwa bandu na wakawabulaga bandu bangu Israeli kwenye ndela sahihi. 14 Na miongoni mwa manabii hakwo Yerusalwmu nitibona makowe ya tisha. Banapanga uzinzi na bandayenda kwa ubocho bandaimalisha maboka ya walahuu; ndopoho mundu anarejea na leka ulahuu wake bate babilw kati Sodoma kwangu na bennyeji wake kati Gomora. 15 Kwa hiyo, Ngwana wa majeshi abaya nyaa kunani ya manabii, Mulinge, nawapanga balo magugu na nywaa mache yenesumu, kwa maana kufuru itiboka kwa manabii wa Yerusalemu na jingya katika kilambo choti" 16 Ngwana wa majeshi abaya nyao, "kunaupekanye maneno ya manabii wanahokuhubiri bakuchalawa! wanatangaza maono boka kwenye mawazo yabe bene, si kwa mkono wa Ngwana. 17 Wandabaya daima kwa balo babanidharau nenga, Ngwana abaya kwabaa na amani, kwako. Na kila mundu yuwatyanga katika ukaidi wa moyo wake andabaya, mabaya yandahicha kwinu. 18 Lakini nyahi katika mkutano wa baraza la Ngwana? Ni nyahi yuwabona na pekanya neno lake? Ni nyahi yawazingatia maneno yake na kupekaniya? 19 Linga, kuna dhoruba yaitoka kwa Ngwana! nyongo yake yandaboka na dhoruba yandatila. yandatila muntwee wa malahuu. 20 Nyongo ya Ngwana zalejealihi mpaka zitakapotimiza nia ya moyo wake. Katika lichoba la mwisho, utaelewa. 21 Niwatumilelihi manabii haba. Wabe tu babonekine. Sikuwahubiri makowe yoyoti kwabe, lakini balo bandatabiri. 22 Kwa kuwa wati yemaa katika mkutano wangu wa baraza, wangeweza kuwasababisha bandu bangu yowa neno langu, Batiwapanga wapate kuleka maneno yabe mabaya na mazoea mabaya. 23 Nenga, nga Nnungu yoyoti yuwabile papipi hale ngatamko la ngwana menga sio Nnungu yuwwabile kuhutalu? 24 Buli, habile mundu yoyoti yuwa yoba mahali penye siri ili nisiweze kumwona? Haye le ngaa litamko la ngwana buli mbingu na kilambo yatweyelihi nane? hale ngaa tamko la Ngwana. 25 Nitiyowaha yalo babayaa manabii, balo bababile wandatabiri ubocho kwa lina lyangu mibile na kulota! 26 Nibile na ndoto! buli, haye yayendelea mpaka lini, manabii babatabiri uboccho boke kwa malango yabe, na bandabaya namano boka na ubochoho mioyoni mwabe? 27 Banamipango ya kuwapanga bandu bangu libalya lina lyangu kwa ndoto ambazo wanazoripata, kila yumo kwa jirani yake kati nyaa babu balibalile lina lyangu kwaajili ya lina la Baali. 28 Manabii aliye na lota, abaya loto hayo. Lakini yulya ambaye nimbakiye kilebe fulani, bahi abaya neno langu kwa kweli. Buli, maakapi yandahusiana na chakulya- hale ni tamko la Ngwana. 29 Na maneno langu si kali muoto?- Hale ngatamko la Ngwana na kati mwamba wenye kobwa nyundo? 30 Mulinge, ninapingana na nabii- haye ngaa ahadi ya Ngwana na yeyoti yaibo maneno boka kwa bandu benge na andabayo yandaboka kwangu. 31 Linga, ninapingana na manabii-hale ngaa tamko la Ngwana ambalo hutumia lugha zao kutabiri maneno. 32 Linga, ninapingana na manabii babalota ndoto haye. Ngaa haadi ya Ngwana na kisha kuwahubiri na kwa ndela haye ubochoho bandu bangu kwa ubocho wabe na kujivunia nenga nibile kunani yabe, kwa kuwa niwatumilihi walo kuwapeya amri. Kwa hiyo hawatawasaidia bandu haba-haye ngao tamko la Ngwana. 33 Bandu haba au nabii au kuhani bokolo lokiye, buli, namani uwabakiye, Ni tamko gani? bahi nitikuleko wengga hali halyo tamko la Ngwana. 34 Kwa habari ya manabii, makuhani na bandu bababaya, Hale ngaa tamko la Ngwana nipolakumuhadhibu mundu hayu na nyumba yake. 35 Yendeleo kubaya, kila mundu kwa jirani yake na kila mundu kwa mnumbuyehe, Ngwana atiyangwa namani? na Ngwana atitangaza namani? 36 Lakini kanahulongele kaye kunani ya tamko la Ngwana kwa kuwa kila tamko boka kwa kila mundu libile ujumbe wake mwenyewe na umepotosha maneno ya Nnungu yuwabile mkoti Ngwana wa majeshi, Nhunguwitu. 37 Wamlokiya nabii, Ngwana atikuyangwa namani? buli, Ngwana atibaya namani? kabe wandabaya litamko kwa Ngwana, 38 Lakini Ngwana abaya nyaa, abaya, "Hale ngaa tamko la Ngwana" Ingiwa nitikulagya na baya kunaubaye: Hale nga litamko boka kwa Ngwana. 39 Kwa hiyo, lingaa, nipala kuwatola na kukutaikwa kuhutalu na nenga, pamope na jiji ambalo nitikupeya wenga na tate bako. 40 Ngaa nabeka honi ya milele na fedheha kunani yinu ambayo yalibaliwalihi.