1 Ngwana abaya nyaa, Yenda munyumba ya mfalme wa Yuda, utangaze neno hale hakwaho. 2 Ukabaye, Ewe mfalme wa Yuda, wenga yuwakama mukiti cha Daudi, upekaniye neno la Ngwana. Munipekaniye, mwenga wapangakachi wake, na ninyi, bandu bake mwandahicha kwa malango hagha. 3 Ngwana abaya nyaa, "panga haki na uadilifu na mumdu yoyoti ambaye ahobilwe muekeni boka mmaboko mwa mshindani. Kana umpangiye mabayaa mgeni yoyoti katika kilambo chako, au yatima au mjane. Kanaupanga vuruge au pengana damu yangalina hatia mahali hapa. 4 Kwa kuwa mpangite makowe hagho, bahi wafalme babatama kiti cha Daudi bajengya munyango ya nyumba hayee waki yendesha gari na farasi yuwembe wapangakachi wake, na bandu bake! 5 Lakini manate mupekaniyalihi maneno hagha boka kwangu ambayo nitiyabaya-hale ngaa litamko la Ngwana-bahi nyumbani hayehe ya mfalme yaharabiwa'"" 6 Kwa maana Ngwana abaya nyaa kunani ya nyumba ya mfalme wa Yuda, "wenga ubilekati Gileadi au kati kilele cha lebanoni kwangu. 7 Hata nyao nakurambuya panga lifangwa, katika minema yangali na benyeji. Kwa kuwa nitiwalangya waharabifu hicha kunani yinu! Bandu bene silaha zabe bakata mierezi yako yaibile bora na kuleka tomboka kwenye muoto. 8 Kabe mataifa yanambone yapalapita kwenye mnea hawolo. Kila mundu apalakummakiya yolya yuwangana, "Mbona Ngwana apangite nyaa kwa mnema hawolo mkoloho? 9 Na yuwenge apalaji yangwa, "Kwa sababu wahileki lilagano la Ngwana, Nnungu wabe, batitita kwa minungu yabe yenge, watiiyabadu. 10 Kana ulelehe kwa ajili ya yuwawile. Kanahulombole kwaajili yake. Lakini mulele mundu yeyoti yuwajingiya kifungoni, kwa maana habuyangana kaye kuibona kilambo cha belekwile. 11 Maana Ngwana abaya nyaa kunani ya Yehoahazi, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, yuwabile mfalme badala ya Yosia tatebake, abokite mahali pano wala habuyanganilihi. 12 Hapa waha hakwoho mahali ambapo bamtweti mateko, na hailulalihi kaye kilambo hachee. 13 Ole mundu yoyoti yuwachenga nyumba yake kwa ulahuu na nyumba yake ya kunani katika udhalimu, ambao wenga hupanga kazi, lakini walepwalihi. 14 Ole mundu yoyoti yapalabaya, Nipalachenga nyumba rocho na nyumba ya kunani vipana, na chenga madirisha mapana, na nguta zene mwerezi, na kuipakara rangi ngere. 15 Buli, haye ngao yakufaika ube mfalme mzuri, kwamba upala baha na ambao za mwerezi? buli tate bako andalyahalihi na ngwao, lakini lakini apangite hukumu na haki? kabe makowe yabile mazuri kwaajili yake. 16 Alihukumu maneno ya maskini na mhitaji yabile vizuri buli, hakwo nibilelihi kunitanga nenga? hale ni litamko la Ngwana. 17 Lakini ndopoho kilebe mminyo na moyoni mwako isipokuwa wasiwasi kwa faida yako ibilelihi ya haki na kwa kutaikwa damu ya ngali ma hatia, kwa ukandamizaji kuwapangya jeuri wenge. 18 Kwa hiyo Ngwana abaya nyaa kunani ya Yakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda. Bambombolalihi watibaya ole, Mnongobangu! au ole, dada yangu! Balombolalihi kwa baya ole Ngwana! au ole utukufu!. 19 Apalazikwa maziko ya mbunda, apalabuluzwaa kuhutalu na taikwa panja ya miniyango ya Yeresalemu. 20 Hoboka vitombe vya lebanoni kobwa ndotihii paza lilobe lyako Bashani. Lobwa ndotihii boka kwenye vitombe vya Abarimu, kwa maana bwiga lyako boti baharabiwa. 21 Mitibaya nawenga wakati waubile salama, lakini utibaya, 'Miyowalihi' Haye yabile desturi yako kitumbu amchembe wako, kwani hapekanilihi lilobe lyake baharabiwa. 22 Mchunga utawalisha wachungaji woti, na mabwiga zako wabayenda tabilwa. Hakika wenga wabaha na honi na kufadhaika kwa matendo yako yoti malahuu. 23 Wenga mfalme, wenga ambaye huishi katika nyumba ya mwitu wa Lebanoni, wenga yuwapangite kiyumba kati ya mierezi, wabaha na hali ya kuhurumiwa upalapata utungu kati wakati wa papa" 24 Kati nenga chanihishi-hale ngaa litamko la Ngwana na hata kati wenga, konia, mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, ubile alama ya luboko wangu wa mmalyoho, ningekutomboya. 25 Kwa kuwa nitiwajeya mmaboko ya balo baba uhai winu na kwenye lubuko ya Nebukadreza, mfalme wa babeli na Wakaldayo. 26 Mipalakuwa tikwa wenga na maa bao yuwakupapite katika kilambo chenge kilambo amcho ubelekwilihi, na hakwo wa waa. 27 Na husu eneo hale ambalo bataka buyangana, babuyanganalihi pano. 28 Buli! Itake nga chombo chakichalawile na kilichopasuko? buli, konia ni chombo chakicharalike? kwa namani wataikwe yuwembe na lubeleko lwake, kkumpeleka katika kilambo wabahatangiteli? 29 Ee bwihi, bwihi, bwihi! mupekanye neno la Ngwana! 30 Ngwana abaya nyaa, "Andika kunani ya mundu huyoho konia yuwembe apalapanga na mwana. Hapara fanikiwa wakati wa lichoba lyake, wala ndopoho hata yumo kati ya lubeleko lwake yuwapalafanikiwa au tama kaye kwenye kiti cha Daudi na kutawala kunani ya Yuda""