1 2 Hale ngaa neno laliboki kwa Ngwana kwa Yeremia wakati mfalme sedekia amtumite pushuri mwana wa malkiya na Sefania mwana wa maaseya, kuhani. Wammakiye, Pali lishauri boka kwa Ngwana kwaajili yitu, kwa kuwa Nebukadreza , mfalme wa Babeli,aleta vita. Labda Ngwana apalapanga miujiza kwitu, kati chanibile zamani, na panga aboka kwitu." 3 Bahi Yeremia awabakiye, "Nyaa ngaa nipalakummakiya Sedekia. 4 Ngwana, Nnungu wa Israeli, "Nyaa ngaa: Linga, nigalambuya nchogo vyombo vya vita vyavibile mmaboko mwinu, ambavyo mukobwana dhidi ya mfalme wa babeli na wakaldayo babakutaba boka panja ya kingombe! kwa maana nitawakusanya katikati ya mnema hawolo. 5 Nane nakobwana namwenga luboko wautondibiya na luboko wene ngupuhu, na ukale, ghadhabu, na hasira ngoloho. 6 Kwa maana nawabulaga wenyeji wa mnema hawahu, wanadamu na inyama bawaa kwa taami kali. 7 Baada ya hagho-haye ngaa chadi ya Ngwana Sedekia mfalme wa Yuda, wapangakachi bake, bandu, na kila mundu yuwahishi katika mnema hawa baada yatauni, upanga na njalaa, nawajeya boti mmaboko mwa Nebuadreza mfalme wa Babeli, na maboko mwa adui zabe, na katika luboko wa balo babatoka uhai wa ngaa apawabulaga kwa makale ya upanga. Hapawahulumya, hapawaokowo, au bana na rehema. 8 Bahi uwabakiye bandu haba, Ngwana abaya nyaa linga nipalabeka nnonge yako ndela ya uzima na ndela ya mahuti. 9 Mundu yoyoti yuwaishi katika mnema hawoho apalawaa kwa lipanga, njalaa, na tauni, lakini mundu yoyoti yuwapala boka na tomboka kwa majua nnonge ya wakaldayo ambao batitabilwa dhidi yako apatama yumbe apaokolewa na maisha yake. 10 Kwa maana nibekite uso wangu kunani ya mnema hawoho ili kutola ili kuleta maafa na sio kuleta mema- hale ngaa litamko la Ngwana. Wajewa boko mwa mfalme wa Babeli nayywembe apakuhuteketeza. 11 Husu nyumba ya mfalme wa Yuda, upekaniye neno la Ngwana. 12 Nyumba ya Daudi, Ngwana abaya, "Hukumuni kwa haki kihindahi umuokoa yolwa yuwa hobite kwa maboko wa wenye kulolaha, au ghadhabu yangu yapita kati muoto na tiniya, na ndopoho mundu yuwawechazimiy, kwa sababu ya matendo yako malahuu. 13 Linga, mwenyeji wa libende na mwamba wa kilambo cha wazi! Nenga nibile kunani yako-haye ngaa ahadi ya Ngwana-Nenga ni kunani ya mundu yoyoti yuwabaya, Ninyahi yuwashuka kutukobwa? au minyahi yuwapalajinya kwenye nyumba zitu? 14 Mipala kuwaadhibu bokana na matunda ya makowe yabo-hale ngaaa tamko la Ngwana na nipalawasha muoto katika mwitu, na wateketeza kila kilebe"