Sura ya 28

1 Isaka kamdikira Yakobo, akambariki, na kumwagiza, ulairiye mndumka kwa wanawake wa Kikanaani. 2 Inuka, nenda Padani Aramu, ko numba ya Bethueli papa o mama yake, na uiriye mndumka aja, mmoja wapo wa binti za Labani, kaka wa mama yako. 3 Makilunga Mwenyezi na akubariki, akupe uzao na akuzidishe, hata uwe wingi wa watu. 4 Na nakuninge baraka ya Ibrahimu, igwe, na uzao ambapo umekuwa ukiishi, ambayo Makilunga alimpa Ibrahimu." 5 Hivyo Isaka akamwondoa Yakobo. Yakobo akaenda Paani Aramu, kwa Labani mwana va Bethueli Mwaramu, kaka wa Rebeka, mama yao Yakobo na Esau. 6 Basi Esau alipoona kwamba Isaka amembariki Yakobo na kumpeleka Padani Aramu, kuchukuwa mke ifuma aja, kake pia kaona kwamba isake alikuwa amembariki na kumwagiza akisema, usichukuwe mke katika wanawake wa Kanaani." 7 Esau pia akaona kwamba Yakobo alikuwa amemtii baba yake na mama yake, na alikuwa amekwenda Padani Aramu. 8 Esau kaona kwamba wanawake wa Kanaani hawakumpendeza Isaka baba yake. 9 Hivyo kadambuka ko Ishmaeli, ne iiriya, kwacha na vaka aliokuwa nao, Mahalathi binti Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, dada wa Nebayothi, kuwa mke wake. 10 Yakobo akatoka Beersheba na akaelekea Harani. 11 Akacha mahali fulani na kadamya aja kio kucha ko kuwa ruva jivekeri limekuchwa, Akachukuwa mojawapo ya mawe katika eneo hilo, akaliweka chini ya kichwa chake na akalala usingizi katika eneo hilo. 12 Akaota na kuona ngazi imewekwa juu ya nchi. Ncha yake ilifika hata mbinguni na malaika wa Makilunga walikuwa wakishuka na kupanda juuyake. 13 Lambwa, Yahwe ameimukana uye yake ne iamba, "Inyi nyi Yahwe, Makilunga o Ibrahimu papa wake na Makilunga o Isaka. Nchi imelala uye yake, ngapekuninga igwe na ushao wapo. 14 Ushao wapo upeza cha maifu ya ardhi, na utaenea mbali kuelekea magharibi, mashariki, kaskazini, na kusini. Iidiya kwapo na iidiya ushao wapo familia zote za dunia zitabarikiwa. 15 Lambwa, inyi ngakeri na igwe, na ngapekuringa kila undu unedambuka, Ngapekuurigha kwa nchi hii tena kwani sitakuacha. Nitafanya kila nililokuahidi." 16 Yakobo akaamka katika usingizi, na akasema, Hakika Yahwe yupo mahali hapa, sikujua hili." 17 Kaogwa neamba, eneo hili linatisha kama nini! Hili sio kingine zaidi ya nyumba ya Makilunga. Hili ni lango la mbinguni." 18 Yakobo katukwa mapema kitalang'a na airiya igho alilokuwa ameliweka chini ya kichwa chake. Akaliweka kama nguzo na kumimina mafuta juu yake. 19 Akapaita pale Betheli, lakini jina la kawaida la mji lilikuwa Luzu. 20 Yakobo akatoa nadhiri, kusema, "Ikiwa Makilunga apeva na inyi na apengiringa ko njia nganeida na apengininga mkate wa kula, na mavazi ya kuvaa, 21 hata ngakauya salama ko numba ya papa okwa, ndipo Yahwe apeva Makilunga wake. 22 Kisha igho iji ngalejidera vha nguzo jipeva igho takatifu. Ifuma ko kila utakachonipa. Ko hakika ngapekuninga kavi sehemu ya ikumi."