Sura ya 27

1 Isaka andu aleva msuri na meso vake iva valemeje kiasi cha kutokuona, nyalemdikira Esau, mwanawake mduwe, ne imbiya, "Mwanakwa. Icho kaamba, inyi iha. 2 Akambia, "Lambwa, inyi kameva msuri, ngaiche siku yakwa nyipa kokwapo. 3 Ko hiyo iria silaha sapo, podo jako na uda wapo, na udambuke uwandani undengiwindya mnyama. 4 Ungiandalie kando kilodiye, aina ija ngaikundye, ngikije ne kubariki kabla kalamepa. 5 Basi Rebeka kaichwa Isaka anededa na Esau mwanake. Esau kadambuka uwandanyi iwinda mawindo ne icha navo. 6 Rebeka kadeda na Yakobo mwanake ne imbiya, lambwa, ngamwicha papa wapo amededa ne Esau mdwanu wapo. Kambiya, 7 'Ngiendye mnyama ne ingitobirwa kando kilodye ili ngikeje ne ikubariki mbele sa Yahwe kabla ye ipa kokwa.' 8 Ko ikyo luaha, mwanakwa, adanya iru yakwa cha kundu nganekuvia, 9 Dambuku kundinyi, na ungiendye mamburu vavi, na inyi ngapeanda kwando kilodye ifumana navo ko ajili ya papa wapo, ko namna aikundye. 10 Upengidamada ko papa wapo, ili kwamba nakije, ne ikubariki kabla alamepa." 11 Yakobo kambiya Rebeka mama wake, "Lambwa, Mndudu okwa Esau nyi mndu aode mamberi, na inyi nyi mndu laini. 12 Pengine papa okwa nyapengigusa, nainyi ngapeonekana kama mdanganyifu kwake. Nainyi ngapejiedye laana badala ya baraka." 13 Mama wake kambiya, "Mwanakwa, tija laana yoyose ive uye yakwa, igwe adanya iru yakwa, dambuka ungiendye. 14 Hivyo Yakobo nyaledambuka ne iiria mamburu ne ivaende ko mama wake, na mama wake ka andaa kando ilodye, cha kija akikundye papa wake. 15 Rebeka kairya nguvo njicha sa Esau, mwanake mduwe, avekeri naso kanyi kwake na kamrarika Yakobo, mwanake mnina. 16 Kamrarika njini ya mwanambuzi ko moko vake na ko sehemu laini sa njingo wake. 17 Kadera ko moko va Yakobo kija kando kilodye, na mkate aliokuwa ameuandaa. 18 Yakobo kaadambuka ko papa wake ne imbiya, "Papa kwa, icho kaamba, "Inyi iha; U nyunga igwe, mwanekwa?" 19 Yakobo kambiya papa wake, "Inyi nyi Esau muonika wapo o kuvoka; ngameuta cha kundu ongiagiza. Basi damya na uje sehemu ya mawindo vapo, ili ungiberiki." 20 Isaka kambiya mwanake, imekuwaje umepata kwa haraka hivyo, mwanangu? Kaamba, nyi ko kitevi Yahwe Makilunga wap amengiendye." 21 Isaka kambiya Yakobo, "Njoo kufui na inyi, ili ngikuguse, mwanakwa, ili ngimanye kama loi igwe nyi mwanakwa Esau ana wai." 22 Yakobo akamkaribia Isaka baba yake, na Isaka akamgusa na kusema, "Sauti ni sauti ya Yakobo, lakini mikono ni mikono ya Esau." 23 Isaka hakumtambua, ko kitevi moko vake vaveude mamberi, cha moko va Esau mdwavo wake hivyo Isaka akambariki." 24 Kaamba, "Igwe loi nyi mwanakwa Esau?" Nacho kaamba, "Nyi nyinyi." 25 Isaka kaamba, "Ingiendye kando kakwa, na ngije mawindo vapo ili ngikubariki," Yakobo kakiende kando kwake. Isaka kaja, na Yakobo kamwendye mvinyo akanywa. 26 Kisha Isaka papa wake kambiya, "Sogea kufui na inyi na ungibusu, mwanakwa." 27 Yakobo kaserya na kumbusu, nacho kadasha harufu ya nguvo sake na kumbariki. Kaamba, "Lambwa, harufu ya mwanakwa ni kama harufu ya shamba alilolibariki Yahwe. 28 Makilunga nakuninge sehemu ya umande wa mbinguni, sehemu ya unono wa nchi, na wingi wa nafaka na mvinyo mpya. 29 Vandu na vakutumikie na mataifa yainame chini yako. Uwe bwana juu ya ndugu zako, na wana wa mama yako wainame chini yako. Kila anayekulaani na alaaniwe; na kila anayekubariki abarikiwe." 30 Mara Isaka alipomaliza kumbariki Yakobo, na Yakobo ndo ametoka mbele ya Isaka baba yale, Esau ndugu yake akaja kutoka mawindoni. 31 Naye pia kaandaa kando kilodye ne imwendye ko papa wake, "Papa, inuka na uje baadhi ya mawindo ya mwanapo, ili udime ngibariki." 32 Isaka papa wake kambiya, "U nyunga igwe? Kaamba, "Inyi nyi mwanapo, Esau, muonika wapo o kuvoka." 33 Isaka kadedema munu ne iamba, "Nyavekeri nyunga aliyewinda mawindo na ingiendye? Ngaleja kiso kabla ulamecha, na inyi nimembariki. Apibarikiwa, ko loi." 34 Esa aliposikia maneno ya baba yake, kafurighako kilio kidue na kya uchungu munu, na kambia papa wake ungibariki na inyi, inyi pia papaokwa." 35 Isaka kaamba, mndwanu nyalecha iha ko hila na ameiriya baraka sapo." 36 Esau kaamba, "Je aledikirwa Yakobo ko haki? Ko maana amengilemba mara kavi kudi. Nyaleiriya haki yakwa ya mzaliwa o kuvoka, na lambwa, luaha ameiriya baraka yakwa." Na kaamba, "Je hukuniachia baraka? 37 Isaka akajibu ne imbiya Esau, "Lambwa, ngamemfanya iva bwana wako, na ngamemninga nafaka na divai. Je ngikufanyie ngikyo mwanakwa? 38 Esau kambiya papawake, "Je uode hata baraka imuko ajili yakwa, papakwa? Ngibariki na inyi, hata inyi pia papaokwa, Esau kafurigha ko iru. 39 Isaka papa wake kajibu ne mbiya, "Lambwa, mahali unapoishi patakuwa mbali na utajiri wa nchi, mbali na umande juu angani. 40 Kwa upanga wako utaishi nawe utamtumikia ndugu yako. Lakini utakapoasi, utaiondoa nira yake shingoni mwako." 41 Esau akamchukia Yakobo ko kitevi kya baraka ambayo papa wake alemninga. Esau akajisemea moyoni, "Siku sa maombolezo ko ajili ya papa okwa simekaribia, baada ya hapo ngapemwagha mndodu Yakobo." 42 Rebeka kaviwa shidedo sa Esau mwanake mdue hivya kaduma ne imdikira Yakobo mwanaki mnina ne imbiya, "Lambwa, Esau mndwanu yako nyanejifariji uye yapo ko kupanga ikuagha. 43 Ko ikyo luaha, mwanakwa, uadanye na ukambije ko Labani, ndugu, okwa, huko Harani. 44 Udamye nacho kitambo, mpaka hasira sa mndwanu wako andu sipepungua, 45 Hata hasira sa mndwanu wapo itakapokuondokea, ne ivadima ulivyomtenda. Kisha ngapeduma ni iku urigha ifuma aja. Ko ngikyo ngivadese inywe vose ko siku imu? 46 Rebeka kambiya Isaka, "Ngamechoka na maisha ko kitevi ya hawa binti za Hethi. Ikiwa Yakobo apeiriya umuwavo o binti wa Hethi iva mkake kama vakaiva, baadhi ya binti za nchi, maisha yatakuwa na maana gani kwangu?"