Sula 15

1 Kio kio wakuu wa makuhani wakintana hamwe na wagosi wagima na wagondi na baaza gima da wagosi wagima. Wakamtaha Zumbe Yesu wakamwegaa kwa Pilato. Pilato akamuuza, "we ni Mfaume ya Wayahudi?" 2 Akamwandua, "We kwamba ivyo". 3 Wakuu wa makuhani wagombeka masa mangi ya Zumbe Yesu. 4 Pilato akamuuza vituhu, "Nkuandua chochose?" Nkuona ivyo wakuhavyo masa kwa mbui nyingi?" 5 Mia Zumbe Yesu nkeekumuandua Pilato, na iyo imtenda aengemae. 6 Mia kuna kawaida ukati wa sikunkuu kuekewa mtahwa yumwe, mtahwa mwekuombezwae. 7 Kuwa na wabanasi mwe geeza, miongoni mwa wekukomao kati ya wekuasio watumikiao makosa yao. Kua na muntu yumwe etangwa Balaba. 8 Utifii weza kwa pilato na kumhinya agosoa inga ekugosoavyo uko nyuma. 9 Pilato akawaandua na kugombeka, "Mwaonda nimtohoe mfaume ya Wayahudi?" 10 Kwa kua kamanya ni kwa ajii ya kinyuu wakuu wa makuhani wakamgwia Zumbe Yesu na wakamweeta kwakwe. 11 Mia wakuu wa Makuhani wegea nchonjo utifii ukeme kwa sauti kua atoholwe Balaba badii yakwe. 12 Pilato akawaandua vituhu na kugombeka, "Nimtendeni Mfaume ya Wayahudi? 13 Wakatoa vuzo vituhu, "Msuubisheni". 14 Pilato akagombeka, kagosoa mbui yani yesayo kutama?" Mia wakasongwa ni kutoa vuzo ivyo kwa ivyo "Msuubisheni". 15 Pilato kaonda kulizisha utifii akamchopoa Balaba. Akamtoa Zumbe Yesu mijeledi akabind akamuavya ili asuubiwe. 16 Asikai wamwegaa mpaka uai (uda wa mwe nkambi) wakekonga hamwe na bunga da asikai. 17 Wakamhamba Zumbe Yesu nkazu ya langi ya huzuungi na wakagosoa taji ya miwa wakamhamba. 18 Wakavoka kumbehua na kugombeka, "Saamu Mfaume ya Wayahudi!" 19 Wakamtoa kwe mutwi kwa mwanzi na kumsiia mate. Wakakika mavindi mbele yakwe kwa kumhishimu. 20 Hada wekubindaho kumbehua, wakamhambua ida nkazu yakwe ya langi ya huzuungi na kumhamba nguo yakwe, na wakamuavya chongoi kwenda kumsuubisha. 21 Wakamkungumiza mwemboka sia amwambize, mwekuae akegia mwe mzi kuawa tanga. Mwetangwa Simoni Mkirene (tatiakwe da isikanda na lufo); wakamkungumiza kwenua msaada wa Zumbe Yesu. 22 Asikai wakamwegaa Zumbe Yesu hantu hetangwaho Goligota (maana ya tafasii inu ni, (Mpaamo ya bea da mutwi). 23 Wakamwenka npombe yekuhanganywao na manemane, mia nkee kuinywa. 24 Wakamsuubisha na wakapangana nguo zakwe, wakazitoa kula kuamua ntii ndiyo enkigwe kia asikai. 25 Yapata saa ya keo wekumsuubishaho. 26 Wakaika uanga yakwe kibao chekugondwacho. 27 Wamsuubisha hamwe na mabagaa waidi, yumwe ntendeo yakwe ya kuumwe na myuhu kumoso kwakwe. 28 (Tozeeza: Mnjooza, unu, "Na magondi yakatimia, yekutamwiiwayo" nkaumo mwe nakala za kae). 29 Na wekuao wakemboka wamtukana, wakasingisa mitwi yao wakamba ndieubonde hekalu na kudizenga kwa misi mitatu. 30 "Eohoe mwenye na useesi kuawa he msaaba!" 31 Kwa namna ida ida wakuu wa makuhani wambehua wakahigana hamwe na wagondi na kugombeka, "Kawaohoa watuhu mia nkadaha kweohoa mwenye. 32 Kwistu mfaume ya Izilaeli, seea sii ivi aha kuawa kwe msaaba, ili tidahe kuona na kuamini" na wada wekusuubishwao hamwe nae pia wambehua. 33 Yekubuaho saa sita kiza kikeza uanga ya sii yose mpaka saa kenda. 34 Ukati wa saa kenda, Zumbe Yesu akatoa vuzo kwa sauti nkuu; "Eloi, Eloi, sabakitani?" Maana yakwe "Muungu wangu, Muungu wangu, kwa mbwai kunibada?" 35 Baazi ya ao wekugookao wekusikiaho wagombeka, "Kaua amwetanga Elia". 36 Muntu yumwe akaguuka, akamemeeza siki mwe siponji na kuiika uanga ya mti wa muanzi, akamwenka ili anywe. Muntu yumwe akamba, "Suumiza tikaue ati Elia n'ndaeze akuseeze sii" 37 Akabinda Zumbe Yesu akaia kwa sauti nkuu na 38 Pazia da hekalu dikepanga ntii mbii kuawa uanga mpaka sii. 39 Afisa yumwe mwekuone kagooka akauana na Zumbe Yesu kwa jinsi ida, akagombeka, "Kwei uyu mintu nee ni mwana ya Muungu. 40 Nee waaho pia wavyee wekuao wakakaua kwa hae. Hamwe na nao nee Maliamu Magdalena, Makamu (mamiakwe da Yakobo mvunawe da Yose) na Salome. 41 Ukati ekuaho Galilaya wamtongea na kumtumikia. Na wavyee wekumwe wangi pia watongeana nae mpaka Yelusalemu. 42 Yekuwaho guoni, na kwa ajii iwa msi wa maandalio, si kabla ya Sabato. 43 Yusufu wa Alimasaya keza haada, nee ni mjumbe ya baaza, mheshimiwa, mntu mhufiiza Ufaume wa Muungu. Kwa ukangafu akaita kwa Pilato na kumuombeza mwii wa Zumbe Yesu. 44 Pilato akaengemaa kuona Zumbe Yesu kabinda kuumbwa mzimu; akamwetanga Yuda afisa akamuuza ati Zumbe Yesu kaumbwa mzimu. 45 Ekupataho kuawa kwa afisa ati kaumbwa mzimu, akamluhusu Yusufu kuudoa mwii. 46 Yusufu nee kagua sanda; Akamseeza kuawa kwe msaaba, akamtaha kwa sanda, na kumika mwe kabui dekufukwado mwe mwamba. 47 Maliamu Magidalena na Maliamu mamiakwe da Yose waona hantu ekuzikwaho Zumbe Yesu.