1 Iwa nsiku mbii tu baada ya sunkukuu ya pasaka na ya mikate yesiokuyewa chachu matakani wakuu na waandishi nee wakamda namna ya kungwia Kristo kwa wita na kumboma. 2 Kna kuwa walisema nkia wakati unu na sikukuu, wantu wasekweza kugosoa fuja. 3 Wakati kwistu okunaho Bethenia nyumbani mwa Simioni Moka, ekuwaho akaelekea nee meza mnyee yumwe akeza kwake akawa na chupa ya mwarashi ya nardo ntana yenye ghaamo nknu sana, akeitua chupa kumwetiia uwanga ya mtni wake. 4 Mia we kuna wantu na baadhi yao wakuchakizwa, wakembiana wenye kwa wenye wakagombeka ni mbwai sababu ya hasea inu? 5 Manakato aya nee yadahika yakatagwa kwa zaidi ya dinanimia ntatu na wakeakigwa wakiwa, nao makamkemea. 6 Mia Kristu akagombeka mwekeni yeye ikedu kwa mbwai mwa msumbua, Kagosoa jambo izi ntana kwangu. 7 Siku zose wakiwa mnao, na wakti wose mtamaniho mwadaha kunogoseo mbui ntana kwao, mia nkamna muwe na mimi wakati wose. 8 Kagosoa kia akidahacho kaweka mwii wangu mavata kwa ajii ya maziko yangu. 9 Kwei nanahinya kia hantu injii yendaho ihubiriwe mwe ulimwengu wose, kia ekukugusoacho mnyee uya chenla kitumuiwe kwa ukumbusho wakwe. 10 Kisha Yuda Eskariote yumwe na nada kumi na naidi, akaita hna wakuu wa makuhani izi kwamba apate kumabidhi knao. 11 Wakati na kuwa makuhani wekusikiavyo ivyo aondeza nafasi ya kumkabidhi kwwao. 12 Katika siku yabosi ya mkate wesiokugema chachu, wakati wekummavyaho mwananguto wa pasaka wanafunzi wako wakamhinya wakunda tize hahi tikaandao ili upate knda kande ya pasaka. 13 Akawatuma wanafunzi wake wandi na kuwahibya, hitani mpaka mzii nda, na yada mgosi ambae kema biga mnda muonane nao, mbaseni. 14 Nyumba ondayo ongie,mbaseni nammambie mwonyo nyumba yo, mwaimu amba, kikuhi chumba cha wageni hantu nenlao nidi pasaka na wanafunzi wangu. 15 Enda awaonyesha chumba kikuu chonyo thamani ambacho kitayari, gosoni maandalizi ajii petu hada. 16 Wanafunzi wakahanka wakaita mjini wakabmia mia kintu kama ekuavyo akawahivya, na nekeandae nkande ya pasaka. 17 Klakati yekuwaho gwoni, akeza na nada kumi na naidi. 18 Na wakati ekuwaho aikkambia meza na kada,kwatu akagombeka, kwei nawahinya yumwo na kwatu akagombeka, kwei nawahinya yumwo na yamwe kati yenu ndae nae nkunde endaamisaliti. 19 Wose wakisi bitika, na yumne baada ya mtuhuwakamhinya, hakika nkia mimi? 20 Kristu akajibu na kuwambinya ni yumwe ya nada kumi na waili kati yenu ambae yuma yenu sasa agintha hamwe tonge katika bakwidimwe na mimi. 21 Kna kuwa mwana wa Adamuadawite kama via maadiko yaemavyo juu yakwe mia ole ya mntu yada knembokia yeye mwana wa Adamu asalitiwa nee nvitana zaidi kama mtu Yuda nee nkekuvyaizwa. 22 Na wakati wekuwaho wako nkande Kristu ekadoa mkate, akanbariki, na kuumeges'ua akawonka akagombeka, doani unu ni mwii wangu. 23 Akadoa kikombe, akatugoa na akaweka, na wose waka kinywea. 24 Akawahinya inu ni mphome yangu ya agano, mphome yetikayo kwa ajii ya umati, 25 Kwei nawahimu nkina ninywe tena katika zao idi da mzabibu mpaka ufalme wa Zumbe. 26 Wekubindaho kuimba wimbo, wakaita chongoi katika muima na mizaituni. 27 Kristu akamhinya, nyuninyuni nyose mndamninege hae na mimi kwa sababu yangu kwa knia iandikwa, nnda nimtoe muisi na ngotoonda watawanyike. 28 Mia baada ya kugabuka kwangu nnda niwaogoe mbele yenu Galilaya. 29 Petuo akamhinya, naya kama wose wonda nakabale, mimi nkikubada. 30 Kristu akasombeka kwai nakuhinya, kia ikiki kabla zogoo kukema maambili,ondanwikumbona maa ntatu. 31 Mia Petuo akagombeka, hata ionda iwikazimu. 32 Kufa hamwe na wene nkikubada, wose wakaavya ahadi idaida. Wekwezaho katika eneo, ido detangwado Ge thoemame, na Kristu akanahinya wanafunzi wake ekaanihamu wakati nasali. 33 Akawadoa Petuo Yakobo na Yohana hamwenae, akawka kubazunika na kutabika sana. 34 Akawahinya nafsi yangu ina huzuni sana, hata kufa, ekaani hanu mcheezo. 35 Kristu akaita mbee kidogo, akagwa asi akombeza, kama yadahikana kwamba saa inu imuopuke. 36 Akugombeka aba Tate kwa kuwa mambo yose yadahika, musia kikombe iki; mia kwa mapenzi yangu bali kwa mapenzi yako. 37 Akanya na lauwabwia wagona na akamhinya Petuo, Simoni je mgona? nkamkudaha kuchee za hata saa dimwe. 38 Mduezo na muombe kwamba msekweza kuingia katika majaribu, hakika roho yafaigna mia mwii nkau kundo. 39 Akaita vi tahu na kuomba, na akatumia maneno yada yada. 40 Akiza vituhu akawabwia wagona lawa mini yao ne nmazito na nkaokumanya mini cha Ikuuambia. 41 Akeza maa ya ntatu na aka wahinya a bado mgona mhumniza yatosha saa ibna, kuama mwana na Adamu enda asalitiwa ume mikono ya wenye dhambi. 42 'Enukni, titeni, kauwani Yuda mnenda anisaliti yahehi. 43 Mara ekuwaho bado atamniya yuda yamwe na yamwe ya wada kumi na waidi akabna na kundi kuu doknknado kwa makuu wa makuhani wenye mahamba na manungu. 44 Wakati na msaliti wakwe akawa kawenka ishaa, akagombe yuda nendai nimbusu nee yeye, mgwieni na kumuika asi ya ulinzi. 45 Wakati Yuda ekubbuaho moja kwa moja akaita kwa Kristu na kugombeka mwaimu na akambusu. 46 Kisha wakamwika asi ya ulinzi na kumgwia. 47 Mia yamwe kati yao ekuwae kagooka hehi nae akasomoa pange dakwe akamtoa mtumishi wa kuhani mkuu na kumsenga gatwi. 48 Kristu akawahinya, mweza kunigwia kwa mahamba na manungu kama ninyang;anyi? 49 Wakati kia siku nee nna nywinywi nikafundisha mwe hekalu, nkamuku mnia, mia izi digosoka izi maandiko yatimie. 50 Na wose wada we kunaho na Kristu wakambaka na kngwaka. 51 Kijana yumwe akambasa nee kavaa shuka tuu ambayo nee kegubikia akamzunguka wakamgwia, mia. 52 Akawaponyoka akaibada shuka hasa akaguuka mrazi. 53 Wakamuongoza Kristu kwa kuhani mkuu hada nakakusanyika hamwe na makuhani wakua wose, na wazee na naandishi. 54 Petuo nae akambasa Kristu kwa hao, kuelekea kuembuha da kuhani mkuu, akekaa humwe na nalinzi wekunaho hehi na moto akaotoa izi kapata joto. 55 Wkati huo makuhani wakuu wose naa baaza wose nee wakaonda ushahidi dhidi ya Kristu ili napate kumkoma, mia nkakupata. 56 Kwa kuwa wantu wengi waeta ushahidi na umbea dhidi yake, mia hata ushahidi wao nkawekufanana. 57 Baadhi ya wagooka na kwita wantu wengi waeta ushahidi na umbea dhidi yake mia hata ushahidi wao nkawakufanana. Baadhi wagooka na kuita ushahidi wa umbea dhidi yakwe, wakagombeka, 58 Timsikia akagombeka nndandibanangehekalu idi na ndandigosoe kwa mikono, na ndani yasika ya ntata nnda nzenge tuhu lisidokweerywa kwa mikono. 59 Mia hata ushahidi nkawekafanana. 60 Kuhani mkuu akagooka gati gati yao na akammuza Kwistu je una da kujibu? wantu awa wakushuhudia mbwai dhidi yao? 61 Mia nkekaa kimya na nkekujibu chochose mara kuhani mkuu akamuuza vituhu, e we ni kwistu mwana wa mbai kiwa? 62 Kwistu akagombeka, mimi nee mwenye naonda maone mwana wa Adamu kekaa mkuno wa kubiia wa nguvu akeza na mazunde ya mbinguni. 63 Kuhani akatataa na avazi yakwe na akagombeka, je bado kuna uhaja wa mashahidi? 64 Mamsikia akakufuu, uamuzi wenu ni uhi? na wose wa kamhukumu kama yumwe astahili kufa? 65 Baadhi akavoka kumsiya mate na kumgubika cheni na kumtoa na kumhinya, tabiri maafisa wakamdoa na kumtoa na kumtoa. 66 Na Petro yuasi kuda kwe buha, mtumishi yamwe wa wavyee wa kuhani mkuu akeza kwake. 67 Nee kamnona Petuao ekwaho kagooka akaoteea moto, na akamkana kwa wehi, kisha akagombeka, na wewe pia neeuna mnazareti, Kwistu. 68 Mia akaemea, akagombeka, nkimanya wala nkielewa kuhusu usemacho kisha akalana akata chongoi buhani. 69 Mia mtumishi wakivyee hada ekumuonaho, akaanza kuwahinya watuhu wada ambao nee nagooka hamwe nae, mntu uyu ni mweziwe. 70 Mia akaemea haka wakamwambia Petuo, hakika wewe umweziwe, kwa maana wewe pia ungalilaya. 71 Mia akchini ya laana na kwavoka kujiika yeye mwenye chini ya laana na kweapoza, nkimanya mntu mumsemaye. 72 Mara zogoo dikakema maa ya kaidi, kisha Petuo mtui ambazo kembiwa nkwistu, kabla ya zogoo kukema maa ya kuidi unbu unikane maa ntatu, akagwa asi na kwiaa.