1 Kwe msi ya nane, Musa akawetanga Aroni na wanawe hamwe na wazee wa Israeli. 2 AKawahinya Aroni, "Doa ndama mgosi kulawa kundini kwa ajii ya kafaa ya zambi zako, na ngoto mgosi kwa ajii ya sadaka ya kuokwa, wose waidi wasekuwa na dosali, na uwalavywe mbele ya Yahweh. 3 Tamwia na wantu wa Israeli na wahinye, 'Doani bebelu kwa ajii ya sadaka ya zambi ya ndama na mwana- ngoto, awa waidi wawe na umri wa muongo umwe na bila dosali, ni kwa ajii ya sadaka ya kuokwa; 4 pia doani fahali na ngoto gosi kwa sadaka ya mpheho ili kuwalavya mbele ya Yahweh, na sadaka za nafaka yekuchanganyayo na mavuta, kwa kuwa ivyeo Yahweh andaawie kwenu. 5 Kwa iyo wakaeta kwe hema da kukintania vyose ambavyo Musa kaviagiza, nado kuntaniko dose da Israeli dikaawia na kugooka mbele ya Yahweh. 6 Akabinda Musa akagombeka, "Ivyo Yahweh ekuwaamuluvyo nyie mgosoe, ili kwamba utukufu wakwe udahe kuonekana kwenu. 7 "Musa akamhinya Aroni, "Soo hehi na mazabahu na ulavye sadaka yako ya zambi na sadaka ya kuokwa, na kugosoa upatanisho kwa ajii yao kama via ambavyo Yahweh kabinda kuamulu." 8 Kwa iyo Aroni akaikalibia mazabahu na akamhinya yuda ndama kwa ajii ya sadaka ya zambi,ambayo neiwa kwa ajii yakwe mwenye. 9 Nao wana wa Aroni wakamwetea iyo mphome, naye akakidonta chaa chakwe kwe mphome na kuiika mpembe za mazabahu, akabinda akayetia mphome sii ya kitako cha mazabahu. 10 Hata ivyo, kayateketeza ayo mavuta figo, na mavuta yagubika ini uanga ya mazabahu kuwa sadaka ya zambi, kama via Yahweh ekuwavyo kamuamulu Musa. 11 Na ikaokwa iyo nyama hamwe na babu chongoi ya nkambi. 12 Aroni akaichinja sadaka ya kuokwa, nao wanawe wakamwenka iyo mphome, ambayo yekunyunyizwayo mphome zose za mazabahu. 13 Akabinda wakamwenka ida sadaka ya kuokwa, kipande kwa kipande, hamwe na mtwi, naye akavioka uanga ya mazabahu. 14 Akazisunta sehemu za ndani hamwe na miundi na kuzioka uanga ya zabihu ya kuokwa uanga ya mazabahu. 15 Aroni akaeta zabihu ya wantu-- mbuzi, akabinda akamlavya kuwa zabihu kwa ajii ya zambi yao naye akamchinja, akailavya zabihu kwa ajii ya zambi, kama ekugosoavyo kwa yuda mbuzi wa bosi. 16 Akaieta sadaka ya kuokwa na kuilavya kama Yahweh ekuwavyo kaamulu. 17 Akaeta sadaka ya nafaka; akakimemeza kifumba chakwe nafaka na kuioka uanga ya mazabahu, hamwe na sadaka ya keo ya kuokwa. 18 Pia akamchinja fahali na yuda ngoto gosi, zabihu kwa ajii ya sadaka ya mpheho ambayo neiwa kwa ajii ya wantu. Nao wana wa Aroni wakamwenka mphome, ambayo kainyunyiza kia upande wa mazabahu. 19 Hata ivyo wayasenga mavuta ya fahali na yada ngoto gosi, mavuta ya kwe mkia, mavuta yagubikayo sehemu za ndani, figo, na yada mavuta yekugubikayo mapafu. 20 Wakazidoa izi sehemu zekusengwazo wakaziika uanga ya vidali, na akabinda Aroni akazioka mavuta uanga ya mazabahu. 21 Naye Aroni akavisingisa vidali na nyonga za kuume kuwa sadaka ya kusingiswa mbele ya Yahweh, kama via Musa ekuwavyo kaamulu. 22 Akabinda Aroni akenua uanga mikono yakwe ya wantu na kuwabaiki, akabinda akasea sii kulawa hantu ekuwaho akalavyo iyo sadaka ya zambi, sadaka ya kuokwa, na sadaka ya mpheho. 23 Musa na Aroni wakengia ndani ya hema ya kukindania kabinda wakalawa chongoi vituhu na kuwabaliki wantu, na utukufu wa Yahweh yakwe ukaonekana kwa wantu wose. 24 Moto ukasea kulawa kwa Yahweh na ukaisona sadaka ya kuokwa na mavuta yekuwamo uanga ya mazabahu. Wantu wekuonaho mbu inu, wakatoa vuzo na kugona sii.