1 Yahweh akatamwia na Musa, akaamba. 2 Tamwia na kusanyiko dose da wantu wa Israeli na uwambe, 'Ni lazima muwe watakatifu, kwa kuwa miye Yahweh Mungu wenu ni mtakatifu. 3 Kiya muntu amstahi tati yakwe na mami yakwe. Naho ni budi mzitoze Sabato zangu. Miye nee Yahweh Mungu wenu. 4 Mwese kuzihitua sanamu zesazo thamani, wala kujigosweea wenye miungu kuavia mwe chuma. Miye nee Yahweh Mungu wenu. 5 Uavyaho dhabihu za kafaa ya ushirika kwa Yahweh, wonda ulavye ili upate uhusa. 6 Ni budi iigwe siku iyo iyo wekuilavyao, au siku itongeayo. 7 Ati kuna kintu chochose ndicho kisigae mpaka siku ya katatu, ni budi kiteketezwe kwa moto. Ati chonda kiigwe mwe siku ya katatu chonda kiwe haamu. Nkakina kikubalike, 8 Miya kiya mwendae akida ni budi adoe kosa dakwe mana kakikosea heshima kintu kitakatifu kwa Yahweh. Mntu uyo ni budi achinjwe na wantu wakwe. 9 Ubondaho ubosi mwe sii yako, wese kubonda mpaka mwe mhaka wa mnda wako wala nkuna ukusanye mabaki ya ubosi wako wose. 10 Wese kukusanya kia zabibu mwe mizabibu yako wala wesekudodoa zabibu zekugwazo si mwe mnda wa mizabibu. Ni budi uzibade kwa ajii ya wakiwa na kwa ajii ya wageni. Miye nee Yahweh Mungu wako. 11 Wese kubawa, wese kusema umbea. Mwesekudanganyana. 12 Wese kuapa kwa zina dangu kwa umbea na kudinajisi zina da Mungu wako. Miye nee Yahweh. 13 Wese kumkandamiza jiani ywako wala kumbaia. Wese kutoza ujila wa kibauwa hio chose hadi keokeo. 14 Wese kumlani kiziwi au kuika kigingi mbee ya kipofu. Badala yakwe yakulazimu umuogohe Mungu wako. Miye nee Yahweh. 15 Wese kubabaisha hukumu ikawa nkiyo ya ukwei. Wese kuonyesha upendeleo kwa mntu fulani eti kwakuwa ni mkiwa na wese kuonyesha upendeleo kwa mntu fulani eti kwa kuwani mntu muhimu. Badala yakwe amua kesi ya jirani yako kwa haki. 16 Wese kuita uku na uko kutamwia mbui za uchochezi kati ya wantu wako, bali ondeza kulinda maisha ya jiani yako. Miye nee Yahwe. 17 Wese kumchukia nduguyo mwe moyo wako. Mgombeze jiani yako kwa heshima ili wesekwengia mwe zambi kwa ajii yakwe. 18 Wese kuiha kisasi au kuwa na chuki yoyose kwa wantu wako, miya badala yakwe umkunde jiani yako kama wependavyo wee mwenye. Miye nee Yahweh. 19 Toza amri zangu. Wese kuwavyaza wanyama wako kwa kutumia wanyama wa aina ntuhu tofauti. Wese kuhanganya aina mbii tofauti za mbeyu uhandaho mnda wako. Wese kuvaa nguo yekufumwayo kwa nyuzi za rangi mbii tofauti zekuhanganywazo hamwe. 20 Yoyose ndiye agone na mndee mtumwa mwe kuombwa ni mgosi mtuhu, miya nkazati kukombolwa au kuikwa huu, lazima waadhibiwe. Nkawana wakomwe mana yuda mndee nkekuwa huu. 21 Ni budi mntu uyo aete sadaka yakwe ya masa kwe mmwaango wa hema da kukuntana ngoto mgosi awe sadaka ya masa. 22 Ikabinda kuhani onda atende upatanisho kwa ajii yakwe kwa uyo ngoto mgosi mbee za Yahweh kwa ajii ya zambi ekugosoayo. Naiyo zambi yekugosolwayo yonda isamehewe. 23 Mwendaho mwengie mwe sii na kuhanda aina zose za miti ya nkande, kisha monda mhesabu matunda yondayo yavyaigwe kuwa yaemezwa kuigwa. Tunda donda diemezwe kuigwa kwa miaka mitatu. Nkadina diigwe. 24 Miya kwe mwaka wa nne, matunda yose yonda yawe yedi, kafaa ya sifa kwa Yahweh. 25 Kwe mwaka wa shano wadaha kuda tunda ambado kudingoja ili kuwa mti udahe kuvyaa zaidi. Miye nee Yahweh Mungu ywako. 26 Wese kuda nyama yoyose ambayo ina mphome. Wese kuuza kwa roho juu ya wakati wezao, 27 Wese kuwazuia watuhu kwa siya ya nguvu za usawi. Mwese kutongea tabia za wantu wese dini enga via kumoga denge au kumoga mphembe za ndevu zenu. 28 Wese kusenga mwii wako kwa ajii ya wekufao au kuchanjwa sae mwe mwii wako. Miye nee Yahweh. 29 Wese kumuabisha mwanao wa kivyee, kwa kumgosoa malaya, ama nkivyo Taifa donda digwiiye kwe umalaya wa sii yonda imeme ubaya. 30 Wonda uziike vyedi Sabato zangu na kuhaheshimu hantu hatakatifu he hema dangu da kukuntania. Miye nee Yahweh. 31 Mwese kuwasungiia wada watamwiiao na wekufao au mizimu. Mwese kuwaondeza ama nkivyo wonda wawagee najisi, miye nee Yahweh Mungu wenu. 32 Ni budi ugooke mbee ya mntu mwenye fi na uheshimu kuwaho mzee. Yabidi umuogohe Mungu wako, miye nee Yahweh. 33 Mgeni ezaho kwekaa na ywiywi mwee sii yenu, wese kummesa mesa kwa dodosa baya. 34 Mgeni mwekaa hamwe naywi ni budi awe kama mwenyezi Mwisraeli mwekuvyaigwa kwenu mwekaa kwenu, na ni budi mumkunde via mwekundavyo wenye kwakuwa nanywi nee mu wageni mwe sii ya Misri. Miye nee Yahweh Mungu wako. 35 Upimaho ulefu, uzito, au wingi wese kutumia vipimo vya kudanganya. 36 Tumia minzani halali, maiwe ya kupimia uzito yawe halali, efa halali, hini ye halali. Miye nee Yahweh Mungu wako, ne kukuavyae kwe sii ya utumwa ya Misri. 37 Yatii maagizo yangu na sheria zangu zose na kuzigosoa. Miye nee Yahweh.