Sura ya 18

1 Yahweh akatamwiia na Musa, akamba, 2 "Tamwiia na wantu wa Israeli na uwambe, "Mie nee Yahweh Mungu ywenu. 3 Mwesekugosoa mbui ambazo wantu wa Misri wazigosoa, hantu mwekuaho mkekaa bosi. Na ni lazima mwesekugosoa mbui zia wazigosoazo wantu wa Kanaani, sii ambayo namyegaa nywinywi. Mwesekutongea dastuli zao. 4 Shaia zangu neendizomgosoe, na amli zangu nee ndizomzitoze, kwa sibabu Mie nee ndimi Yahweh Mungu ywenu. 5 Kwa iyo lazima mzitunduie hukumu zangu na shaia zangu. Ati muntu kazitongea, n'ndaaishi kwa sibabu ya izo. Mie nee Yahweh. 6 Henu hesekuwaaho na ndiyeagone na yoyose mwenye uhusiano wa hehi naye. Mie nee Yahweh. 7 Wesekumgea soni tatiako kwa kugona na mamiako. Ye ni mamiako! Nkuondigwa kumgeasoni yeye. 8 Wesekugona na yoyose mwe wakaza tatiako; wesekumgea soni namna iyo tatiako. 9 Wesekugona na yoyose yumwe mweao ama ni mwanakivyee ya tatiako au mwana kivyee ya mamiako, ama mwekuewa nyumbai mwenu au hae nawe. Wesekugona na waumbuzo. 10 Wesekugona na mwanakivye ya mwanao, au mwanakivyee ya mwanao ya kivyee. Iyo nee ni soni yako mwenye. 11 Wesekugona na mwanakivyee ya mkaza tatiako, mwekuvyaigwa kwa tatiako, ye ni umbudo, na wesekugona nae. 12 Wesekugona na umbude da tatiako. Ye ni ndugu ya hehi kwa tatiako. 13 Wesekugona na dadie da mamiako. Ye ni ndugu ya mamiako. 14 Wesekumgea soni ndugu ya tatiako kwa kugona na mkaziwe. Wesekuwanachehi kwa kusudi ido; ye ni mamiakongazi. 15 Wesekugona na mwanakivyee-mkweo, Ye ni mkaza mwanao; wesekugona nae. 16 Wesekugona na mkaza kakio; wesekweza kumgea soni yeye kwa sia inu. 17 Wesekugona na mvyee ukaawaaho na mwanawe ya kivyee, au mwanakivyee ya mwanawe au mwanakivyee ya mwanawe ya kivyee. Ao ni nduguze wa hehi na kugona nao nee ni ubanasi. 18 Wesekumtegua dadie da mkazio kuwa mkazio ya kaidi na kugona ukati bado mkazio ya bosi yu meso. 19 Wesekugona na mvyee ukati wakwe wa kwengia mwe siku. 20 Ye ni najisi kwa ukati uo. Wesekugona na mkaza mwehehi yako na kwechafua mwenye kwakwe kwa sia iyo. 21 Mwesekuwaavya wana wenu ili kuwembosa kwe moto, ili kwamba muwaavye kafaa kwa Moleki, kwa sibabu mwesekweza kudinajisi zina da Mungu ywenu. Mie nee Yahweh. 22 Wesekugona na mgosi mtuhu inga ugonavyo na mvyee. Mbui inu ni ubanasi. 23 Wesekugona na mnyama yoyose na kwegea unajisi kwakwe. Nkauyondigwa mvyee kuafya kugona na mnyama yoyose. Uo ni upotovu. 24 Mwesekwegeausama wenye mwe sia izi, kwa kua mwe sia izi mataifa yagewausama, mataifa ambayo n'ndaniyaguuse yalawe kwa ajii yenu. 25 Ni kwa sibabu si inajisiwa, ivyo niliiadhibu zambi yao, nayo si ikawatahika wakazi wakwe. 26 Kwa iyo, yondigwa kuzitoza amli zangu na maagiizo yangu, na mwesekugosoa aina yoyose ya mbui izi za maema waa Mwisraeli mvyaigwa au Mgeni mwekaa mwenu. 27 Kwa kua ni ubanasi unu ambao wantu waugosoa, wada ambao wekaa aha kabla yenu, na ivisasa sii inajisiwa. 28 Kwa iyo muwe waangalifu ili kwamba sii yesekumitahika nywinywi baada ya kua muinajisi, inga yekuwatahikavyo wada wantu wekuwaoumo kabla yenu. 29 Yoyose mgosoa mbui izi za kuifya, wantu wagosoao mbui izo za kuifya lazima watakatiliwa hae kuawa mweao wantu wao. 30 Kwa iyo yondigwa kuzitoza amli zangu na wesekugosoa mwenga na mwenga ya destuli izi ziifyazo ambazo zigosolwa aho kabla yenu, ili mwesekujinajisi wenye kwa izo. Mie nee Yahweh Mungu ywenu.