1 Yahweh akamwamba Musa, 2 "Tamuia na Aroni na wanawe, na wantu wose wa Israeli. Waambie mbui zose ambazo Yahweh: 3 Mntu yoyose wa Israeli mkoma fahali au mana--ngoto au mbuzi nkambini, au se ya nkambi, ili kumuavya dhabiihu-- 4 kana nkamueta kwe hema da engio da kudugania ili kumuavyo dhabihu kwa Yahweh mbele za hema dakwe da kudugania, mntu uyu ana hatia ya mphome yekwetikayo. Kakoma, na mntu uyo sharti akomwe miongoni mwa wantu wakwe. 5 Kusudi haswa ya amri inu ni kwamba wantu wa Israeli waete dhabihu zao kwa Yahweh kwe engiio da hema da kudugania, wandawaziete kwa kuhani zidahe kuavigwa kuwa matoleo ya shukurani kwa Yahweh, baadala ya kuavya dhabihu hadharani mwe shamba. 6 Kuhani andaanyunyize mphome uwanga ya madhabahu ya Yahweh kwe engiio da hema da kudugania; andaayoke mavuta yakwe ili kuavyo harufu ntana mbele ya Yahweh. 7 Ni lazima wantu wasekuavya ntuhu dhabihu zao kwa sanamu za mbuzi ambazo kwayo ni kama makahaba. Idi nndadiwe ni agizo da kudumu kwa ajii yao mwe uvyazi wa wantu wao wose. 8 Ni lazima uwambie, 'Mntu yoyose wa Israeli, au Mgeni yoyose muishi miongoni mwao, mlavya dhabihu 9 na asekueta kwe engiio da hemaa kuiavya kwa Yahweh, mntu uyo vyedi akomwe.' 10 Na mntu yoyose wa Israeli, au yoyose wa Wageni mwe miongoni mwao, ambaye kanywa mphome, nndanimkome. 11 Kwa kuwa uhai wa mnyama yoyose umwe mphome yakwe, nkiilavya mphome yakwe kwenu ili iwe upatanisho juu ya madhabahu kwa ajii ya uhai wenu, kwa sibabu ni mphome na ietayo upatanisho, kwa kuwa ni mphome ipatanishayo kwa ajii ya uhai. 12 Kwa iyo ne nkiwambia wantu wa Israeli kwamba nkayuho gati yenu impasaye kuda mphone wala yoyose wa Wageni muishi miongoni mwenu ndiye ade mphome. 13 Na yoyose miongoni mwa wantu wa Israeli, au yoyose kwa Wageni mwe miongoni mwenu ni lazima etie mphome ya mnyama na kuifukia iyo mphome kwa mavumbi. 14 Kwa kuwa uhai wa kia kiumbe umwe mphome yakwe. Ni kwa sibabu inu nkiwamba wantu wa Israeli, ni lazima msekuda mphone ya kiumbe chochose, kwa kuwa maisha ya kiumbe chenye uhai ni mphome yakwe. Yoyose muida akomwe. 15 Mntu yeyose mda kibudu, au ambaye kalaluriwa na wanyama wa porini, ama yuda mntu ni mwenyeji wa kuvyaigwa au ni mgeni aishiye miongoni mwenu, ni lazima afue nguo zakwe na kwehaka mazi, naye andaatende najisi hadi guoni. Kisha anda awe safi. 16 Akini kana nkafua nguo zakwe au kwehaka mazi mwe mwii wakwe, ni lazima ende na hatia. yakwe."