Sura ya 16

1 Yahwe katamwiia na Musa - inu ni baada ya fiiye ya wana waidi wa Haruni, wekuaho hehi na Yahwe na nee wee wafa. 2 Yahwe akamwamba Musa, "Tamwiia na Haruni kakio na umwambie nkakuna kweza tu ukati wowose kwe hatakatifu hantu hatakatifu mwe pazia, mbele yakangubiko kawevano. 3 Ivi nee jinsi Haruni lazima eze mwehatakatifu ha hatakatifu. Yeye lazima engie hamwe na ndama kana sadaka ya zambi na ngoto ngosi kana kafaa ya zambi. 4 Ni lazima avae nkazu ya kitani na lazima avae mwe nguo ya kitani, na lazima avae ukanda wa kitani na kilemba aha kitani. Aya ni mahambo matakatifu. Lazima chake mwii wakwe mwe mazi na avae mahambo aya. 5 Lazima adoe kwe utifii wa wantu wa Israeli mbuzi waidi wagosi kana kafaa ya zambi na ngoto ngosi yumwe ikawa ni sadaka ya kudagamizwa. 6 Aho Haruni lazima aete ng'ombe kana kafaa ya zambi, ambayo yendaiwe kwa ajii yakwe mwenye kugosoa wevano kwa ajii yakwe mwenye na familia yakwe. 7 Lazima adoe mbuzi waidi na kuwaika mbele ya Yahwe mwe uvi wa kwengiia kwe hema da mdugano. 8 Nee Haruni lazima atowe kula kwa ajii ya mbuzi ao waidi kula mwenga kwa ajii ya Yahwe, na kula ntuhu kwa ajii ya mzigwa. 9 Nee Haruni lazima aavye mbui ambae kula imgwiia kwa Yahwe na kumwaavya mbuzi uyo kana kafaa ya zambi. 10 Akini mbuzi ambae kula kuzigwa imgwiia lazima aelwe kwa Yahwe akawa mgima kugosoa wevano kwa kumweekea aite kwe mani kana mbuzi mzigwa. 11 Pia Haruni lazima aete ng'ombe kwa ajii ya sadaka ya zambi, ambayo yenda iwe kwa ajii yakwe mwenye, lazima agosoe mwevano kwa ajii yakwe mwenye na familia yakwe ivyo lazima yeye amkome uyo ng'ombe kana sadaka ya zambi kwa ajii yakwe mwenye. 12 Haruni lazima adoe chetezo chekumemacho mkaa wa moto kuawa kwe mazabahu mbele ya Yahwe, na mikono imema ubani mtana, na kueta vintu ivi mwepazia. 13 Aho lazima aike ubani uwanga ya moto mbele ya Yahwe ili kwamba zunde kuawa mwe ubani didahe kugubika kigubiko cha kiaga cha imani mwevano. Yeye agosoae ivyo ili kwamba asekufa. 14 Aho lazima adoe kiasi cha mphome ya ng'ombe ili kuimyaga kwa chaa chakwe mbele ya kigubiko cha wevano. Lazima anyunyize kiasi cha damu kwa kidole chake mara saba mbele ya kifuniko cha upatanisho. 15 Naho lazima akome mbuzi kwa ajii ya kafaa ya zambi ambayo ni kwa ajii ya wantu na kuieta mpome yakwe mwe pazia. Aho lazima aigoswee mphome kana ekugosoavyo kwe mphome ya fahali: lazima aimyage uwanga ya kagubiko cha upatanisho na mbele ya kagubiko ka wevano. 16 Yeye lazima agosoe wevano kwa ajii ya hantu hatakatifu kwa sibabu ya ugosozi wa sama ya wantu wa Israeli, na kwa sibabu ya uasi na zambi zao zose. Yeye pia ni lazima agosoe aya kwa ajii ya hema ya mdugano ambao Yahwe ekaa gati yao, mwe uweho wa ugosozi wao wa sama. 17 Nkakuna muntu mkundwa kuwaaho mwehema ya mdugano ukati Haruni ekwengiaho kugosoa wevano mwe hantu hatakatifu ha hatakatifu, mpaka aawe chongoi kabinda kugosoa wevano kwa ajii yakwe mwenye na kwa ajii ya familia yakwe na kwa ajii ya utifii wa Israeli. 18 Yeye lazima aite chongoi kwe mazabahu aho mbele za Yahwe na kugosoa wevano kwa ajii ya iyo na lazima adoe kiasi cha npome ya mbuzi na kuiika uwanga ya npembe za mazabahu yose kuzunguka. 19 Akundwa amyage kiasi cha mpome uwanga yakwe kwa chaa chakwe maa mfungate kuing'aza na kuitanga maalumu kwa Yahwe, hae kuawa ugosozi wa sama ya wantu wa Israeli. 20 Endaho abinde kwevanya kwa ajii ya hantu hatakatifu sana, hema da mdugano, na mazabahu, lazima amweete mbuzi ambae ni mgima. 21 Haruni lazima aike mikono yakwe yose uwanga ya mutwi wa mbuzi uyu ambaye ni mgima na akili uwanga yakwe maovu yose ya wantu wa Israeli, uasi wao wose, zambi zao zose. Aho lazima aike zambi izo uwanga ya mtwi wa mbuzi na amwekee mwe ukauwizi wa muntu mwetayali kumuongeza mbuzi uyo kwemani. 22 Mbuzi lazima enulwe uwanga wakwe mwenye uovu wase kuita hantu hakiwa. Kuda mzituni, uyo muntu mweeke mbuzi aite hulu. 23 Aho Haruni akundwa kuita vituhu umo mwehema ya mdugano na kuvua mahambo ya kitani ambayo kehamba kabla nkazati hantu hatakatifu sana, na akundwa kuyabada mahambo ayo hada. 24 Akundwa asunte mwii wakwe kwa mazi hantu hatakatifu na ehambe nguo zakwe za kawaida, pia lazima aawe chongoi kuavya kafaa ya kudagamizwa na kafaa ya kudagamizwa ajii ya wada wantu na kwa sia inu agosoa wevano kwa ajii yakwe mwenye na kwa ajii ya wantu. 25 Lazima yeye ake mavuta ya kafaa ya zambi uwanga ya mazabahu. 26 Uyu muntu mumbada mbuzi mzigwa aite hulu anyukua nguo zakwe na kusunta mwii wakwe mwe mazi; baada ya ayo, adaha kuuya vituhu nkambini. 27 Yuda fahali kwa ajii ya sadaka ya zambi na mbui na mbuzi kwa ajii ya sadaka za zambi, ambae mpome yakwe nee ietwa kugosoa wevano mwe hantu hatakatifu, lazima yegalwe chongoi ya nkambi. Kuda lazima woke, mababu yao, nyama yao na mavi yao. 28 Uyu moka mphaamo izo lazima anyukue nguo zakwe na ehake mwii wakwe mwe mazi, baada ya aho adaha kuuya vituhu kwe nkambi. 29 Inu yenda iwe shalti kwa ajii yenu kwamba mwe mwezi wa mfungate kwenako msi wa kumi wa mwezi mwenda mzizitie wenye na msekugosoa ndima, iwe mwenyezi wa kuvyaigwa au mgeni mwekaa gati yenu. 30 Inu ni kwa sibabu mwe msi unu wa mwevano wenda ugosolwe kwa ajii yenu, kuming'aza nywinywi kuawa zambi zenu zose ili mwe watanda mbele za Yahwe. 31 Inu ni maalumu kwa Sabato ya kuhumwiiza kwa ajii yenu na lazima mzizitie wenyewe na mwesekugosoa ndima. Idi denda shalti kati yenu. 32 Kuhani mkuu ambae asiswe mavuta na kuikua wakfu kuwa kuhani mkuu mwe nafasi ya kati akwe, lazima agosoe wevano unu na kwehamba nguo ya kitani ayo ni mavazi matakatifu. 33 Lazima agosoe wevano kwa ajii ya hantu hatakatifu sana, lazima agosoe wevano kwa ajii ya hema ya mdugano na mazabahu na lazima agosoe wevano kwa ajii ya makuhani na kwa ajii kusanyiko da wantu. 34 Inu daima yenda iwe shalti kwa ajii yako kugosoa wevano kwa ajii ya wantu wa Israeli kwa sibabu ya zambi zao zose maa mwenga kia mwaka." Na nee ikagosoka kana Yahwe ekumwamuluvyo Musa.