Sura ya 11

1 Yahweh akatamuia na Musa na Aroni, akagombeka, 2 "Gombekani na wantu wa Israeli muwambe, 'Ivi nee viumbe vyenavyo uhai ambavyo mwadaha kuvida mwe wanyama wekumwe wekaao mwesi. 3 Mwadaha kuda mnyama yoyose mwenye majato yadahayo kugawanyika na pia mteuka. 4 Hata ivyo kuna wanyama wekumwe nkawateuka ama nkawana majatio yagawanyikayo, nanywi mwesekuwada awo, wanyama inga via ngamia, kwa ajii yee ateuka mia nkana majatio yagawanyikayo maa mbii uyo nae ni uchama kwenu. 5 Pimbi nae: kwa sibabu yee ateuka mia nkana majatio yekugawanyikayo maa mbii uyo pia ni uchama kwenu. 6 Na sungura nae: kwa sibabu yee ateuka mia nkana majato yekugawanyikayo maa mbii uyu nae ni uchama kwenu. 7 Na nguue pia: etiho yee anayo majato yekugawanyikayo iyakini nkateuka, kwa iyo naye pia ni uchama kwenu. 8 Mwesekuda mbai yoyose ya nyama yao waa mwesekudonta vimba vyao. Awo ni uchama kwenu. 9 Na wada wanyama wekaao mwe mazi mdahao kuwada ni wada wose wenao mapezi na magamba, itende wemwe bahali au mtoni. 10 Mia viumbe vyose hai wesio na mapezi na magamba wemwe bahali au mtoni hamwe na wada wendao mwe mazi na viumbe hai vye mwemazi nndawawe wakima kwenu. 11 Kwa ajii nndawawe wakima mwesekuda nyama yao pia vibudu vyao shuti yondaiwe vyakima. 12 Chochose chesachokua na mapezi au magamba chemwemazi ni lazima kitende chakima kwenu. 13 Nao wadege ndiwo wamikiwe na mwesaokukundwa kuwada ni awa watongeao: tai, fuukombe, kipungu, 14 mwewe mnkundu, mbai yoyose ya kimphanga, 15 kia mbai ya kunguu, 16 kiruka-sia, mtatua sanda, shakwe, na mbai yoyose ya mwewe. 17 Ni lazima pia kungwi mdodo na kungwi mkuu nawo pia wakima, mnandi, 18 kungwi mng'aa na mwali, 19 korongo na mbai zose za koikoi hondohondo na nundu pia. 20 Wadudu wose wenao mawawa wendao na miundi mine kwenu wakima. 21 Mia mwadaha kuda wadudu wenao nawawa wendao kwa miundi mine ya kusookea sanga yenayo visuguu. 22 Mwadaha kuda mbai zose za ntununtu, senene parare au nyefu. 23 Mia wadudu wose wenao miundi mine wasookao wakima kwenu. 24 Nanywi monda muwe uchama hata guoni atikama mwe wanyama awa mondamdonte vimba vyao. 25 Na yoyose ndiye adodoe yumwe mweivyo vimba vyao ni lazima nndazifue nguo zakwe naye nnda awe uchama mpaka guoni. 26 Mnyama yoyose mwenazo kwato ziekana ambazo nkazokugawanyika kabisa au nkateuka iyo ni najisi kwenu. Yeyose muwadonta nnda awe uchama. 27 Mnyama yoyose mwenda kwa vitanga vyakwe mwewanyama kumwe wendao kwa miundi yose mine ni najisi kwenu. Yeyose mdonta kimba inga icho nndaawe uchama hata guoni. 28 Na yeyose mdodoa kimba inga icho ni lazima nndaazifue nguo zakwe na kua uchama hata guoni. Wanyama awa watakuwa uchama kwenu. 29 Kwa wanyama watambaao mwe alizi, awa nee wenao najisi kwenu: kicheche, ngoswe, mbai zose na mgondo makuu, gulugulu, 30 mbui, vijungula, tandangovi na uvi. 31 Wanyama awa wose watambaao awa nee ndio wawe najisi kwenu. Yeyose muwadonta onda awe uchama hata guoni. 32 Na ati yumwe mweao nndaafe na kugwa uanga ya kia, kia icho nndakitende uchama, ama kiwe kigosolwa kwa mbao, nguo, gada ama gunia. Kiwe kia che viivihi na kiwe kwa matumizi yani, ni lazima chonda kiowekwe mwe mazi nacho chonda kiwe uchama hata guoni kabinda nnda kiwe chedi. 33 Kwa iyo kia nyungu yondayo igwiiwe ni mnyama mchama ndani na chongoi chochose chemwenyungu iyo nndakiwe nikichama, na ni lazima muitue nyungu iyo. 34 Nkande zose ambazo ni ntana naziluhusiwa kuigwa, yakini yengiiwa ni mazi kuawa kwe nyungu yeuchama yekugwayo, nayo yondaiwe ni uchama. 35 Na kintu chochose kidahacho kunywigwa kuawa mwe nyungu inga iyo chanda kiwe uchama. Kia kintu ndichokigwiiwe uanga yakwe na kipande cha kimba cha mnyama mchana nacho chonda kiwe ni uchama amadiwe uchama ziko au nyungu za kwembikia. Ni uchama ni lazima kitende uchama kwenu. 36 Soko au kisima cha mazi ya kunywa yekongaho honda hasigae hatana ati kiumbe chaichama kana icho n'ndakigwiie umo. Akini ati yoyose andaadonte kimba cha mnyama mchama mwe mazi yee n'ndaawe ni uchama. 37 Ati ntendeo yoyose ya kimba cha mnyama ambae ni uchama yagwiia uanga ya mbeyu yoyose ikundwayo kuhandwa. Mbeyu izo nnda ziwe ntana. 38 Mia kana mazi yaikwa uanga ya mbeyu, na kana ntendeo ya kimba yagwiia uanga yakwe, nazo zondaziwe uchama kwenu. 39 Ati mnyama yoyose mdaha kuigwa afa, na yoyose ndiye amdonte n'ndaawe uchama hata guoni. 40 Na yoyose mda kimba chochose nnda alazimike kufua nguo zakwe naye n'ndaatende uchama hata guoni. Na yoyose mdodoa kimba kana uo ondaafue nguo zakwe na ondaawe uchama mpaka guoni. 41 Kia mnyama mtambaa uanga ya sanga nnda awe akima; nkana awe ywa kuigwa. 42 Chochose kitambaacho kwa kwebuuta na ifu dakwe na chochose chendacho kwa miundi yakwe yose mine au chochose chenacho miundi mingi-- wanyama wose watambaao mwe awa mwesekuwada, kwa sibabu wonda wakime. 43 Mwesekwegea uchama wenye kwa kiumbe chochose che uchama kitambaacho; mwesekwegea uchama wenye kwa ivyo ili kwamba mwesekweza kuchafulwa navyo. 44 Kwa ajii mie nee Yahweh Mungu ywenu. Nanywi lazima muwe watakatifu, kwa iyo na mtende watakatifu, kwa sibabu mie ni mtakatifu. Nkamkundwa kwechafua kwa mbai yoyose ya chendacho uanga yasi. 45 Kwa via Mie nee Yahweh, mwekumieta nywinywi kuawa si ya Misri, ili ntende Mungu ywenu. Kwa iyo lazima muwe watakatifu kwa kua Mie ni mtakatifu. 46 Inu nee shaia ihusuyo wanyama, wadege, kia kiumbe hai kiitacho mwe mazi na ya kia kiumbe kitambaacho uanga yasi, 47 kwa ajii ya kia kikundwacho kusimana ya cheicho usama na cheicho kitana, na mwe vintu vyekufavyo na vyeivyo hai ambavyo vyadaha kuigwa na vintu vyenavyo uhai vyesivyokudaha kuigwa."