1
Abimeleki, mwnangwa wa Yerubaali kaita kwa jamaa za manuyakwe uko Shekemu akawamba iyo jamaa yose ya mamiakwe,
2
Tafazai gombeka aya, ili wakuu wose wa Shekei wategeeze. Ni kihi cheichu bora kwako Je, wana sabini wose wa Yerubali kutawala kwa ajii yenu hambu kwamba yumwe du atawale kwa ajii yenu? Kumbuka ya kuwa mi ni vuha na nyama yenu.
3
Wandugu wa mami yakwe watamviia badala yakwe kwa wagookezi wa Skekemu nao nee wazumia kumtongea abimeleki wakamba ivi, Yee nee mndugu ywetu.
4
Wakamwenkha vipande sabini vya fedha mwe nyumba ya Baali Berith, Abimeleki akazitumia kwa kuajii wanthu wesiokuwa na shelia na weseokuwa wabahau wekumtongeao.
5
Abimeleki akaita nyumbai kwa tatiakwe uko Ofra, kwa iwe dimwe nee awakoma wandugu wakwe sabini, wanangwa wa Yerubaali. Yotanu nee mwekusigaa. Mwana mdodo wa Yerubaali kwa kuwa nee Kefisa.
6
Wakuu wose wa Shekemu na Beth Mito wakaunganika hamwe wakatenda Abimeleki mfaume, hehi na mwaloni hehi na siki yeiko Shekemu.
7
Yotamu ekwambiwaho kuhusu mbui iyo, akaite akagooka kwe mwiima Gerizimu. Akakema akawamba, tegeeza ni nywie muongozao Shekemu, ili Muungu awategeezee.
8
Kuna siku miti yenda kumgea mavuto mfaume juu yao. wakamwamba mezeituni tawala juu yetu.
9
Iya mti wa mizeituni ukawamba ivi, jee nitumiayo kuiheshimu Miungu ne wanaadanu nipate kuuya na kuemboka kwe miti mituhu?
10
Iyo miti ikamwamba mtini, soo utawlale.
11
Iya mtini ukamwamba, Je ndanibade matunda yangu yemwiie, matana npate kuuya na kwemboka miti mituhu?
12
Iyo miti ikamwamba mzabibu soo utawale juu yetu.
13
Mzabibu ukamwamba je ndambaele divai yangu mpyahamu itamizayo miungu na wanaadamu na kuuya na kwemboka miti mituhu?
14
Ukauka aho miti yose ikawamba msanga so ukuweze utawale.
15
Miti ya miwa ikayamba miti, ati wondeza kunisisa mavuta nitende mfaume ywako soo upande usaama si yakizui changu.
16
Ati nkivyo kugosoa uaminifu na kwei kumtenda abimeleki mfaume na ati kutenda vyedi kuhusu Yerubaali na nyumba yakwe na ati azaba ekustahilivyo.
17
Ukafikizi kuwa tate katoana kwa ajii yenu nee aambaza maisha yakwe na akawahonya kuawa mwe mkono wa Midiani -
18
Iya ivyo kuyenukia nyumba ya tate na kwakoma wanawe wanthu sabini mwe iwe dimwe. Na kumtenda Abimeleki mwanangwa wa mndima wakwe atende mfaume mwe wakuu wa Shekemu kwa ajii ye ni mndugu ywenu.
19
Ati mgosoa kwa uaminifu na uelevu hamwe na Jerubalai na nyumba yakwe mwapaswa kutamwa kwa Abimeleki nae atamiwe ni nywinywi.
20
Iya ati nkivyo moto ne ulawe kwa Abiomelekiukawadamize wanthu wa shekemu na Bethmilo. Ati ni ivyo moto na ulawe kwa wanthu wa Shekemu ne Bethmilo ili kumdagamze Abimeleki.
21
Yothan akaguuka akato Beeri. Akekaa uko kwa kuwa nee ni hae na Abimeleki kakie.
22
Abimeleki akatawala Israeli miaka mitatu.
23
Muungu akatuma loho mbaya kati ya Abimeleki na viongozi wa Shekemu. Viongozi wa Shekwemu viongozi wasaliti uaminifu wekuwaonao akina Abimeleki:
24
Muungu kagosoa Ivyo kwa aji ya ubanasi wekugoso lwao kwa wana sabini wa Yenubaali uihize nkuu, Abimeleke mndugu ywao andaawajibu kwa sia ya kukomwa na wanthu wa Shekemu. nd'a wawajibushwe kwa kuwambiza kuwakoma waumbuze.
25
Mia wakuu wa Shekemu wakaiwaika wagosi wakamgoja kwe miima wapate kum wose dagamiza wakawabawia wose wekwembokao mwe ida baabaa. Inu mbui nee yegalwa kwa Abimeleki.
26
Gaali mwananywa wa Eabedi akaita hamwe na waubuze wakemboka shekemu Viongozi wa sekemu Viongozi wa shekemu wamwamini.
27
Wakaita tanga wakakube zabibu kulawa mwe mizabibu wakazijatajata. wakagosoa nyemi mwe nyumba ya Muungu ywao wada, wanywa kumlaani Abimeleki.
28
Gaali mwanangwa ywa Ebedi, akamba ivi, Abimeleki ni ndai na Shekemu ni ndai ukaeka timtumikie? Kwani nkie mwanangwa wa Yerubaali? Watumikieni wanthu wa Hamoni tatiakwe da Shekemu kwa mbwa tapaswa kumtumikia?
29
Etiho awawanthu nee si ya amli yangu nee nkimuusa abimeleki. Nee nkimwamba, "duse jeshi dako dose udiavye chongoi.'
30
Zebul, mkuu wa mzi ekusikiaho mbui za Gaali mwnangwi ywa ebedi maya nee yakwea.
31
Akaagia kwa Abimelekiwapate kuhufya akamba, kauwa, Gaali mwanangwa ywa Ebedi na waumbuza wabua Shekemu wakauchonchea mzi kwa ajii yao.
32
iya wenuke kio wenye na asikai uandae uvamizi mwe minda. Ukauka aho wakeo zua dikasia wenuke mapema udagamize mzi.
33
Na uyo yeye hamwe wakaetea masa gosoani chochose ndicho mdahe.
34
Iya Abimeleki akenuka nakio, yeye hamwe na wanthu wose wekuwao hamwe nae wakepanga kuosoa nkumbizi kwa aji ya Shekemu wakepanga makundi mane.
35
Gaali mwanangwa ya ebedi akaawa akagooka he mwaango wa mzi. Ebimeleki na wanthu ekuwao nao wakeaviiza wekwefisaho.
36
Gaali ekewaonaho awo wanthu akamwamba Zebuli "Kaua wanthu waawakwe miima!! Zebuli akamwamba we waona vizuri kwe mzima enga via wantu.
37
Gaali akagombeka vituhu akamba, "Kaua wanthu waseea gatigati ya si na kitengo kemwe cheza kwa sia ya mwaloni wa maenenimu."
38
Nee Zebuli akamwamba "ivi mbui yako ya kibui ikuhi isasa wenye mwekwamba, "Abimeleki ni ndai mpaka timtumikie? Ao wekuwabeao kwani nkio wantu. Kuawia isasa natoana nao.
39
Gaali akalawa nee akawa ongoza wantu wa Shekemu nae katoana na Abimeleki.
40
Abimeleki akamguusa na Gaali akaguuka mbele yakwe. Na wangi wakagwa na vionda ya mauti mwe miingiio ya mwaango wa mzi.
4142
Abimeleki kekaa Aruma. Zebul akawakungumiza Gaal na waumbuze waawe shekemu.
43
Kawadoa wantu wakwe akawapanga kwe vitengo vitatu na wakapanga uvamizi wa mwe minda kakauwa wanthuu wakalawa kwe mzi akawagwia na kuwakoma. Abimeleki na vitengo vyekwavyo hamwe naye wakawabagamiza na kukinaha myengiio ya lango da mzi. Vitengo vituhu viidi vibagamuza wose wekuwao mwe mnd'a
44
Abimeleki na vitengo vyekwavyo hamwe naye wakawabagamiza na kukinda myengiio ya lango da mzi. Vitengo vituhu viidi vibagamiza wosewekuwao mwe mnd'ana kuwakoma.
45
Abimeleki katoana na uo mzi siku ngima. Uo mzi kauteka na kuwakoma wanthu wekuwao umo. Akabomoa kantho za mzi na kugea munya.
46
Wakuu wose wa mnaa wa SAbimeleki akaita mpaka mwiima wa Salmoni, yeye na wanthu wose wekuwao hamwe naye.
47
Abimeleki akado hoya na kusenga matambi.
48
Abimeleki akaita mpaka mwiima wa Salmoni, yeye na wanthu wose wekuwao hamwe naye. Abimeleki akado hoya na kusenga matambi. Akaika mwe wenga dakwe akawaagia wanthu ekuwao ekuwao nao. "Mwekuonacho nekugosoacho gosoani enga nekugosoavyo. Kia mwoneka akasenga matambi wakamtongea kwa zina dako.
49
Basi utegeeza maombi yao, na dua zao kuawa mbinguni, hanta wekaaho na ukaivumie haki yao.
50
Wafiie mbazi wantu wako wekugosoaa zambi zidi yako, na zambi zao zose wekukuseazo wewe zidiyz zmri zako. Uwafiie mbazi wankuu wekuvadoao mateka ili kwamba wankuu wawafie mbazi wantu wako.
51
Awa ni wantu wako wekuwasaguao ambao ilikuwaokoa kuawa si ya Misri kana kwamba nee wana mikakati ya tanuu ambamo vyuma vyayeyushwa.
52
Abimeleki nee kaita kwe mnaa na kutoana nao, naye akaita hehi na mwaanya wa mnaa ili wauwoke.
53
Iya mvyee akatambika iwe mwe mtwi wa Abimeleki akamtumbua bea dakwe.
54
Ukauka aho akamwetanga yuda mbwanga mumtozea silaha zakwe akamwamba "Doa paange dako ukanikome kwa iyo nkankuna mntu ndie agombeke kwa ajii yangu. Mvyee akamkome.!! Basi yuda mbiuaga akamtunga nae akafa.
55
Wantu wa Israelwekuonaho kwamba Abimeleki kafa wakaita kaya.
56
Basi Muungu akaihiza nkuu cha ubanasi wa Abimeleki ekemgososo eacho tatiyakwe kwa kwakoma waumbuze sabinini.
57
Muungu kagosoa ubanasi wose wa wanthu wa Sekemu uhituke kwe mitwi yao wenya na kwa ajii yao ikeza laana ya Yohamu mwana Yerubaali.