1
Wantu wa Efraimu wakambwa Gideoni. Kutitenda vivihi? Nkwekwetanga wakati wendahutoana Midiani, wakamwambia kwa nguvu.
2
Akawamba nkitendani sasa kana na ivyo mwekutendavyo nywinywi? Je mavuno ya zabibu za Efraimu nkiyo yedi kuliko ya Abiezeri?.
3
Muungu kawenka ushindi juu ya wakuu wa midieni-Orebu na Zeeb! mie nkitendani mkanilingenisha na nywinywi?" Hasira yakwe kidogo ikapungua.
4
Gideoni akeza Yordani na akemboka na wantu mia ntatu hamwe naye, ne wasokea akini wakaendelea kumtongoa.
5
Akawambia wantu wa Sukothi, Tafadhali wenke mikate wantongeao, na kwa kuwa wasokea na ni nawabasa Zeba na Salmuna wafaume wa Midiani.
6
Na wakuu wakosema Je mikono ya Zeba na Salmuna ivi sasa imwe nguvu zako?kwani temkia mikate kwe jeshi dako?
7
Gideoni akamba, Bwana akatenka ushindi juu ya Zeba na Salmuna mii yenu yose maitenda na uhoe kama miwa ya jangwani na michongoma.
8
Akahauka uko akaita Peniel, akawambia wantu mbui zia zia, akini wantu wa Penieli wakamjibu kama ekujibi wavyo ni wantu wa Sukothi.
9
Akawambia wantu wa Penieli pa akasema, ndiho meze kwa amani naugwisa mnara unu."
10
Sasa Zeba na Salmuna wawa uko karkori hamwe na jeshi dao kama wantu elfu kumi na shano na wose wekubakio chongoi na jeshi da wantu wa mashariki kwa kuwa wapatikana wantu 120,000 wekufundishwao kutoana kwa upanga.
11
Gideoni akatongea baabaa yekudogwayo ni wakazi wa hema, Noba na Yogbena. Akadishinda jeshi da maadui, kwa kuwa nkawekutegemea kwe ngiiwa.
12
Zeba na Salmuna wakaguuka, na Gideoni akawatongea, akawadoa wafaume waidi wa Midiani - Zeba na Salmuna na kueta hofu jeshini.
13
Gideoni mwana wa Yoashi, akagotoka kuawa kwe nkondo kwembokea Heresi.
14
Akambukia kijana yumwo wa wantu wa Sukothi kwa ushauri kijana uyo akamueleza viongozi wa Sukothi na wazeee wakwe, wantu sabini na seba.
15
Gideoni akagotoka kwa wantu wa Sukothi akawamba, Kauani Zeba na Salmuna ambao mmidhalau kwa ajii yao, nikasema, Je mumshinda Zeba na Salmuna nkatekumanya kuwa nitekaondwa tidenke mikate jeshi dako?
16
Akawachukia wazee wa uda mizi Gideoni, akawaadhibu wantu wa Sukothi hamwe na miwa ya jangwani na michongoma.
17
Akaugusa mnara wa Penieli na kukuwakoma wantu wa mzi uda.
18
Gideoni akawamba Zeba na Salmuna, nywiemu wantu wa vivihi mpaka muwakoma wantu wa Tabori? wakajibu kama wewe weivyo nasi ne taivyo. Kia yumwe katenda kama mwana mfaume.
19
Gideoni akasema, awa ne ni wa mmaa yangu. Kama Bwana aishivyo kama we muwabada we nchekuwakoma."
20
Akamwambia yetheri (uvyazi wa bosi) enuka uwakome, akini kijana akaogoha kwa kuwa bado ni mdodo.
21
Ne vyekuekavyo Zeba na Salmuna wakamba zuuka mwenye kama mntu eivyo ne nguvu zakwe zeivyo. Gideoni akemka akamkoma Zebu na Salmuna. Pia akausa mapambo yose yekuayo mwe ngamia zao.
22
Ne aho wana wa Islael wekumuwambaho Gideoni utende mtawala wewe na wanao na vyezakuu vyako, kwa kuwa kutiokoa mwe mikono ya Midiani.
23
Gideoni akawamba mimi nkina ntawale wala uvyazi wahou, Bwana andaawata wale."
24
gideoni akawambia vinifaavyo ni npete kuawa kwe kia nyara kia muntu. (wamidiani wana npete za shaba kwa sibabu ni waiishimaeli)
25
Wakamjibu vyedi tifurahi kukwenka, wakatandika vazi kia muntu akatambika npete kuawa kwe nyara zakwe.
26
Uzito wa npete ekuombeza zouwa shekeli 1,700 za dhahabu vyose viwa hamwe na mapambo ya makoja, vidani, nguo za rangi ya za mbarau wekuazo wakevaa wafaume wa Midiani, na minyororo yekuayo hehi mwe singo za ngamia zao.
27
Gideoni akajitutahidi kupata npete na kwaiika mwe mzi wakwe uko Ofra na Israel wose wakainamatia kwa umalaya na kuiabudu. Vitenda ni mtego kwa Gideoni na wada wekuwao kaya.
28
Kwa iyo Midiani ivotwa ni wantu wa Israel na nkawekugeeza vituhu, ne si ikawa na amani kwa miaka alubaini ya utawala wa Giseoni.
29
Yerubaali, mwana Yoashi akenda kwekaa nyumbani kwakwe.
30
Gideoni ana wana Sabini, uvyazi wakwe maana me ama wavyee wengi.
31
Mkazi we mweku wa shekemu akamvyaia mwana pia, na Gideoni akamwetanga Abimeleki.
32
Gideoni mwana Yoashi akafa kwa uzee akazikwa uko Ofra mwe kabui dafati yakwe Joashi wa ukoo wa Abiyezeri.
33
Vitenda Gideoni baada ya kufa, wantu wa Israel, wakamuasi Muungu kwa kuabudu mabaali. Wakamgosoa Baali Berith ne Muungu wao.
34
Wanta wa Israel wakajaa kumtukuza Muungu mwektukuza Muungu mwekuwaokoa mwe mikono ya maadui zao.
35
Ahadi zao kwe nyumba ya (Yerubaali yaani Gideoni) wakazijaani zose wekugosoewayo yada bosi uko Israel.