Sula 10

2 Baada ya Abimeleki, Topla mwana wa Pua, mwana wa Dodo, mntu wa Isakari, mwe kwekaa Shamiri kwe mwiima wa Efraimu, akahauka ili kuwaokoa Isaeli, 1 Akawa mwaamuzi wa Israeli miaka ishiini na katatu. Kafa na kuzikwa Shamiri. 3 Katongewa ni Yairi Mgileadi. Akawa mwaamuzi wa Israeli miaka ishiini na mbii. 4 Nee ana wana thelathini, naho nee wana mizi thelathini, ambayo yetangwa Hawoth Yairi hadi ivyeo, ye mwe sii ya Gileadi. 5 Yairi kafa na kuzikwa Kamoni. 6 Wantu wa Israeli weendelea kugosoa ubaya mbee Zumbe, wakaabundu Mabaalia, Maashtoreti, Miungu ya Aramu, miungu sidoni, miungu ya Moabu, miungu ya wana wa Amoni, na miungu ya Wafililisti. Wakamjaa Zumbe naho nkawawe kumsujudi a vituhu. 7 Hasira ya Zumbe ikaaka kwa Israeli, naye akawataga kwe mikono ya Wafilisti na kwe mikono ya Wana wa Amoni. 8 Wakawaangamiza na kuwazuumu wantu wa Israeli mwaka uwo, na kwa mda wa miaka kumi na nae wawaguuso wantu wose wekuwao ng'ambo ya Yordani kwe sii ya Waamori, ye uko Gileadi. 9 Nao wana na Amoni wa kavuka Yoardani, wakatoana na Yuda , na Benyamini, na nyumba ya Efraimu, Israeli wakameowashwa sana. 10 Ne aho wana wa Israeli wa Israeli wekumwetangaho Zumbe, wakaamba, "Tikukosea maana timwaorsa Zumbe ywetu, tikaabudu Mabaali. 11 Zumbe akawauza wana wa Israeli, Jee, nhyee kuwaavya nywinywi kuawa kwa Wamisri, na Waamori, na Waamori, na Wafilisti, 12 na pia kwa Wasidoni? Waamaleki na Waamori wekuwakandazao; mnetanga nami nikawaokoa kwe nguvu zao. 13 Lakini ninywi mnieka vituhu na kuabudu miungu mituhu. Kwaiyo nkina niwaokoe vituhu. 14 Hitani mkayetanga miungu muiabuduyo. Ili iwaokoe wakati shida. 15 Wana wa Israeli wakamwambia Zumbe, Tigosoa dhambi. Tigoswee chochose kionekanacho kitana kwako. Tafazai tiokoe ivyeo. Wakaibada miungu ya kigeni wekuwayo nayo, nao wakamwabudu Zumbe. 16 Naye akatenda subira kwa tabu ya Israeli. 17 Nee aho Waamoni wekukirsanyikaho wakika nkambi Gileadi. Waisraeli wakintana na kuika nkambi yao uko Mispa. 18 Wakuu wa wantu wa Gileadi wakaambiana "Nindai ndiye avoke kutoana na Waamoni? Yeye onda awe Mkuu kwa wose wakaaso Goilead.